Bavicha..!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bavicha..!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ngwini, Jul 18, 2011.

 1. n

  ngwini JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tangu uongozi mpya wa Bavicha uingie madarakani naona kimya! Au ndo kujipanga? Maana magamba wanazunguka 2 mikoan! Heche vp? Au zilikuwa nguvu za soda! Peoples 2sisubiri mpaka uchaguzi maana watanzania wanatakiwa kufunguliwa!
   
 2. M

  Mzee Wa Maono Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha dharau wewe yuko ujerumani alikokwenda kupewa mafunzo ya kiingereza na namna ya kupigana na wapinzani wao wa ccm na nccr, na kupewa mikakati ya kuwashinda waislaamu kwani anapewa mafunzo na chama cha kikristo huko germany bwana.
  halafu huoni alizuiwa asifanye uteuzi wa viongozi wengine, unadhani hapo baraza lake litafanayaje kazi, bila mratibu wa uhamasishaji, bila katibu na manaibu wao.
  slaa akasema wamezuia ili wachague wajumbe katika mikoa yote lakini undani unasema wamasiktisha baada ya kuona zitto yuko karibu nae hahahahaa homa ya jamaa!..... hawa watachukua nchi kwa namna hii? mm nasema wamlete yeyote tu tunamchapa tena kwa 80% zaidi 2015
  na igunga mwambieni slaa aende.
   
 3. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Mpumbavu akikaa kimya huonekana mtu mwenye busara (wahenga walisema). Hivi mtu anahitaji kwenda UJERUMANI kujifunza KIINGEREZA? Ujerumani sehemu gani ya raia wa huko wanaongea Kiingereza?
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  i'm asking the same question as well
   
 5. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Usiwe mwongo wewe, Heche yupo sinza jirani na Maeda Bar anatunzwa na kaka yake na hata jana niimwona, labda ujerumani unayoisema wewe siku hizi imehamia Mori
   
 6. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kuna viongozi wa bavicha au majina ya viongozi wa bavicha. Ule uongozi ni kama viti maalumu.haina tofauti na pacha wao uvccm unawapa uongozi watu wasio na uwezo wala mvuto unategemea nini by daway mr mbowe na bwana slaa wanaua chama waliwafanyia fitina kina mchange,saane,nyakarungu.wakiogopa eti wakichukua uongozi itakuwa ngumu kwao kuendeleza ufisadi na kubwa kwakua wote haziendi nao walijua wanaweza tengeneza mtandao 2013 ukawatoa kwenye power wakashndwa endeleza biashara zao mle ndani ya chama yule slaa nae huwa kama mtambo kichwani wakati anawahoji wagombea ndani sababu za kuenguliwa alisema tofauti na alizosema kwa waandishi busara 2 ndo ilitumika ule uchaguzi ungevurugika
   
 7. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  SEMA JAMBO HECHE maana unalog na kusoma hizi Thread.
   
 8. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Mkuu, kwani CDM bado hawajampa nyumba mpaka anatunzwa na kaka yake?
   
 9. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hii thread ina bahati mbaya ya kupata wachangiaji wa mlengo wa kulia! Very sorry.
   
 10. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,200
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Hakuna neno jema linaloweza kutoka kwa magamba hata mara moja.
   
 11. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #11
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,403
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  dah...umenikumbusha kuwa bavicha ipo.
   
 12. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Either ni uwezo wako mdogo wa kujenga hoja au ni mtu wa kukurupuka,Jaziba,kujipendekeza kwa ccm na mbaya zaidi upo kwenye shimo la ubaguzi wa dini ETI KISA HAUIPENDI CHADEMA ni upuuzi' au unadhan ccm ni waislam wote?! Ajabu kabisa.
   
 13. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Swala hapa ni kujua BAVICHA wamepanga kufanya nin mwaka huu.Ukishayajua hayo basi unaweza kujadiri utendaji kazi wa Heche.
   
 14. J

  Jiwe la Ukara Member

  #14
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heche yuko Dar.amekwisha rejea kutoka ujerumani na sasa anapanga ziara ya kwenda mikoani.
   
 15. J

  Jiwe la Ukara Member

  #15
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sehemu ya kuishi kiongozi na anaishi na nani ni suala binafsi.hoja hapa ni kwa nini hasikiki kwenye duru za kisiasa,hoja ya makzi ni finyu na haina mashiko.... inaweza kuwa na mashiko kama kama anastahili nyumba na chadema hawajampa. vinginevyo utkuwa unaongea upupu.
   
 16. M

  Maengo JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mimi...! Kweli jamaa pumbavu sana!
   
 17. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #17
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Wamepanga Maandamano nchi nzima mjitokeze kwa wingi tu
   
 18. Ng`wanantogwa

  Ng`wanantogwa Member

  #18
  Jul 19, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa imekuwa kawaida humu ndani watu wametekwa na jinamizi la kujadili majungu na mambo yasiyokuwa na tija katika Taifa hili ambalo liko katika wakati mgumu sana! Inashangaza licha ya kuwa na mambo muhimu kabisa leo tunajadili eti HECHE anakaa kwa kaka yake, hii hata uwe upande wowote katika milengo ya kifikra haiingii akilini, Leo Tanzania tunapitia wakati mgumu sana ni wenye akili finyu tu ndo hawawezi kulitambua hili, kuna migogoro ya kijamii kila mahali kila sekta inashida, tazama kuna watu hawana maji, migogoro ya ardhi chungu nzima, Umeme ndo usiseme,mlundikano wa kesi mahakamani, Rushwa, Hospitali dawa hakuna wanaojifungua wanalala mzungu wa nne,Sakata la Rada, wabunge wageuka watoto wa chei chei shangazi mle bungeni kuna mambo chungu nzima hata nikiamua kuyataja yote siwezi kuyamaliza kwa leo, sasa mtu unapata wapi muda wa kujadili upuuzi, kujadili mambo binafsi!
   
 19. M

  Mzee wa Posho Senior Member

  #19
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bavicha ndio nini? ni juice kama Bambucha?
   
 20. L

  Lorah JF-Expert Member

  #20
  Jul 19, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 1,193
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0  wamepanga kusimamia swala zima la kuwachanganya Majoka waanze kushambuliana yenyewe kwa kuvuana magamba na kula rushwa ile wapate majimbo mengi yakuchukua..
  1. la Rostam
  2. Ngeleja
  3. Chenge
  4. Lowasa
  5. ......
  bado watakao uana wenyewe kwa wenyewe kwa kuvujishiana nyeti
  1. mama shelukindo
  2. january
  ........

  watakuwa Bize kishenzi....

  na Mzee mkubwa nae anajiudhuru ..... twasubiri Lowasa ampige kwa ile issue ile walio discuss tarehe 24....
   
Loading...