Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Suzan Lymo ktk kipindi maswali ya papo kwa hapo kwa waziri mkuu bungeni alimhoji waziri mkuu Pinda kwamba, Ni lini viongozi wa dini wanaohusika na madawa ya kulevya ambao Rais alisema ana taaarifa...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Baada ya mbwembwe nyiiiingi....Mkurugenzi wa BP kufikishwa Mahakamani kujibu tuhuma za kukaidi Agizo la Serikali...mara tumesimamisha leseni ya BP kwa miezi mitatu kwa kukaidi Agizo la Serikali...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Kwako Eng. Nsiande. Pole na kazi. Binafsi napenda uniweke sawa jambo hili linalonitatiza. Ni muda mrefu sasa wananchi wa sehemu mbali mbali wanalalamika kwa mgao wa umeme. Wakazi wa Mwanza...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
VITABU vya dini vinatueleza kisa kimoja kuwa enzi za utume wa Isa bin Mariam (Yesu) watu walikuwa wakiwapiga mawe hadi kufa wanawake wanaobainika kuzini nje ya utaratibu wa ndoa. Katika...
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Kamati Kuu ya CHADEMA inatajiwa kufanya kikao chake kesho katika jimbo la Igunga.Kikao hicho ni maalum kwaajili ya kupitisha jina la mgombea Ubunge katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kuanza tarehe...
24 Reactions
121 Replies
11K Views
Kuna uwezekano mkubwa sana wa vyama vya CUF na CHADEMA, kuwa wasindikizaji katika uchaguzi mdogo jimbo la Igunga. Tathmini iliyofanywa mara tu baada ya kumalizika kwa zoezi la kura za maoni...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Thursday, 18 August 2011 22:24 Nora Damian ALIYEKUWA Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Jerry Muro, anayekabiliwa na kesi ya kuomba rushwa ya Sh10 milioni, ameieleza mahakama...
1 Reactions
83 Replies
9K Views
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Mkoa Arusha imetoa uamuzi mdogo wa zuio la muda dhidi ya mikutano ya Chadema kuwasema hadharani madiwani watano wa chama hicho waliotimuliwa. Mahakama hiyo pia...
0 Reactions
84 Replies
7K Views
Katika mazingira ambayo kila kiongozi ni gamba la kuvuliwa agenda ya chama cha mapinduzi Igunga ni nini hasa? Ni nani ataokota jiwe na kuanza kumponda Rostamu. Kimsingi wananchi wa Igunga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana Jf Leo ni mwaka Mmoja toka CCM walipotutangazia Hussein Bashe Kada wa CCM alieongoza Kura za Maoni kuwa Si RAIA wa Tanzania,Cha ajabu yupo anashiriki vikao vya CCM na ni Kiongozi wa Chama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
what he said or forced to say and promise pale Dom mjengoni, was it a hoax? Umeme kukatika kama kawa! Mbagala saa hii umekatika without notice! Ngeleja ajiuzulu, by giving a promise he can...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo Mh Mpendazoe atakuwa akihutubia wakazi wa mji wa Morogoro katika viwanja vya Kihonda maghorofani na kesho atakuwa viwanja vya nane nane,kutokana na mtoa habari wetu pamoja na kutafuta...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, amesema ili Tanzania ijiweke katika mazingira mazuri ya ushirikiano na nchi nyingine za Afrika Mashariki, lazima itende haki kwa raia wa nchi...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
WaJF, kati ya wanasiasa hawa wawili; John Shibuda na Tambwe Hizza nani mwenye hekima au mwenye mchango mzuri kwenye siasa?
0 Reactions
31 Replies
3K Views
pengine sijui hasa maana ya maa muzi magumu. Lakini mimi nadhani yafuatayo nayo ni maamuzi mag umu ambayo ccm imeyachukua na kuna kila dalili ya kuendelea kuyachukua ambayo ni serikali chache...
2 Reactions
44 Replies
5K Views
Hivi,mimi nauliza,hivyo vibali wanavyo tumia hao wenye makampuni ya kukamata wanyama pori hai na kuwauza nje ya nchi,nani ameviandaa?,Hao jamaa,wametumalizia wanyama wetu,nimebahatika kusikiliza...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Saturday August 20, 2011 From PETI SIYAME in Sumbawanga, 19th August 2011 @ 23:00 POLICE in Rukwa Pegion have arrested two Chinese nationals for allegedly shooting and...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Imekuwa ni kawaida wanafunzi wengi kutoka mataifa ya Ulaya na hasa Waafrika wanaosoma vyuo vya ulaya kurubuniwa na Staffing Company. Wanapotafuta nafasi ya kwenda kufanya kazi nchini Marekani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Samahani wakuu naomba nichukue muda wenu kidogo kuwashukuru kwa kazi nzito mnayofanya na kuwapa pole .. Dhumuni ya kuandika hii thread ni kuhusiana na thread iliyofunguliwa na mwanajamvi...
39 Reactions
131 Replies
13K Views
Nimemsoma Rostam vizuri sana ktk waraka wake wa kujiuzuru na hakika mwandishi wa hotuba yake ni mzuri na anaijua kazi yake. Pamoja na mapambo mengi jambo moja ambalo lenye ukweli na Rostam...
9 Reactions
40 Replies
4K Views
Back
Top Bottom