Je kipimo cha chama kuwa na nguvu ni kushinda chaguzi ndogo?

oldonyo

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
549
86
Nimeamua kuandika post ii ili tuweze kuchangia mawazo na nyinyi,kwani kwasasa macho ya watanzania wengi yameelekezwa katika uchaguzi mdogo wa jimbo la igunga kama kipimo cha vyama kukubalika kwake.lakini tukirudi nyuma chaguzi nyingi ndogo hasa katika awamu ya kwanza ya jk zilifanyika hasa katika majimbo ya tarime,busanda biharamulo magharibi na mbeya vijijini nini matokeo ya chuguzi izi?ni kwamba ccm kiliweza kutetea viti vyake na pia chadema katika jimbo la tarime.lakini pamoja na ayo katika uchaguzi mkuu wa 2010 licha ya ccm kushinda chaguzi ndogo iliweza kugaragazwa vibaya na vyama vya upinzani sana sana chadema.sasa nikweli uchaguzi mdogo wa jimbo la igunga unaweza kutupa picha halisi ya 2015 mambo yatakavokuwa.NAWASILISHA.
 
Back
Top Bottom