Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Maggid Mjengwa, PTOLEMY, mwanafalsafa wa Kiyunani alipata kuandika: ”Ex Africa simper aliquid novi". Maana yake: "Kila kukicha kitazuka kioja kingine Afrika." Naandika makala haya...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Warioba anajichanganya mwenyewe, anasema “Serikali mbili malalamiko yanaendelea kujitokeza kila kukicha” , vilele anasema “wanaohitaji Serikali tatu wasijidanganye kuwa zikianzishwa kero za...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kufuatia uamuzi wa chadema kumwandikia barua ya onyo Mbunge wa Maswa Mashariki John Shibuda pia mkumtishia kumvua uanachama mbunge huyo, ndani ya wiki hii kumekua na mzagao wa maneno kwamba...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
sijui mshahara utapanda? Yetu macho! UPDATES: Mishahara imepanda lakini bado haijajulikana kwa kiasi gani.
0 Reactions
141 Replies
12K Views
Nasikitishwa sana na tabia wanazoonyesha wabunge wa chadema ya utovu wa nidhamu kuongea wakati spika hajaruhusu, kupiga makofi pasipo sababu, kuongea kwenye mic wakati umekaa. Mmetumwa na wananchi...
2 Reactions
81 Replies
8K Views
...mgao wa umeme uwe saa moja mara moja kwa wiki. Kusiwe na madawa hospitali hata haya yasiyotosha sasa yawe machache zaidi, waalimu na manesi wapigike zaidi na wakulima wapigike zaidi. Labda...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
Vijana mbalimbali kutoka asasi za vijana, shule za sekondari, wajariamali, vyuo vya elimu ya juu na vijana wa makundi mbalimbali wapo katika Mjadala wa Vijana na Mchakato wa Katiba Mpya hapa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WAZIRI wa Nishati na Madini, Willium Ngeleja amesema ni ngumu kujiuzulu kwa kuwa tatizo la umeme si la wizara yake pekee na kuwafumba midomo wale wanaotaka ajiuzulu licha ya Bajeti yake kukataliwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndugu wana Jukwaa la katiba, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimetualika wanajukwaa wote kushiriki mdahalo wa Katiba utakaofanyika Ubungo Plaza siku ya Jumamosi Tarehe 30/07/2011 saa 3-7...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
  • Closed
tunaomba Dr.Slaa uje tena JF ajibu maswali ya moja kwa moja, yapo mengi ya kukuuliza hasa kipindi hiki mfano:- giza totoro na majibu mepesi ya rais na mawaziri, bahasha la jairo. kujivua gamba...
10 Reactions
56 Replies
6K Views
mhh kweli sijasoma historia ila waziri huyu anatoa historia za viongozi wa marekani na mataifa mengine. Watching now
0 Reactions
68 Replies
7K Views
Tofauti kabisa na nchi nyingine Africa na hata duniani Wabunge wetu wamekuwa bado na mtazamo duni wa kuendesha siasa za kishabiki Bili kutazama Maslahi ya nchi. Ni mara nyingi tuneona viongozi wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwanza mtanisamehe kama nitakusea Kiswahili kidogo lakini nimejitahidi sana kuhakikisha kuwa si isahau Lugha Ya Nchi Yangu Naandika Waraka huu nikiwa natulia kidogo kushika Tama, kama mtanzania...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wana jf kutokana na uhalisia uliopo juu ya mahusiano ya CCM na CUF katika siasa napendekeza lipumba kuchukua nafasi ya Mkulo kwa manufaa ya taifa hili kama ifuatavyo 1.Ni mchumi aliyebobea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau wa JF, mimi binafsi nimepigwa na bumbuwazi baada ya kusikia watu wamezirai eti kisa ni kujiuzulu kwa Mh.Rostam Aziz,hebu naombeni mnisaidie hii maana yake nini???Najua Igunga kuna wana JF...
0 Reactions
173 Replies
14K Views
HOTUBA YA MHE. GODBLESS JONATHAN LEMA (MB), MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI WIZARA YA MAMBO YA NDANI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI KWA MWAKA WA FEDHA...
20 Reactions
160 Replies
18K Views
Wenje akichangia bungeni leo amesema afadhali alale Selo(Polisi) kuliko kukaa kimya huku nchi ikiliwa na wakubwa, Na kasema haoni kwanini traffic police akomaliwe kwa Tshs 20,000 wakati wakubwa...
7 Reactions
115 Replies
13K Views
Ukienda siku za wkend club 84 iliyoko Dodoma kipindi cha bunge ni nadra sana kumkosa waziri ngeleja. Lkn kibaya zaidi ni kipindi hiki ambacho nchi iko kwenye crisis ya umeme waziri huyu bado ana...
2 Reactions
54 Replies
5K Views
I have keenly followed the debates in the house, among other things, the question on union between Tanganyika and Zanzibar, both sovereign countries. While I despise those questioning the motives...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Gire akitoka makamani leo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mjini Dar es Salaam, imemwachia huru Naeem Gire aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya kughushi na kuwadanganya serikali kuwa mitambo ya...
0 Reactions
51 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…