Hukumu yangu kwa madiwani 5 wa CHADEMA Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hukumu yangu kwa madiwani 5 wa CHADEMA Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bolivar, Aug 11, 2011.

 1. B

  Bolivar JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Bado sina taarifa za kutosha juu ya nini kiliendelea nyuma ya pazia juu ya muafaka wa Arusha uliopelekea kufukuzwa uanachama madiwani watano wa CHADEMA. Jambo moja, hata kama chama kilikosea, binafsi ningekuwa mmoja wa hawa madiwani bado ningetekeleza agizo la kamati kuu kwa sababu kutunishiana misuli na kamati kuu hakukinufaishi chama. Ningetafuta venue nyingine baadaye kuwaeleza viongozi wangu wakuu jinsi walivyopotoka katika suala zima. Hii ni kwasababu kuitunishia misuli kamati kuu ambayo ni kikao kikuu cha chama hakunufaishi chama, zaidi inawanufaisha wapinzani wa chama. Mtu yeyote mwenye mapenzi ya kweli na chama angekiweka chama mbele na si yeye binafsi.

  Whether walikuwa na haki au walikosea jambo moja ambalo nina uhakika nalo HAWANA MAPENZI NA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO, wao na malengo yao binafsi wamedhani ni bora kuliko chama.

  Hatuhitaji viongozi wa aina hii, waondoke kuna vyama vingi tu vinawafaa, ila si CHADEMA.

  CCM, these are your potential members!
   
 2. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Kwani hata wewe ni share holder wa Chadema? Una % ngapi?
   
 3. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mawazo mazuri
   
 4. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  kweli wewe barubaru. Akili yako iko kibarubaruuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu. Unawaza, kufikiri na kutenda kibarubaruuuuuu.
   
 5. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mawazo mgando.
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Wewe mwenyewe unasema bado ujapata taarifa halafu unatoa hukumu
   
 7. S

  Sharp lady Senior Member

  #7
  Aug 12, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  wewe unafikiri kwa miguu au m*kalio.
   
 8. P

  PauliMasao JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2011
  Joined: Nov 26, 2007
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sijui kama CCM huwa wanachukua rejects!
   
 9. L

  LAT JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
 10. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Huu ni wakati wa kuondoa makapi na kubakiza wanachama real!
   
Loading...