Tuipongeze serikali, na Ngeleja kwa ushindi huu dhini ya mafuta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuipongeze serikali, na Ngeleja kwa ushindi huu dhini ya mafuta

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Iteitei Lya Kitee, Aug 11, 2011.

 1. Iteitei Lya Kitee

  Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 589
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Leo ni siku ya pili tokea tamko litolewe na Wizara,ni dakika chache zimepita toka nijaze full tank yangu kwa kituo cha BP,huu ni ushindi kwa EWURA,WIZARA,na SERIKALI kwa ujumla.TUWAPONGEZE,TUWATIE MOYO ILI WAENDELEE KUTUFANYIA MAZURI.
  Hureeee Ngeleja,bajeti yako itapita kwa asilimia 100 kama ukiendelea na usanii huu huu wakutupa umeme ili tusahau machungu...kisha baada ya bajeti unaturudisha kule kule gizani mmmmh....
  hongera sana kwa janja ya nyani.....
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mhhh, wapongezwe kwa ku-engineer tatizo na kulitatua au kwa kuwa walitengeneza mazingira ya kuzuia tatizo kutokea?
   
 3. nahavache

  nahavache JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 869
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Katika hili serekali haina la kujivunia. Ingejivunia kama ingechukua hatua za kinidhamu kwa wauza mafuta. Nadhani huu ni mpango wa cheap popularity tu. Serekali ya tz iko mifukoni mwa wafanya biashara. In fact, wafanyabiashara hata kodi wanalipa kidogo sana
   
 4. Iteitei Lya Kitee

  Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 589
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Una takwimu??
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  sioni cha kupongeza coz kwa umeme sinza mgao umerudi km kawa leo hakuna umeme. mafuta tumesota siku zote hizi serikali ilikuwa inapumulia mashine hoi bin taabani na ulevi wa madaraka ambayo hatuyaoni, eti leo hii tuwapongeze aaah wapi! wasubiri kisu tu 2015
   
 6. F

  FUSO JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,339
  Trophy Points: 280
  usituongezee hasira zetu ndugu...
   
 7. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,127
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Unapongeza kwasababu umejaza fulltank....umefikiria wenzio wa Masasi?...by the way umejazia BP ya wapi?
   
 8. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Wenzenu huku Geneva Of Afr. bado tumebebana na vidumu vyetu.
  Halafu siwezi kutoa pongezi kwa wabaka uchumi.
   
 9. cabhatica

  cabhatica JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 1,074
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Mpaka wabunge walete hoja ya dharura bungeni ndipo serikali iamke....shame! Labda tupongeze bunge
   
 10. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  who can afford to run will run, but what about those who cant!! namkumbuka masaburi!!! masaburi hoyeeeeee!
   
 11. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #11
  Aug 11, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Tuipongeze sana serikali ya ccm kwa ujinga wanaofanya
   
 12. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #12
  Aug 11, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hamna cha kujivunia hapa wala kupongeza!
   
 13. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #13
  Aug 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  <br />
  <br />
  Ni jukumu lao. Adha ya mafuta imegusa hata wao ndo maana. Ask why cant they do that kwa umeme na sekta nyingine? Hiyo ni tone la maji kwa bahari mkuu..... Aisee hilo jina lako mods wakijua maana yake wanakulima ban! Teh teh!
   
 14. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #14
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ..Sipo tayari kuipongeza Serikali LEGELEGE
   
 15. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #15
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Mabaya 99 jema 1! Sipongezi ng'o.
   
 16. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #16
  Aug 11, 2011
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 1,993
  Likes Received: 1,047
  Trophy Points: 280
  Huwezi kumpongeza mtu eti kisa katimiza wajibu wake. Hii ni Aibu!
   
 17. j

  janja pwani Senior Member

  #17
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naipongeza serikali, kutatua tatizo la mafuta, na umeme safi sana. wanaopinga wana kisokolokwinyo. mtakufa mapema kwa roho mbaya
   
 18. mrere

  mrere Member

  #18
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kwa hili la mafuta na umeme siwezi kuipongeza serikali hata kidogo nitakuwa mnafiki
   
 19. Nyota Ndogo

  Nyota Ndogo Senior Member

  #19
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "Wanawake wanyimeni unyumba waume zenu kama watawaunga mkono wapinzani": Sofia Simba

  huyu mama anantia hamasa sana; sjui ntampataje?
   
 20. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #20
  Aug 11, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Iteitei lya kite hilo jina lako lina maana kweli?
   
Loading...