Meya Masaburi avunja Bodi ya DDC; Inaongozwa na Zungu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Meya Masaburi avunja Bodi ya DDC; Inaongozwa na Zungu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mchemsho, Aug 11, 2011.

 1. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Meya wa jiji la dsm mstahiki didas masaburi ambae yupo kwenye mvutano mkali na wabunge wa dsm baada ya kuwaambia wanafikiri kwa kutumia m.atako, leo hii(alhamisi) ameivunja bodi ya shirika la DDC iliyochini ya mbunge wa ilala mh. Azzan kwa tuhuma kuwa wamepangisha frame za DDC kwa wachina ambao wanalipa 2mill, wakati zinazowasilishwa ni laki3. Je, nani yuko upande wa wananchi, na nini itakuwa hatma ya mgogoro huu na athari zake kwa wana-DSM
   
 2. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Hakuna yeyote aliye upande wa wananchi nafikiri Masaburi kakosa mgawo hapo vinginevyo tusingeyajua haya.
   
 3. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mbona kuna post nyingine kule mambo mbalimbali inasema mtemvu
  tunaomba hii iwekwe sawa
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Patamu hapa tutajua mengi kweli kweli, tiombee tu wasipatanishwe na CCM, maana CCM kazi yao kuficha wezi
   
 5. o

  oldonyo JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Anajipalilia tu uyo kaona mambo yamemfika shingoni ndo anajifanya mchapakazi.magamba kama wana uwezo wachukue maamuzi magum kama ya cc ya chadema kuwafukuza kina masabuli,el na EC
   
 6. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kazi nzuri akifanya mtu ambae ni mbaya haibadiliki kuwa kazi mbaya... Kama kweli wamekula pesa basi Hongera kwa kufanya kazi nzuri ya kuvunja Bodi..... Its about time muanze kufanya kazi.., although na huyo meya kwa kazi yake mbovu inabidi ajifukuze kazi
   
 7. K

  KICHI Member

  #7
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tunaliwa hapo ddc upande supu na nyama choma,yupo jamaa anaitwa ARISEN MMASSY,analipa laki mbili kwa siku,je jiji linapewa ngapi?
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  wacha aendelee kukosa mgao mkuu tujue mengi na mengi na hivi tunasali kuomba Mungu awanyanyue watu kama hawa waliomis migao kutujulisha kunani nchii hii
   
 9. F

  FredKavishe Verified User

  #9
  Aug 11, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mkuu fanya marekebisho kidogo inaongozwa na ZUBERI MTEVU
   
 10. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nimeshaanga sana pale DDC kariakoo duka moja watu wanalipa laki nane lakini mkataba wa DDC unaonyesha laki moja
   
 11. Ngwanakilala

  Ngwanakilala JF-Expert Member

  #11
  Aug 11, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 60
  Tanzania kama hamna serikali. Kila mtu anajifanyia vyake. It is lawless country kama Somalia. Kama tairi limechomoka kwenye gari sasa linachanja mbuga na kupamia kila kilicho mbele yake. Wauza mafuta wanajiamulia mambo yao, wabunge wanajiamulia mambo yao, mafisadi wanajiamulia mambo yao, huyu anavunja bodi hii huku na yeye anachunguzwa na kamati ile, TAKUKURU wanaendelea na madudu yao (wataleta ripoti Masaburi hana kosa na hakuna ukiukwaji wa sheria uliofanyika katika kuuza UDA), wengine wanauza mali za umma na kuweka hela kwenye account zao binafsi, wengine wanakamatwa na mabilioni kwenye account, viongozi wanahonga wabunge bajeti zipite, waziri mkuu ambae ni serikali analia hana madaraka yakumfanya lolote. Yaani ni chao na catastrophes kama Somalia!
   
 12. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #12
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,578
  Likes Received: 1,673
  Trophy Points: 280
  Yaleyale ya NHC!
   
 13. s

  stambuli Member

  #13
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ni vema migogoro hii ipelekee manufaa kwa wananchi waliosahaulika,huenda mengi yataibuka na kuwa chanzo kwa haki kupatikana.
   
 14. m

  muyaka bin Haji Member

  #14
  Aug 12, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi ni kweli Masaburi ni MJALUO?
   
 15. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #15
  Aug 12, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Mkuu umgemalizia na Waziri Mkuu anusulika kupigiwa kura ya kutoaminiwa Naibu Spika amuokoa
   
 16. G

  Godwine JF-Expert Member

  #16
  Aug 12, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  vita ya panzi furaha kwa kunguru
   
 17. k

  kinyongarangi Member

  #17
  Aug 12, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio ni mjaluo. Ni fisadi aliyekubuhu na aliwahi kufilisi mradi wa magari ya wanafunzi wa mkoa wa adsm
   
Loading...