Raia Mwema: Twajifunza nini na vurugu hizi za Tottenham, London? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raia Mwema: Twajifunza nini na vurugu hizi za Tottenham, London?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kulikoni Ughaibuni, Aug 11, 2011.

 1. Kulikoni Ughaibuni

  Kulikoni Ughaibuni JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Dec 12, 2007
  Messages: 234
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 60


  KIUNGO: http://raiamwema.co.tz/twajifunza-nini-na-vurugu-hizi-za-tottenham-london#
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  NOTHING TO LEARN FROM TOTTENHAM

  That has something to do with race discrimination; black people majority are unemployed they removed all social services because of bad Economy

  IT IS TOTALLY DIFFERENT PROSPECTIVES and POLITICS!!!
   
 3. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kaongea vitu tofauti ,hivi nani anayeweza kusema issue ya ya Uingereza ni weusi,asilimia kubwa wale vinana [the yob] ni wengi ni vijana wa kizungu na wakishirikiana na vijana weusi.Na walichofanya ni kuvunja sana maduka ya Wahindi.lakini ilifikia watu wengine wakaliangalia kuwa ni swala la ugaidi.lakini ukweli ni swala la kiuchumi sana kuwa Waingereza wamebinafsha shughuri nyingi za uchumi mikononi mwa wageni kama wahindi na waarabu kiasi kuwa wahindi kiasi kuwa wamegeuka kuwa watu wa vibarua ndani ya nchi yao.\

  Na aibu hiyo Waingereza hawataki kuiambia ukweli Dunia haraka haraka wamekimbilia kuwahukumu na kuwafunga kwa kesi za haraka za usiku wa manane.kumbe ndio wanaunda bomu kubwa lijalo.[Bofya Hapa]
   
 4. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,654
  Trophy Points: 280
  Hivi huku kwetu zipo?
  na kama zipo ni zipi hizo?
  au ndio Social Halls wanazogombania wakina Masaburi?
   
 5. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  For your Info this has happened in 1983; During Margareth Thatcher period... Concervative she did removed social services; in which majority of blacks who are unemployed depends on to survice... what she did she had to remove the cuts from Social Services so that blacks who are underemployed to be quit... IT IS DECLINE OF BRITAIN; My friend look Indians in those areas poor area of Tottenham they own all the businesses and the money attained does not help that society...

  IT IS ECONOMY DISCRIMINATION MY FRIEND... we have no such issue in TZ

  We have Small FISADIS; Empty Stomach's... for those White kids they r suffering as well as u know WEALTH DIVIDE is WIDENING so some whites are affected by this RECESSION and the CUTTING OF SOCIAL SERVICES...
   
 6. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Good about Tanzania; land is still free and available so you can go to the village and work produce food; in Industrialized nations everything is market so all needed necessity to survive is privatized; so big corp pay high taxes to compasate for those who lives in GVT housing who are underemployed forced out of work for capitalist reasons so to quite them is to give free food, accomodation so they cannot go to the street and fight...
   
Loading...