Kwanini iwe Lowassa/Monduli na Dwight Howard wa NBA?

LebronWade

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,615
1,504
Wadau,

Inashangaza kidogo kwa chalii star kama Dwight Howard wa Orlando Magic kuja Bongo moja kwa moja Monduli eti kutoa msaada wa mil 90 kwa shule ya sekondari Monduli?Sina tatizo na kutoa msaada Monduli,no,no,no.Na itakua very complex kujua ni processes gani zimetumika kumfanya aje,inaweza kua changa tu vile vile...Kinachoshangaza ni kwamba kaja kinyemela mno,watu hawakujua chochote ambapo ni kinyume kabisa na tabia za Dwight Howard kwa tunaomfatilia NBA tangu akiwa rookie na ni kwanini awe connected na Lowassa kiivyoo?Kuna nini hapo kati?

Huyu chalii yetu kaendaje endaje?Sio bure,kuna nguvu imetumika kidogo.Foundations za mastaa hupokea inquiries nyingi sana na hua wanaangalia watu gani wako in need zaidi.Monduli ni heaven(yaani ina afueni ukifananisha na maeneo mengi nchini mwetu).

Sasa basi:
1.Hii huenda ni marketing budget kwenye kambi ya Lowassa imetumika,au
2.Ni upenzi tu wa dogo Howard wa kuja baada ya kuchambua inquiries za maombi ya msaada

Swali zangu za msingi hapa wadau ni kwamba:
1.Je kuna connection yoyote ya faida za kisiasa kwa huyu Mbunge na celebrity wetu Dwight Howard the best true Centre of the NBA today?
2.Jee hii ni marketing ya kusafisha zile makitu zake?
3.Jee,trend itakua ni hii hii ya kupeleka mastaa Monduli tu?
4.Why this time around?

Hebu nitoe wasiwasi Mtanzania mwenzenu wadau!
 
Unashangaa, nini? Ndio Pesa za RICHMOND na DOWANS zinavyorudishwa ki mtindo.
 
105237445.jpg

Huyu chali katia mguu bongo kimya kimya kiana chari hizo makitu ni lazima tujue kunao kitu charii wangu ni lazima tuuu!! Juee Chari

Kwa wanaojua issue ya ujio wa STAR HUYU WA NBA tujuzeni aliambatana na nani huko mitaa ya Monduli,manake kwenye msafara wa mamba kenge awakosekani.

Tujuzeni hasa wana A town leteni nyeti hizo.
 
To me, this is part of all means to be used towards urais 2015. Sitashangaa hata akimleta OBAMA kule Monduli .................... YEYE SI NDO LAIBONI WAO BANAAAAA………….
 
Wadau,

Inashangaza kidogo kwa chalii star kama Dwight Howard wa Orlando Magic kuja Bongo moja kwa moja Monduli eti kutoa msaada wa mil 90 kwa shule ya sekondari Monduli?Sina tatizo na kutoa msaada Monduli,no,no,no.Na itakua very complex kujua ni processes gani zimetumika kumfanya aje,inaweza kua changa tu vile vile...Kinachoshangaza ni kwamba kaja kinyemela mno,watu hawakujua chochote ambapo ni kinyume kabisa na tabia za Dwight Howard kwa tunaomfatilia NBA tangu akiwa rookie na ni kwanini awe connected na Lowassa kiivyoo?Kuna nini hapo kati?

Huyu chalii yetu kaendaje endaje?Sio bure,kuna nguvu imetumika kidogo.Foundations za mastaa hupokea inquiries nyingi sana na hua wanaangalia watu gani wako in need zaidi.Monduli ni heaven(yaani ina afueni ukifananisha na maeneo mengi nchini mwetu).

Sasa basi:
1.Hii huenda ni marketing budget kwenye kambi ya Lowassa imetumika,au
2.Ni upenzi tu wa dogo Howard wa kuja baada ya kuchambua inquiries za maombi ya msaada

Swali zangu za msingi hapa wadau ni kwamba:
1.Je kuna connection yoyote ya faida za kisiasa kwa huyu Mbunge na celebrity wetu Dwight Howard the best true Centre of the NBA today?
2.Jee hii ni marketing ya kusafisha zile makitu zake?
3.Jee,trend itakua ni hii hii ya kupeleka mastaa Monduli tu?
4.Why this time around?

Hebu nitoe wasiwasi Mtanzania mwenzenu wadau!
sidhani kama kama hii thread ina tija. is a person issues kati ya mbunge na celebrity. hata kama monduli ni heaven nani anajua hizo sehemu zingine? si mpaka wahusika wawe exposed?
All in all Lowassa not for president, 2015 cause si muadilifu.
 
Lowasa the next President! mnabisha? ndo mwarobaini pekee wa maadui watatu!

Mikakati ya jamaa ni 100% correct. Anajua timing, planning, robbing......

Kweli jamaa yuko kimkakati zaidi na kwa ndani ya CCM no one can stop him!!!!
 
Huenda huyu kijana anasali kwa yule mchungaji wa Nigeria?

Ina maana alikuwepo siku Lowassa alipokuwa anatabiriwa kuwa rais wa nne wa Tanzania?
Anyway... hata hivyo safari ya Lowassa kwenda Ikulu ni ngumu kuliko ilivyokuwa ya Jacob Zuma
 
Namsikitikia sana Howard kapingwa changa la macho halafu nchi nzima itakuja lalamikiwa.. Inanikumbusha kesi moja ya dada mtoto wa Rockefeller na mbunge wetu..
 
kwani tatizo liko wapi hapa!!?? hii inadhihirisha Lowassa got a big & substance network ambayo ni faida kwake na kwa wananchi wa jimbo lake pia, na naamini huo msaada wa ml 90 ni jambo jema kabisa kwa jimbo la monduli hata wewe unatamani ingetolewa jimboni kwako ila bahati mbaya mbunge wako ndo hivyo tena anasali posho zisiondolewe!! nadhani ingekua vyema nchi nzima tukapata wabunge wenye access ya kuleta wafadhili majimboni mwao kama ilivyo kwa Lowassa, sio tunakua na wabunge wanaolilia posho wakati hawana uwezo wa kumpata hata mfadhili wa kuchangia laki tano tu kwa majimbo yao, safi sana Lowassa walete na wengine wengi zaidi watoe hizo milioni tisini tisini zaidi Monduli ipate maendeleo zaidi!!
 
This Super Star is related to ROSTAM.Leo asubuhi amepanda vindege vidogo pale Arusha Airport(Airstrip) kwenda kwa Lowasa..
 
Back
Top Bottom