CUF: Lolote liwalo Igunga..! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF: Lolote liwalo Igunga..!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mchemsho, Aug 10, 2011.

1. mchemsho

mchemsho JF-Expert Member

#1
Aug 10, 2011
Joined: Jun 8, 2011
Messages: 3,158
Likes Received: 143
Trophy Points: 160
Nimeshtuka sana baada ya kuona habari tbc1 kuhusu harakati za vyama vya siasa kupoka jimbo la igunga kwenye uchaguzi mdogo ujao. CcM wanaita OPERESHENI TETEA IGUNGA, wakati Chadema ni OPERATION CHUKUA IGUNGA..cuf ndio wamewapoteza wote wenyewe wanaita OPERATION LOLOTE LIWALO IGUNGA..! ina maana cuf hawana cha kupoteza igunga?

2. j

janja pwani Senior Member

#2
Aug 10, 2011
Joined: Jul 27, 2011
Messages: 104
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
yaani cuf wapo tayari kwa lolote kwa mapambano yaani ngowa itakavyopigwa ndivyo itakavyochezwa.

3. Arafat

Arafat JF-Expert Member

#3
Aug 10, 2011
Joined: Nov 17, 2009
Messages: 2,582
Likes Received: 41
Trophy Points: 0
Yaani wapo kwa ajili ya kuisaidia CCM hata kama watalaumiwa potelea mbali lolote liwalo wao wataisaidia CCM tu!

4. njiwa

njiwa JF-Expert Member

#4
Aug 10, 2011
Joined: Apr 16, 2009
Messages: 11,067
Likes Received: 1,803
Trophy Points: 280
CUF inakubalika kule.. hilo halina ubishi... akienda lipumba kule anafunga kazi ...

5. J

JACADUOGO2. JF-Expert Member

#5
Aug 10, 2011
Joined: Dec 13, 2010
Messages: 930
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
CUF ni Magamba B!

6. LINCOLINMTZA

LINCOLINMTZA JF-Expert Member

#6
Aug 10, 2011
Joined: Mar 15, 2011
Messages: 1,640
Likes Received: 5
Trophy Points: 0
OPERESHENI TETEA IGUNGA -CCM (Tunataka tena njamani hamoni maendeleo)
OPERATION CHUKUA IGUNGA-CDM (Tupeni nasi, tuwaletee maendeleo ya kweli)
OPERATION LOLOTE LIWALO IGUNGA-CUF (Hata tukikosa hakuna shaka, mladi tumeshiriki uchaguzi)

Tafsiri yangu.

7. l

leloson Member

#7
Aug 10, 2011
Joined: Aug 7, 2011
Messages: 71
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Duh kweli cuf kiboko, wakat wenzao wauzaj wa nishat ya mafuta wakigoma kutoa huduma wao wanafanya mgomo wa kufikiri. Wakishika nchi hawa.

8. l

leloson Member

#8
Aug 10, 2011
Joined: Aug 7, 2011
Messages: 71
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
eti ndo wanataka tuunde kambi ya upinzan pamoja,

9. Speaker

Speaker JF-Expert Member

#9
Aug 10, 2011
Joined: Aug 12, 2010
Messages: 6,357
Likes Received: 21
Trophy Points: 135
Jamaa wa tafsiri yangu sijui yuko wapi

10. Chimunguru

Chimunguru JF-Expert Member

#10
Aug 10, 2011
Joined: May 3, 2009
Messages: 9,843
Likes Received: 270
Trophy Points: 180
CUf si mke wa CCM so lolote lile wao kwao ni sawa tuu

11. w

woyowoyo Senior Member

#11
Aug 10, 2011
Joined: Jul 24, 2011
Messages: 173
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
hiki chadema si ndio kile chama kinachofanya kampeni makanisani? hivi na igunga watafanya hivyo, lakini msajili atakuwepo huko wakirudia tena atakifuta.

12. Linyakalumbi

Linyakalumbi JF-Expert Member

#12
Aug 11, 2011
Joined: Jul 28, 2011
Messages: 259
Likes Received: 19
Trophy Points: 35
Ukweli unajua kwamba unaongopa,U know Kanisani hakuna masharti yeyote anaweza ingia Mwislam,mpagani n.k.Ila Msikitini kama Huna Majini na Kanzu huwezi,Nachotaka kusema Kanisani hakuna Siri yoyote pale.Ndio maana Makanisa wakati wa Kampeni yalikuwa yanajaa sana kwa sababu mlikuwa mnakuja kuona kama zitapigwa kampeni!!Lakini Nyie Vikao Vyenu Mnavyo kaaga alfajiri,Usiku huwa manaongea nini?Msikitini si ndio mnajadili namna ya kuandamana na namna ya kumpigia kura muislam?Endeleeni kupiga kampeni tu misikitini,maana nasikia baba Liz kasema hatamwachia nchi kafiri sio,sindivyomlivyokubaliana Msikitini?Kesho vp Mnaandaman tena kwa hii komenti?

13. Vin Diesel

Vin Diesel JF Gold Member

#13
Aug 11, 2011
Joined: Mar 1, 2011
Messages: 8,401
Likes Received: 736
Trophy Points: 280
anaetunga motto za CUF hawezi kuwa mwanasiasa...inabidi akafundishe mgambo.
ndio yale yale ya ngangari mwishoe wakalegea wenyewe.

14. j

janja pwani Senior Member

#14
Aug 11, 2011
Joined: Jul 27, 2011
Messages: 104
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

misikitini hakuna siri ndio maana wameweka vipaza sauti juu msikiti kila mtu asikie, tofauti na kanisani kila mtu lazima awe na kadi na namba vinginevyo huingii, haya ya makampeni makanisani mnayasema wenyewe mitaani, mlikesha kuhakikisha babu slaa anaingia ikulu, nendeni tena mkakeshe igunga!

15. Mzito Kabwela

Mzito Kabwela JF-Expert Member

#15
Aug 11, 2011
Joined: Nov 28, 2009
Messages: 17,515
Likes Received: 1,685
Trophy Points: 280
Lolote liwalo maana yake kuna JIHAD! Si unajua tena Chama Cha Wananchi wavaa kanzu mwezi huu ndio mwezi wa haki kwao? Msishangae kusikia kuna majambia elfu kumi yameingizwa igunga kwenye mifuko ya tende na halua

16. t

toxic JF-Expert Member

#16
Aug 11, 2011
Joined: Dec 11, 2010
Messages: 773
Likes Received: 11
Trophy Points: 35

Dah! Nimecheka sana.

17. w

woyowoyo Senior Member

#17
Aug 11, 2011
Joined: Jul 24, 2011
Messages: 173
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
hivi mnafikiri chadema mtaingia ikulu kwa mgongo wa udini? msahau kabisa

18. M

Marytina JF-Expert Member

#18
Aug 11, 2011
Joined: Jan 20, 2011
Messages: 7,037
Likes Received: 44
Trophy Points: 145
ajaribu tujionee namna mwenyekiti atakavyochangamsha bunge

19. BinMgen

BinMgen JF-Expert Member

#19
Aug 11, 2011
Joined: Jun 18, 2008
Messages: 1,816
Likes Received: 28
Trophy Points: 145

Wewe ndio kafiri! au?

20. M

Mwera JF-Expert Member

#20
Aug 11, 2011
Joined: Oct 26, 2010
Messages: 968
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Wacheni ushabiki wa vyama,CUF inakubalika sana igunga,viongozi wakuu wa cuf na chadema wakae wakubaliane kua wapinzani wamwachie cuf pekee hapo uhakika upinzani utashinda,ila kama nitamaa zafisi nimia kwamia ccm watashinda, kumbukeni ya tarime kura za ccm walizoshinda ubunge nikidogo kuliko za cuf na chadema,inamana wapinzani wangeweka mgombea 1 tarime wangeshinda.na igunga yatawakuta kama ya tarime.

Loading...