Ufisadi mkubwa uuzwaji wa (UDA) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi mkubwa uuzwaji wa (UDA)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lua, Jul 25, 2011.

 1. L

  Lua JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  katika uuzaji wa shirika la usafiri dar es salaam UDA, shirika hili limebinafsishwa kwa kampuni ya Simon Group Limited kwa bei ya kutupwa ya shilingi milioni 285 badala ya shilingi bilioni 1.4. Kibaya zaidi , shirika hilo limebinafsishwa kwa kampuni hiyo bila ya kuwashirikisha wanahisa kwa sababu zisizojulikana.

  Wanahisa wa shirika hilo linalokadiriwa kuwa na mtaji wa sh bilioni 12, ni jiji la DSM 24.5%, serikali 23% na asilimia 52.5 zimechukuliwa na mwekezaji mpya ambaye ni Simon Group Limited. Ambapo katika suala zima la ufisadi huo Mbunge wa Ubungo Mh: John Mnyika aliweza kuhoji zaidi juu ya uhalali wa mkataba huo kwani wakati unaingiwa haujawashirikisha baraza la madiwani wa jiji kwani wao ndio wadau wakuu wa shirika hilo.
   
 2. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  simon group ni mali ya fisadi chipukizi riziwan kikwete

  ila kuna mtu kampandikiza pale
   
Loading...