Akaunti za Msekwa, Luhanjo zichunguzwe

Akaunti za Msekwa, Luhanjo zichunguzwe

President Elect

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
693
Reaction score
212
Kutokana na kuhusishwa na kashfa ya kutorosha nyara za taifa nje ya nchi kinyume cha sheria, kuna haja ya kuchunguza akaunti za vigogo hawa wawili ili sheria ichukue mkondo wake.
 
Binadamu viumbe wa ajabu sana, mtu anaviwanja 20 havijajengwa ana lobby vingine 10.
Mtu ana Majumba na utajiri wa kutupwa bado anaiba mali za umma tena na tena.

Mtu ana miaka 68 bado anajilimbilizia mali wakati muda wake wa kuishi duniani upo kwenye RED. Kweli Binadamu kiumbe cha Ajabu.
 
Baada ya uchunguzi ni kitafuata? Maana hawa watu wamekuwa viongozi kwa muda mrefu, hata ukikuta wana pesa kwenye account zao utafahamu kuwa zinahusiana na nyara? Na, je wale waliokutwa na mabilioni wamefanywa nini mpaka sasa?
 
Katika viumbe vyooote vilivyoumbwa basi binadamu kaumbwa kuliko vitu vyote!

Pius Msekwa kalitumikia taifa hili kabla hata ya nchi hii kupata uhuru mpaka amekuja kuwa spika wa bunge la Tanzania kwa miongo miwili, muda wake wa uspika ulipokwisha akagombea tena lakini akashindwa angalia tamaa hiyo! Serikali hii hii kwa uongozi wake JK akambeba na kumpa chungu cha asali pale Ngorongoro! Sasa kashfa imemkumba ya kuuza eneo ili ljengwe Hotel ya nyota 5 pale Ngorongoro!

Ndio maana mimi naunga mkono hoja ya meya mmoja wa pale jijini Dar es Salaam kua viongozi wanafikiri kwa kutumia Masaburi na sio bongo!
 
mbona mnataka mambo ya kamanda shimbo yajirudie tena kweli bongo headache..
 
Wote ni magamba hakuna wa kumvua gamba mwenzake,bila magamba(rushwa) hawawezi kuishi
 
Kama umesikiliza redio za leo na kama umesoma magazeti ya leo kwa kweli ni huzuni kubwa sana sana katika watu ambao sikuwahi kufikiria kuhujumu uchumi wa nchi hii ni huyu mzee ..binafsi nilijua kikwete aliingia kwa fedha za rostam so huyu ukimwita mhujumu sishangai..ila huyu babu amenishtua wandugu

kwa kweli mzee wetu kama kweli yalioandikwa kuwauzia wafanyabiashara sehemu zisizoruhusiwa kwa njee zenu ama za ccm ama familia yako kwa kwli ni aibu sana sana mzee wangu

nimebaki najiuliza kama wewe upo kwenye list ya wale wale mze wangu uko ccm nani wasafi jamani??

Mbona mnatia aibu ccm shame on you aibu kabisa jamani
 
Ulikuwa haujui kuwa kati ya wanaccm milioni moja kuna mtu mmoja tu aliyemsafi
 
What goes around comes around! Karma has catched him up!
 
yaaani aibu ya ajabu sijui ukerewe anaaenda kuwaambia nini wahuni kama hawa wanatakiwa kuangaliwa accounts zao jamani
loh kikulacho kinhguoni mwako mmh imenitisha kweliiiii si kidogo na mwanae yule sijui ndio atasema nini
 
Khaaaaa, Mikerewe ni Mifisadi?

Tena ufisadi wao hata haujaenda shule, mweeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kibaya wao huwa wanataka waonekane watu wa busara sana.

Ona mama Mongella, wizi wa kitoto aibu tupu.

Huyu Mzee kaanza wizi zamani. Mzee FM Es anasema "alimnyang'anya Mwanamke Hayati Kawawa" na akaondoka na mtoto Anna Abdallah.

Sasa kaja kuuza mbuga ya wanyama. Huyu aibu kashaziuza zamani sana. Sasa hivi anadunda tu. Watoto wake wakisoma Russia walikuwa na wao aibu tupu na mwisho wanasema "like father, like son."
 
Teh teh magambaaa, kumbe wote ni magamba. Sasa nani atajivua gamba sasa kati ya MZee bati (Mon d li) na uke rewa (mse k)???


NDo maana mzee viji sent i alisema ni Vijesenti tu anajua akina Shombo wana nyingi sana.

Eti Ukerwa Msek anafanya kwa maelekezo ya Vasco Dagama 11
 
Kila mtu ni fisadi ni muda tu unahitajika kujua ufisadi wake!
 
Kama umesikiliza redio za leo na kama umesoma magazeti ya leo kwa kweli ni huzuni kubwa sana sana
katika watu ambao sikuwahi kufikiria kuhujumu uchumi wa nchi hii ni huyu mzee ..binafsi nilijua kikwete
aliingia kwa fedha za rostam so huyu ukimwita mhujumu sishangai..ila huyu babu amenishtua wandugu

kwa kweli mzee wetu kama kweli yalioandikwa kuwauzia wafanyabiashara sehemu zisizoruhusiwa kw a
njee zenu ama za ccm ama familia yako kwa kwli ni aibu sana sana mzee wangu

nimebaki najiuliza kama wewe upo kwenye list ya wale wale mze wangu uko ccm nani wasafi jamani??
Mbona mnatia aibu ccm shame on you aibu kabisa jamani
Hivi watu wanaposema ufisadi ni sera ya ccm unadhani wanakuwa na maana ipi? Fahamu kwamba Msafi yeyote hana nafasi katika chama hiki.
 
Back
Top Bottom