Maendeleo ya Tanzania yataletwa na kuongelea masuala ya kitaifa si majina ya watu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maendeleo ya Tanzania yataletwa na kuongelea masuala ya kitaifa si majina ya watu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmaroroi, Aug 11, 2011.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Watanzania sasa tuongelee sifa za waofaa kuongoza nchi yetu na si kuongelea majina ya watu.Sifa za kiongozi anayefaa kuongoze ziteonyesha dhidi mhusika alivyo na nia njema ya kuongoza.Kuongelea majina ya watu kuwa huyu ni maarufu hazina tija katika kuiletea Tanzania maendeleo.Naomba ndugu zangu wanaJF tuchangie jambo hili.
   
Loading...