CHADEMA vs Sauti Huru

Najijua

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,039
180
Wadau toka jana nimejaribu kutafakari pasipo kupata majibu sahihi kuhusu gazeti linalo itwa Sauti Huru na habari zake zzote zimekaa kishabiki na kichochezi ambapo hazina hata uzito na mashiko hata kidogo
 
Wewe unasoma gazeti tu siku moja hlf unatoa hoja, mbona huyaongelei magazeti ya uhuru, the citizen, habari leo nk. Au unafikiri kwa kutumia makalio nini?
 
acha matusi tujadili hoja,hayo unayo yasema tayari inajulikana ni mali za ccm na serikali yao!kweli we wa kusoma
 
Wewe unasoma gazeti tu siku moja hlf unatoa hoja, mbona huyaongelei magazeti ya uhuru, the citizen, habari leo nk. Au unafikiri kwa kutumia makalio nini?
<br />
<br />
Anatumia batax na sio makalio yenye tafsida nzur
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom