Kujivua gamba: Lowassa abadili mbinu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kujivua gamba: Lowassa abadili mbinu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Filipo, Jul 25, 2011.

 1. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Waziri mkuu wa kwanza wa serikali ya awamu ya nne na mbunge wa Monduli, Mh Edward Lowasa ameamua kuwaachia ccm yenyewe iamua hatima yake ndani ya chama hicho na wakati huo huo ameandaa watu wa kulia, kuzimia, kuandamana na wakumpokea kishujaa endapo ataondolewa kwenye nyadhifa kwenye chama hicho!
  Source: Dira ya mtanzania
   
 2. k

  kabyex Member

  #2
  Jul 25, 2011
  Joined: Jun 18, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe na Dira wote waduanzi..jembe haliezi fanya ujinga huo,yeye ndo CCM wakimfukuza mgombea urais atatoka wapi!aU CCJ
   
 3. zululima

  zululima Member

  #3
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Assalam alleykum wanajamii. Mie mgeni jamani napita tu kuwasalimia magamba. Inshallah navuta kasi ntarudi.
   
 4. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,080
  Likes Received: 879
  Trophy Points: 280
  Join Date : 18th June 2011
  Posts : 20
  Rep Power : 0
   
 5. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jf imevamiwa.. Mkuu tunatakiwa kuwa great thinkers hapa hatutumia maneno ya ovyo kama kule Facebook... Mwenzako kaleta hoja wewe unamwita mduanzi unamanisha nini mkuu? Au tusiewe wachangiaji kuogopa kutukanwa? Jibu hoja kwa hoja mbona unajidhalilisha mkuu huoni jamaa wamesha weka data zako hapo?
   
 6. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,897
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  kulivua gamba la yule mhindi ilikuwa ni simple,lakini huyu patachimbika,hata chenge ni rahisi kumvua,EL ni mtu wa vinyongo sana
   
 7. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii sinema tamu sana...Kweli siku Lowassa anatangaza kujivua gamba ujue siasa za Tz zitabalisha mwelekeo mzima mana huyu jamaa kule ccm ananguvu sana hata sisi anti-magamba tunalitambua hilo...siku hiyo ccm itapasuka mara 3, ya jk, ya lowassa na ya ccj hapo ndio CDM tutakapo tangaza ushindi...
   
 8. MKWECHE

  MKWECHE JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 299
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Anaesema Lowassa kaandaa watu wa Kulia,kuzimia na Kuandamana anachekesha!
  Mie mkweche niliwahi pitapita Monduli Taswira ya Lowassa Jimboni kwake na kwenye Magazeti ni Tofauti ila mbaya!
  Kule ni Laigwanani Mkuu anakubalika na ana haki ya kukubaliwa kwani anawajali waliomchagua kwa Matendo!
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Aaah kumbe mgeni wenye?Kwema lakini?
   
 10. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Wale wale,wako kikazi zaidi.
   
 11. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mimi nina wasiwasi na taarifa hii maana hili gazeti siliamini kabisa inawezekana ni kuchafuana tu,EL ndo mgombea uraisi ajaye ila ni chama gani sijui,inaweza ikawa ccj,cdm au nccr
   
 12. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  si kinyongo tu, wengi ndani ya chama wanaamini kuwa alifanyiziwa kutokana na siasa za makundi na kuchafuana ndani ya ccm AND THAT MAKES HIM TO PROUD AND PRIDED KUMTAFUNA YE YOTE ATAKAYEONEKANA KUWA KIKWAZO.
   
 13. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #13
  Jul 25, 2011
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Bado huwa sijalielewa gazeti hili la dira... Ni nani mmiliki wake? Nini mrengo wa gazeti hili? Na kwanini kila kukicha liko uso kwa uso na lowassa halafu ndani unakutana baadhi ya makala vikim praise eddo!!!!!

  Jambo leo ni la ridhiwan na linafanya kazi sawa na uhuru na habari leo, new habari ni pro-lowassa and team, raia mwema anti lowassa, mwanahalisi-anti lowassa ....

  Nisaidieni hili la dira lina safari ipi kimuelekeo....?
   
 14. k

  kingukitano JF-Expert Member

  #14
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,971
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unajua hili Gazetti la Dira sijui kama mhariri wake huwa anahangaisha ubongo wake kutafuta habari,wanakaa kwenye korido wanatunga habari,Lowwassa hawezi kuikimbia ccm,ni chama chake na nakuhakikishia anakubalika kuliko unavyojua,acheni umbea nyie Dira,Lowwassa ni jembe na mnamuogopa ndo mana kutwa mnamwandika,tuachieni Mzee wetu Nyambafu zenu.
   
 15. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #15
  Jul 25, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Dira linamilikiwa na mzanzibari kwa hiyo mara nyingi hujikuta hawana pa kuegemea kwa sababu ya selikari ya umoja wa kitaifa znz ingawa kabla ya hapo walikuwa anti CCM.
   
 16. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #16
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Hive Alex Msama ndo nani?
   
 17. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #17
  Jul 25, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Kama angekuwa anakubalika sana ndani ya ccm, basi hakuwa na sababu ya kufanya hayo maandalizi. Eti kama akifukuzwa basi wawepo watu wa kulia na kuzimia!? Na hii inaonekana ni kaujanja cha kuonyesha kukubalika na ndio hayo tuliyaona kwa RA. Hata alipojiuzulu u PM, aliandaa sherehe kubwa ya mapokezi na magari ya skandinavia yakapakia watu bure hadi kwenye eneo la tukio. Ile haikuwa na waliaji wala wazimiaji, wakaishia kusema eti kaonewa na mpango wakuwaondoa wamasai serikalini. Emanuel Ole Naiko akasisitiza kuwa ni kweli. Huu ni upuuzi ambao lazima tukishaujua tuwapuuze na sio kuwa upande wao maana sisi ndio tunaoonekana wajinga kuliko wao!
   
 18. Wikiliki

  Wikiliki JF-Expert Member

  #18
  Jul 25, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Dira ya mtanzania si kilimo kwanza.
   
 19. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #19
  Jul 25, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,603
  Likes Received: 4,709
  Trophy Points: 280
  Lowasa asikubali upuuzi wa kujivua gamba, akomae nao mpaka mwisho kama vipi wakimtosa wao basi atimize ahadi ya kumwaga ugali, tunasubiri kwa hamu hilo chezo.Mwisho wa ubaya ni aibu wametusumbua sana hawa wajinga sasa wacha watoane roho wenyewe kwa wenyewe, Mungu amesikia kilio chetu wadanganyika.Naisubiri kwa hamu siku Lowasa na best wake JK wakiwa wamevaa zile uniform za rangi ya chungwa.
   
 20. M

  Middle JF-Expert Member

  #20
  Jul 25, 2011
  Joined: Feb 7, 2007
  Messages: 243
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hakuna kitu kama hicho,jamaa sijui kama atatoka ccm.ww angalia kila siku wanaleta habari nyengine za awa mapacha watatu na wale wa ccj
   
Loading...