Katibu wa CHADEMA Kilimanjaro Akalishwa chini katika Kongamano Moshi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katibu wa CHADEMA Kilimanjaro Akalishwa chini katika Kongamano Moshi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwalimu Makini, Aug 17, 2011.

1. Mwalimu Makini

Mwalimu Makini Member

#1
Aug 17, 2011
Joined: Dec 5, 2009
Messages: 66
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Leo kulifanyika Kongamano kubwa lililoitishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjro Mhe. Meja Jenerali Mstaafu Said Kalembo. Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa YMCA lilihudhuriwa na Wakuu wote wa Wilaya za Mkoa wa Kilimanjaro, Viongozi na watumishi wote wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Wakurugenzi wa Halmashauri zote, madiwani wote walimu kadhaa wa shule za msingi na za sekondari mjini Moshi, wanafunzi kadha wa shule za msingi na za sekondari, viongozi wa vyama vya siasa pamoja na viongozi wa madhehebu ya dini.

Baada ya mada kutolewa uwanja uliwekwa wazi kwa ajili ya waalikwa kuchangia katika mada kuu " MIAKA 50 YA UHURU NA CHANGAMOTO ZAKE" Katika hali ya kutatanisha Katibu wa CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro Ndg. Basil Lema alipata nafasi ya kuchangia akiwa mtu wa tano. Baada tu ya kujitambulisha mic ilizimika ikabidi aende hadi mbele kabisa akachukua mic ya RC. Ilimchukua pungufu ya dk 1 kuanzisha hoja yake kuhusu uhuru na maendeleo ndipo ghafla RC Kalembo akasimama akasema hajatoa nafasi za watu kuhutubia. Mshereheshaji alichukua mic kutoka mkononi kwa Lema na kuita mchangiaji mwingine.

Lema alirudi kwenye kiti chake kwa aibu na kuonekana wazi kuwa amechemka na aibu zimemjaa usoni. Hii ni matokeo ya kutaka kuchafua hali ya hewa kwenye ukumbi kwa vijembe vya siasa. Inashangaza kuwa kuna watu hawaoni maendeleo ambayo Tanzania imepiga kwa miaka hii 50 ya uhuru.

2. Chimunguru

Chimunguru JF-Expert Member

#2
Aug 17, 2011
Joined: May 3, 2009
Messages: 9,843
Likes Received: 270
Trophy Points: 180
wewe unaona hili giza na upuuzi mnaouleta ccm ndo maendeleo? fikiria hii gridi mnayoita ya taifa imeshindwa fika sumbawanga na songea tokea iringa miaka yote ya uhuru huu wa kichina! fikiria reli tokea enzi za mwl mpaka sasa haijaboreshwa zaidi ya nyie wezi ccm kuikodisha kwa *********z wasio na mtaji! hebu fikiria miaka yote ya uhuru ccm mmezalisha watu km jk na pinda ambao hawana uwezo wowote wa kuongoza bali porojo tupu. ccm na sera na watu wake wote ni tuu failures ! hata km mmemnyima kamanda wetu mic lkn watu watawahukumu na si huyo magamba sijui kalembo..nchi tajiri sana hii ccm mnalala usingizi hamfai ht kupewa mtaa kuongoza!

3. Mwita25

Mwita25 JF-Expert Member

#3
Aug 17, 2011
Joined: Apr 15, 2011
Messages: 3,840
Likes Received: 18
Trophy Points: 0
Duh, nadhani alitamani ardhi immeze kwa aibu, tehe tehe tehe tehe

4. SOKON 1

SOKON 1 JF-Expert Member

#4
Aug 17, 2011
Joined: Dec 28, 2010
Messages: 1,115
Likes Received: 86
Trophy Points: 145

mbona umo umo ndani umeanza kuchangia? Haya ndio matatizo kwenye msafara wa mamba kenge wapo. Ila 50 ya uhuru shule mbili za mfano uko Kondoa moja wapo ina 4m 4 watatu cha kushangaza hawajawai kufundishwa maths toka 4m 1, nyinyine darasa zma wapo zero je ktk uhalisia wa ukweli ulitaka tuipigie makofi serikali?

5. m

maoniyangu Member

#5
Aug 17, 2011
Joined: Jul 9, 2011
Messages: 53
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

umejitahidi kutaja mabaya mengi ya serikali, sasa kwa kuwa fair hebu taja jema moja tu la serikali katka miaka hii 50 ya uhuru. usiwe mnafiki.

6. Crashwise

Crashwise JF-Expert Member

#6
Aug 17, 2011
Joined: Oct 23, 2007
Messages: 22,172
Likes Received: 862
Trophy Points: 280

Massaburi

7. F

FJM JF-Expert Member

#7
Aug 17, 2011
Joined: Apr 11, 2011
Messages: 8,088
Likes Received: 90
Trophy Points: 145
Kama kweli huyo mkuu wa mkoa ni jasiri kwa nini asingemuacha huyo bwana akatoa mchango wake? Anaogopa nini hasa? Au wamezoea kulisha watu matapishi na kusifiana?

8. p

politiki JF-Expert Member

#8
Aug 17, 2011
Joined: Sep 2, 2010
Messages: 2,356
Likes Received: 154
Trophy Points: 160
NITAKUWA FAIR MEMA YA SERIKALI ILIYOTUFANYIA KWA MIAKA 50 NI HAYA:

Serikali kwa miaka 50 imeweza kuleta umeme usio wa uhakika kwa asimilia 12 ya watanzania wote na asilimia 88 wanalala gizani.

serikali yetu kwa miaka imeweza kuleta maji ya bomba kwa asimilia 14% ya watanzania wote asimilia 86 wanakunywa maji ya bwawani.

imeweza kutujengea shule za kata ambazo hazina maabara, vitabu wala waalimu ambapo asimilia zaidi ya 80 wanatoka na division zero.

serikali ktk miaka 50 wameweza kujenga asilimia 10 ya barabara za nchi nzima na asilimia 90 ya barabara zote ni mavumbi hayo ni machache ya
mafaniko makubwa ya miaka 50 ya uhuru.

9. m

mfngalo Member

#9
Aug 17, 2011
Joined: Aug 13, 2011
Messages: 87
Likes Received: 0
Trophy Points: 13

As usual Mwita man furuu kukanda ope unameno yote 32 na umetoa tabasamu kwa jambo hili na meno yakaonekana
Ht km mic wachukue sms sent n delvd n by ze way hyo ni lasha lasha tsunami yaja
Upo bro mwita na magamba wenzio
M out!

10. Baba Collin

Baba Collin JF-Expert Member

#10
Aug 18, 2011
Joined: Aug 1, 2011
Messages: 458
Likes Received: 0
Trophy Points: 33

hapo umenena mkuu!ongeza na hili:miaka 50 ya uhuru gape kati ya wenye nacho na wasiokua nacho imeongezeka maradufu.hongeren ccm kwa sera yenu ya ujamaa na kujitegemea matunda tumeyaona.

11. m

mfngalo Member

#11
Aug 18, 2011
Joined: Aug 13, 2011
Messages: 87
Likes Received: 0
Trophy Points: 13

itz nt ze matter of unafik ni ukwel 2pu
Kwakua maovu ni mengi yanafunika mazur tek e.g mwl kwan hakuna namabaya bt kwakuwa mema ni meng yalifunika maovu
Bt 4ur dad itz terblo

12. Nduka

Nduka JF-Expert Member

#12
Aug 18, 2011
Joined: Dec 3, 2008
Messages: 8,479
Likes Received: 761
Trophy Points: 280
Amemkosea hapo hapo angemtia na kerb moja ya nguvu, nyambafu sana hawa, CCM imewawekea Lami hadi kwenye migomba yao shukrani zao matusi..NYAMBAFU kabisa hawa kunguni.

13. Lyamungo

Lyamungo Member

#13
Aug 18, 2011
Joined: Aug 17, 2011
Messages: 91
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Si wanafahamu angeachiwa tu mic angesema ukweli na wao hawapendi ukweli, kuzuia fikra mmbadala za chadema ni sawa na kuziba chemchem

14. Lyamungo

Lyamungo Member

#14
Aug 18, 2011
Joined: Aug 17, 2011
Messages: 91
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
ungejua lami mgombani iliwerkwa na wakoloni na wamishionary, tena orijino sio hizi za sasa za kichina

15. Nduka

Nduka JF-Expert Member

#15
Aug 18, 2011
Joined: Dec 3, 2008
Messages: 8,479
Likes Received: 761
Trophy Points: 280
Hayo maneno nenda muwaambie hao nyoka wa mererani wasio na hata darasa moja, tunajua akina mtei and co walivyoifanya keki ya taifa kuwa keki ya wachaga lakini KUNGUNI hamna shukrani kabisa.

16. M

Mrdash1 JF-Expert Member

#16
Aug 18, 2011
Joined: Sep 21, 2010
Messages: 1,379
Likes Received: 6
Trophy Points: 0
siyo mabaya ya serkali bali ukosefu wa maendeleo miaka 50 ya kujitawala wenyewe. Serkali inaweza kuwa nzuri kwa kuongea na kutoa polojo zenye mvuto lakini watanzania waliowengi bado kimaendeleo hawajafaidika na matunda ya uhuru.

Miaka 50 baada ya uhuru je tumeboresha
1.elimu
2.usafiri vijijini na mijini
3.huduma za afya vijijini na mijini
4.maji vijijini na mijini
5.umeme vijijini na mijini
6.lishe
7.mfumo wa uchumi
8. nguvu ya pesa (Tz sh)
9. nyumba za kuishi watu vijijini na mijini
10.uelewaji wa watu juu ya mamlaka yao na ya serkali
11. nk nk nk

Kuna watu ambao wanapita mitaani na kuhesabu magorofa marefu wakidhani wingi wa magorofa marefu mijiini ndo maendeleo.

17. M

Milano Member

#17
Aug 18, 2011
Joined: Jul 12, 2011
Messages: 37
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

msekwa umeSAHAU

18. Fredrick Sanga

Fredrick Sanga JF-Expert Member

#18
Aug 18, 2011
Joined: Jan 27, 2011
Messages: 3,148
Likes Received: 19
Trophy Points: 135
Hivi kongamano lenyewe linahusu miaka hamsini ya nchi ambayo haipo, Tanganyika, mimi sijaelewa au ni miaka 55 ya Tanzania.

19. Saharavoice

Saharavoice JF-Expert Member

#19
Aug 18, 2011
Joined: Aug 30, 2007
Messages: 2,644
Likes Received: 131
Trophy Points: 160
Kweli mkuu, yaani watu wengi hawaoni. ni nani mwasisi wa UFISADI kama siyo CCM. mijitu mingine bana.

20. RedDevil

RedDevil JF-Expert Member

#20
Aug 18, 2011
Joined: Apr 30, 2009
Messages: 2,287
Likes Received: 903
Trophy Points: 280
Unajua wanaJF wakati mwingine tuwe tunafikiria vizuri kabla ya kulopoka hata kama ni kishabiki! 50yrs harafu unajivunia upuuzi huu tulionao wa kuendelea kujipendekeza kwa wazungu, kuendelea kubahatisha kila kona, hatuna cha kujivunia tukiwa nje ya mipaka ya nchi yetu.

Angalia kama hapa nini tofauti kabla na baada ya miaka 50. Na hiyo ni bora kuliko zile ambazo zina wanafunzi lakini waalimu hakuna, au chumba cha darasa kimoja lakini wanafunzi wansoma mzungu wa nne.

Attached Files:

Loading...