Ya Jairo: Mnashindwa kuelewa nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ya Jairo: Mnashindwa kuelewa nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by raffiki, Jul 25, 2011.

 1. r

  raffiki Senior Member

  #1
  Jul 25, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Great thinker ......kweli nimeshangazwa na uchangiaji humu JF juu ya KATIBU mlikizo Mh..Jairo....! nimeshangazwa kwasababu nimeisoma ile barua mara ya kwanza....nikadhani labda nakosea,nimeirudia tena mara ya pili....hadi mara tano. Sijaona kosa la Katibu Jairo hapo kwenye hiyo barua labda kama kuna kitu chingine nyuma ya tusiyoyajua mbali na hiyo barua...lakini kama ni barua hiyo sijui na sioni hata kosa lililofanya hii issue kuwa kubwa hivyo ni nini?, na zaidi nashangaa amesimamishiwa kwa nini?

  Naomba ninukuu kidogo madhari ya barua yenyewe..

  KATIBU.~anawajulisha kuwa wizara imekamilisha maandalizi ya bajeti ya nishati na madini

  ~, akaongeza kuwajulisha hao aliokuwa anawa-address hiyo barua kuwa bajeti hiyo imekwisha kupitishwa na kamati husika ya madini

  ~ KATIBU akaongeza kama ilivyokawaida kwenye uwasilishaji wa bajeti ya wizara hivyo huwa kuna maofisa mbalimbali na viongozi waandamizi wanaambatana nayo, hii ni kwa ajili ya kutoa ufafanuzi wa maswala yatakayo jitokeza kwenye mjadala na katika kuakikisha shughuli ya upitishwaji wa budget hiyo unafanikiwa~ naendelea ma great thinker msichoke..akaandika

  KATIBU ~ili kufanikisha mawasilisho UNAOMBWA, SIJUI NI MMOJA AU WANGAPI MIE SIJUI MAANA BARUA ILIYOANIKWA HAIJAONESHA WAPELEKEWA~

  ~OK tuseme kama inavyojitokeza kwenye mjadala wa swala hili…hizo taasisi zinazoandikiwa barua wanaombwa...narudia tena wanaombwa kuchangia...sio lazima!!!!

  KATIBU ---akaelekeza akaunti kwa atakaye kubali ombi hilo apelike pesa kwenye akaunti iliyotajwa na kusisitiza wizara ipewe taarifa kupitia ofisi ya DP……sio kupitia kwake hapana kupitia ofisi ya serkali.


  Great thinker nakuja kwenye hoja sasa. Ombi hilo liliombwa kimaandishi na kwa kupitia mfumo wa serikali na pesa hizo zimeombwa kwenye taasisi za serikali ndani ya wizara husika. Tatizo lipo wapi??na pesa za serikali ambazo ni za umma huwa zinakuwa accounted..wengine wataanza serikali haina pesa…na kupinga kuwa pesa ni za umma najua nao hao wapo ndio maana nimelieleza hilo…!

  SASA KOSA LA KATIBU LI WAPI HAPO????????????

  KWANINI AMESIMAMISHA KAZI!!!!!!KATIBU JAIRO KACHAPE KAZI BWANA.


  HAO WANAOKUWA NA BARUA ZA SERIKALI NA KUZITUMIA KISIASA NDIO WANATAKIWA WASIMAMISHWE NA KUCHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA…WAMEPATA WAPI BARUA HIYO?NA WAMEIPATAJE? ILI IWEJE? NA KWANINI? KWANI WAO NDIO TAASISI ZILIZOOMBWA HIZO HELA?


  SIO KUWA NAMTETEA KATIBU… HANIJUI…SIMJUI NA WALA SINA NIA YA KUJUANA NAYE, ILA NAJARIBU KUFANYA MAZOEZI YA KUWA JUDGE MAANA NAMALIZIA KOZI YA SHERIA.
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  kama asubuhi hivi unaandika upuuzi huu basi nina mashaka na maisha yako kama unayamudu au unategemea kila kitu kutoka kwa watu wengine.kuanzia mavazi hadi mawazo
   
 3. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,079
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Join Date : 4th June 2011
  Posts : 11
  Rep Power : 0

  ugeni na wenyewe ni shida.............. umekuja hivi majuzi tu so bado hujawa great thinker. sio kosa lako ni la Jairo!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Majibu sahihi unaweza kupata kwa January Makamba. yeye ni mwenyekiti wa kamati ya bunge ya Nishati na Madini na kama kweli Jairo anasema kamati ilidhapitisha bajeti then January anaweza kukumbia zile 'kasoro' alizosoma bungeni alizitoa wapi? na hata Beatrice Shellukindo kupata barua ya Jairo January anaweza kuwa na majibu mazuri huyu mama alipataje barua!
   
 5. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,402
  Likes Received: 3,728
  Trophy Points: 280
  Fikiri kwa kichwa si TUMBO.................
   
 6. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu nadhani usishangazwe na michango ya JF ishangae michango ya wabunge wa CCM wakiongozwa na Beatrice Shelukindo ambao ndiyo waliibua sakata hili juu ya katibu wa wizara wa serikali inayoongozwa na chama chao.
   
 7. k

  kizazi kipya JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  aaah kumbe unafanya mazoezi ya kujudge....mbona unasumbua watu kusoma thread yako wakijua kuna issue ya maana kumbe unafanya mazoezi?kama ni hivo napita tu endelea na mazoezi ya kujudge...but hapa sio sehemu muafaka kwa ajili ya mazoezi tafadhali..
   
 8. r

  raffiki Senior Member

  #8
  Jul 25, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Fikiri wewe ambaye unatoa shutuma tu bila kujua unatoa shutuma kwa vigezo gani....! unanijiona unaakili ungekuwa kila siku unalaumu wenye akili ambao wanakuongoza...na kuuliza wewe na wanaokuongoza nani anaakili????????????utaishia kubwabwaja tu wennzio wenye akili wanakula maisha
   
 9. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwanini Tuusi jadili kwa HOJA,
  1. Uthibitisho utolewe juu ya matumizi ya pesa hizo, kampuni inayosemekana kupewa zabuni ya kugawa hizo pesa iwekwe wazi.

  2. Inaonekana ni kawaida ya wizara kukusanya pesa kwa kazi hizo za Bajeti....Si sahihi lakini kwanini tusiende ndani zaidi, hii gelesha ya kumuadaAbisha Jairo ni magreen. Uwajibikaji ungeanzia kwa waziri husika, Hata Raisi angesema kitu.........................

  3. Naona Watanzania tumechoka kufikiri now, Naona watu sasa wameamua Bora liende,
   
 10. zululima

  zululima Member

  #10
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duuh hata huo ujaji kwa mitazamo hii utawezekana kweli. kwani barua za serikali kazi yake kuelekeza madudu? Mama shelukindo kafanya kazi nzuri kufichua ufisadi huo. unataka kutuaminisha kwamba wizara haikutenga bajeti ya maofisa wake kwenda kujibu maswali dodoma? kama zilitengwa zimekwenda wapi?
   
 11. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Crap..
   
 12. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkuu serikali ingekuwa inaendeshwa hivyo...sijuhi km nchi ingefika popote.....

  Yaani we unaona ni halali kwa ofisa yoyte wa serikali kuomba pesa...kutoka kokote anakotaka ilimradi katika taasisi ya serikali.Anaanzisa utaratibu wake tu...na hana hata bajeti ya pesa anayoomba....akipewa sawa na asipopewa sawa!km vile anachangisha mchango wa Harusi?Hiyo si sahii.Lazima serikali iendeshwe kwa utaratibu si kila mtu kuwa na ubunifu wake na kufanya anavyotaka.Watu km Jairo ndo wamewapeleka watanzania pabaya.
   
 13. T

  The GreatMwai Member

  #13
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekuelewa mkuu. Ila hoja yangu ni kwamba kwa jinsi ninavyoelewa utaratibu wa Serikali ni kwa kila Wizara kutumia Bajeti iliyopitishwa na Bunge katika kutekeleza wajibu wake. Na kwamba kumuomba subordinate ni lugha ya heshima lakini kiukweli kabisa Serikalini maana yake ni agizo. Ikitokea kwamba Wizara haina fedha au imeishiwa basi unatakiwa kuomba mkopo kwa taasisi husika kwa kuwa kuchukua kwa 'agizo' utakwamisha mipango ya Taasisi husika kwa kuwa yeye anauwezo wa kuandika madeni hayo na katika bajeti inayofuata kukawepo na kifungu cha kulipia madeni. Kuhusu ".... wennzio wenye akili wanakula maisha" ningekushauri lugha hiyo kidogo usiitumie unasababisha hasira kwa wananchi kuhusu serikali yao nimeandika hivyo kwa kuwa umejitambulisha kwamba wewe ni mwanafunzi. Kwa lugha za mitaani is OK.
   
 14. r

  raffiki Senior Member

  #14
  Jul 25, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru kwa kujadili hoja sio hao wanaojifanya wanaakili....!ndugu ukisoma vizuri mchango wwangu ni kwamba sijaona kosa juu ya barua hiyo labda ka kuna lingine la zaidi....labda cha kujiuliza ni kuwa pesa hiyo inaombwa kwa matumizi gani..nakubaliana na wewe kuwa bajet ya pesa iliyoombwa ni muhimu..sasa labda ipo barua tu haitoshi kumshutumu mtu...?na kazi ya kupitia matumizi ya bajet hiyo ni accounts office ya wizara hiyo..na ndio yenye jukumu la kuuliza matumizi mabaya kama yapo...na ku report sasa....kwa vyombo husiki ikiwemo hata wananchi..lkn sio katika njia ilivyopitia hiyo barua--asante sana
   
 15. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #15
  Jul 25, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kumbeeee...........................
   
 16. r

  raffiki Senior Member

  #16
  Jul 25, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ok..nashukuru kwakuwa umerudi kwenye hoja ..na kuacha lugha ulizoziita za mitaani kwa kejeri...na pia nashukuru kwa kuwa umetambua zinaleta hasira kwa wananichi..na mimi kama mwananchi ulipoandika..(nifikili kwa kutumia tumbo sijui) nilipata hasira hiyo ndio maana nikakujibu nawewe kati ya wewe unayefikiria kwa kutumia ubongo na si tumbo na wengine unaowatuhumu kila siku huku wanakuongoza yupi mwenye akili...TULIACHE hilo maana umekuja kwenye hoja..hongera....!Kuhusu hoja yako ni kweli usemayo lakini katika serikali kuna taasisi na hata kwenye wizara hiyo kuna accounting ofiice ndio inawajibika ku account besa za wizara na kuhoji kwa ajili ya hatua zaidi kama kuna ubadhilifu...lakini sio...njia hiyo ya kuanika barua na kujenga hoja ni ya kuhonga wabunge..oh asimamishwe..oh wafukuzwe..hee nchi haiendi hivyo bwana....hata Dr. slaa huwa akurupuki hivyo.....KIUFUPI NI HIVYO>>ASANTE KWA KUJADILI HOJA NA SI LUGHA ZA MITAHANI
   
 17. b

  baba koku JF-Expert Member

  #17
  Jul 25, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 340
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  La muhimu ni kufahamu dhamira, nia nalengo la mtuhumiwa lilikuwa ni nini zaidi yayale yaliyoelezwa katika barua. Kwakweli kama tukisoma vizuri ile barua tu, mimi sioni kosa lolote.
   
 18. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #18
  Jul 25, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Kwa ujumla nimeshangazwa na michango mingi ya wana JF katika hoja hii. Mtoa hoja katoa hoja nzuri, badala ya kujadili watu wanaanza kubeza bile kutoa hoja. Hapo nikapatwa na swali "Is this really the forum for great thinkers?" Sio mara moja great thinker anakuwa mvivu wa kufikiri. Wote walioonyesha uvivu mkubwa huo wa kufikiri wameiangusha sana JF. Kama huna hoja ni bora kuwa kimya, kwani ni lazima kuchangia kila hoja?
  Naungana na mtoa hoja kuwa kwa barua ilivyo, JAIRO is very clean, ila kilicho kwenye background ndo kinaleta utata. Nadhani ni busara pia kumsimamisha kwa malipo (kwani ndo sheria zetu zinavyoelekeza) ili ukweli upatikane. Iwapo pesa hii ilikuwa/ilitunika ndivyo sivyo ni wengi tu wa kuwajibika si Jairo pekee.
  Naomba kuishia hapo kwa sasa ila nawasihi wana JF kuchangia hoja kuliko kuchangia matusi na dhihaka hata penye hoja zenye mashiko kama hii.
   
Loading...