MEDIA ownership in Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MEDIA ownership in Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, May 10, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Mengi vs Rostam NA wengineo. Hivi tumejifunza nini out of this saga kuhusus media ownership na responsibility in Tanzania?


  [​IMG]


  Tuombe kuwa hiii itakuwa balanced view on this saga
  naomba hii thread itatazama mwelekeo tofauti wa hii issue.
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hamna nilichojifunza..
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  May 10, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  umeishaibias thread yenyewe anyway.. next time try without showing a bias. Unakujana na mada nzuri kweli huwa mwenyewe ndiyo unaziharibu toka mwanzo.
   
 4. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Please dont even go there

  tofauti yangu na wewe, mimi sina gazeti wala redio lakini wewe unavyo vyote ambavyo at most umekuwa mstari wa mbele kuonyesha bias yako especially kufanya interviews na Dr MASAU ambayo ilikuwa so biased na one sided

  so please give me a break na lecture yako kuhusu bias
   
 5. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2009
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Personally nimejifunza kuwa kumbe HABARI CORPORATION iliyonunuliwa na Rostam from akina Ulimwengu had been an unregistered company kwa sababu zisizojulikana!

  Kingine nilichojifunza ni kwamba hata BAADHI ya household members of JF ambao michango yao ilini-inspire nijiunge na ukumbi huu wameishia kuwa blind follower wa Rostam.Sijui ni hela za huyo fisadi au njaa za hao followers...it's hard to tell.

  Cha mwisho,ugomvi huu umeniongezea dozi ya uzalendo.Na sapoti yangu ka Mengi ime-GROW ten fold.Huyo Muiran amekosea hesabu kwa kununua data feki kuhusu Mengi;ataumbuka mahakamani.

  Walaaniwe mafisadi wote na wapambe wao,Amen!
   
 6. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #6
  May 10, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  sikujua kuwa you hold me as your role model!

  you need to learn to let things go... on owning media.. na wewe una uwezo ukipenda wa kuown chochote unachotaka... and run the way you want. But the logic kuwa kwa vile kuna watu wana bias kwenye vyombo vyao na wewe uwe bias ni logic ambayo defeat the whole idea..so.. from one biased individual to another.. keep it up.
   
 7. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2009
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135

  Nimejifunza kuwa Mengi ni mzalendo halisi na Rostam na wengine ni wala nchi na pia wenye njaa kama nannniiiii mwapo wengie
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160

  GT; NImejifunza yafuatayo;

  • Kuna kila uwezekano wa kuwatolea uvivu mafisadi papa
  • Mapapa ni waoga kuliko tulivyodhani
  • Maji yakiwa shingo hata Mapapa huanza kutapatapa kama walivyohangaika RA na Manji
  • Mengi amejipanga sawasawa [with evidences]
  • We dont have leaders in this country - mipasho ilipewa airtime kwenye national TV
  • saa ya ukombozi ni sasa
  • WATANZANIA SI MABWEGE TENA!!
   
 9. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  ohhh please, its you and not me who have been championing vendettas through your rag (cheche) and your KLH news radio...in my opinion i think you and your medium (KLH NEWS & CHHECHE) are just good at nothing but SOCKPUPUPPETING and if you didnt know what it is...


  Via Wikipedia I've discovered a definition of internet sockpuppeting from the New York Times.
  Wikipedia also makes this important point:

  It goes on to list examples of noted individuals who have been caught sockpuppeting over the years. Is that list about to lengthen ? I guess so considering your Mumbo Jumbo supermarket journalism
   
  Last edited: May 10, 2009
 10. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  -Rostam alikuwa amlipue Mengi kabla ya December 2008 hivyo data zake zote zilikuwa sawa kipindi hicho. Kwa maana nyingine walikuwa wakiwindana.
  -Mengi alipata taarifa ya kutafutwa akihakikisha anafukia mashimo kipindi hicho.
  -Mengi analipa wafanyakazi wake mishahara midogo alafu na kurudisha kwa kutoa so called misaada na dinner party.
  -Rostam hatoe dinner party lakini nalipa mishahara mizuri wafanyakazi hako hivyo serikali inapata kodi stahiki kupitia PAYEE na serikali kujipangia yenyewe itumie je.
  -Mengi ana facts za kujitea yeye kwamba sio fisadi nyangumi lakini hana facts za ku-prove kwa nini Rostam ni Fisadi Papa.
  -Mengi ni mfanya biashara mtaalamu wa kutafuta huruma kutoka kwa wananchi wakati ushindani wa biashara ukiwa mgumu.
  -Mengi ana kampuni fisadi inaitwa Ache Mwedu. Na hii haipigiwi chapuo kama IPP... ili kuficha madhambi. Bila Rostam mimi nisingeifahamu.
  -Whether Ache Mwedu ilishinde rufaa au ishinde ukweli ni kwamba 5.8 billion zetu zimezama.
  -Rostam is smart.
  -Rostam alikurupuka kutumia data za December kudhani bado ziko vile vile... kesi aliyoipeleka Mengi Rostam atashindwa.
  -Mengi hana moral authority ya kupiga vita ya ufisadi though ni Mzalendo.
  -Mengi ana very few successfully business.
  -Mengi ataingia kwenye siasa muda si mrefu... especially kama competion kwenye business itaendelea kuwa kali.
   
 11. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0

  Mimi hapa ndipo paliponichosha kabisa:
  btw Rostam ni OXFORD grad...
   
 12. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2009
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135

  Uwongo uliokubuhu. Kumbe tunalipwa vizuri kupitia kwako? Leta pesa zetu wewe kasheshe.

  Wakati wa mishahara ya sector Madini ilikuwa 350,000 Caspian Mining Ltd ilidai kuwa walisajiliwa kama construction wakati ndo wachimbaji halisi.

  Tumenyamaza tu kwa kuwa sio hoja ya msingi hii
   
 13. F

  Future-Tanzania JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2009
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimejifunza kwamba
  1. watanzania wako so bias na most of us are a bit stupid.
  2. watanzania wakishindwa kujitetea wanaingiza rangi na dini.

  to me the whole of this saga ni kwamba imenionyesha true colour of some tanzanians. It is so sad people cant judge things as they are. Watu kama wee mkuu GT kila siku unaingiza dini na rangi....you have really broke my heart.

  I used to odore you ila sasa i really dont know who you are anymore, mdini, mkabila au mrangi. xox
   
 14. F

  Future-Tanzania JF-Expert Member

  #14
  May 10, 2009
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Be serious Rostam ni Oxford Grad? please tell us another lie...
   
 15. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #15
  May 10, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  hii ndo mpya niliyo jifunza sasa hivi, kwani caspian ni wachimbaji wa madini? mgodi upi? royality & other taxes wanalipa? ama ni another deep green?
   
 16. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #16
  May 10, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Not only that...

  hakuna doc hata moja kwenye haya madudu yaliopo kwenye public domaina ambayo yenye signature yake


  Do your homework
   
 17. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #17
  May 10, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  thats where we always go wrong...tuko obsessed with personalities..dont hate the player..hate the game na the game humu ndani ni style and no substance so why should you play clean while everyone is playing dirty?

  jaribu kuwa na alternative view uone kama watu watakukubalia...its a dog eat dog situation in here

  Its sad lakini ndio ukweli wenyewe humu...
   
 18. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #18
  May 10, 2009
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kwa dhati kabisa, tumejifunza kwamba:
  1-Baada ya watu kudharau media kwa muda mrefu hasa baada ya serikali ya Mkapa kusema "kelele za chura", sasa mageuzi ya kidunia yamesababisha media za Tanzania kusababisha hatua kadhaa kuchukuliwa na serikali bila yenyewe kupenda. Mifano ni kesi ya Mahalu, EPA, Alex Stewarts, Twin Towers, Radar etc na bado.

  2. Kwamba sasa walioathirika wakaona, "kumbe media ndiyo iliwazindua watu macho na sisi tulidhani kuwanunua waandishi kutasaidia kuzitumia hizo media zao, kumbe bwana waandishi ni washenzi sana, ukiwanunua, wanapeleka story JF, Thisday, MwanaHalisi na RaiaMwema na sisi tunajikuta tumezidiwa" na baada ya hapo wanaamua kununua na kuanzisha media zao. Mifano, Habari Corp (bado kuna utata), Channel Ten, Taifa Tanzania, Tazama, Sauti Huru, Umma Tanzania na kadhalika na bado yako njiani. Lengo likawa kupambana kupooza makali ya tuhuma kwa gharama zozote. Hapo wamesahau kwamba media zilikuwa zinabeba ujumbe wa umma wa Watanzania ambao baadhi wako nao ndani ya kila wanalolifanya na hawataacha kuwaumbua. Watanzania wameamka na wanajua washirikiane na kina nani katika VITA MPYA YA UKOMBOZI KUPIGANIA UHURU WA KWELI.

  3. Tumejifunza kwamba kuna watu waliowaponza ndugu zetu kina Mr &Mrs Benjamin Mkapa, Edward Lowassa, NAzir Karamagi, Basil Mramba, Gray Mgonja, Rajabu Maranda, Liyumba, MArehemu Balali na baadaye watawaponza kina, Laurence MAsha, Sophia Simba, Ngeleja, Mustafa Mkulo, Juma Reli na wengineo lakini wao wakaendelea kugonganisha glasi za wine majumbani mwao bila kuguswa na sasa anayejitokeza kuwagusa wanamshangaa sana.
   
 19. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #19
  May 10, 2009
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135

  Ni earthmovers yaani wanahamisha dunia. Kutengeneza mashimo na milima. This is typical mining kwani shida yote ipo hapa. Makampuni kama Barrick wana processing ore to gold wakati hawa ndo wachimbaji ore au uchimbaji kufikia ore.

  Sijui kama umeelewa. Na Caspian walikataa kuwa wao si mining. Kwa kweli kama RA hapa angekubali tu walau kulipa min base ya 350,000 ningemuelewa.

  Kimsingi kama mmliki untoa sera na yeye angekuwa wa kwanza kuwaambia executives wake wakubali tu yaishe.
   
 20. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #20
  May 10, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Kwamba waandishi wa habari huwa wanapewa brown envelopes kwenye mikutano hii. Lengo lake sijajua bado.
   
Loading...