Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
Wakuu ningependa nishiriki na nyinyi hii kero kwa kipindi chochote ambacho nimeishi hapa duniani mimi mpaka umri huu hili suala la NISHATI YA UMEME limekuwa linaniumiza nimejiuliza ni kiasi gani nchi hii inapoteza pato kubwa na kurudisha nyuma uchumi kwa kutokuwa na uhakika na nishati hii muhimu . katika hii karne ya 21 ambapo nchi nyingine zinazungumzia SMART GRID sie bado tu nazungumzia MGAO tazama nchi kama sweeden ambazo zinapata upepo kwa msimu na kwa kiasi kidogo sana lakini hazitegemei sana kwenye HEP(HYDRO ELECTRIC POWER PLANT) wao wamewekeza kwenye renewable energy kama (WIND POWER ) Tanzania ambayo kwa kweli ina vyanzo vingi vya nishati mbadala angalia nafasi yake kwenye hii link List of countries by electricity production from renewable sources - Wikipedia, the free encyclopedia
Nina swali la msingi hivi ni kwanini viongozi wetu wanapenda sana emergency power back up (dharura dharura tu) mara Richmond , dowans ,iptl .?
Ombi langu kwa kuwa basi serikali iliyo madarakani kimantiki imashaprove failure kwa maana imeshasaturate sasa serikali ijayo kwa maana ya serikali makini itakayo kuwa na vipaumbele chondechonde nawaomba sana suala la nishati umeme liwe UMEME KWANZA (PRACTICALLY SIO HABARI ZA THEORY YA KILIMO KWANZA ) . wakuu kubalini kataeni umeme ni kiungo muhimu kwa uchumi wetu kuna vitu vingi vya kuzingatia ila naomba hii the so called Power System Master Plan (PSMP) covering the period up to 2025 ya tanesco muifanyie kazi halafu hopeful mmetipia hii taarifa ya MD WA TANESCO ENG MHANDO KWENYE investment forum pale mlimani city.
Naomba kwenye hili siasa zipungue wataalamu wasikilizwe
Tuna vyanzo vingi vya umeme kwanini tunalala giza jamani? it is pain me coz umeme is my professional