Dhahabu imefikia USD 1,800 leo, tuendelee kulipwa asilimia 3 ya USD 400? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dhahabu imefikia USD 1,800 leo, tuendelee kulipwa asilimia 3 ya USD 400?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by uporoto01, Aug 18, 2011.

 1. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Muda mchache uliopita nikiangalia habari za kibiashara CNN nimesikia bei ya Dhahabu imefikia dola 1800 kwa ounce moja,sasa sisi Watanzania tuendelee kupewa asilimia 3 ya bei waliojipangia migodi miaka iliyopita ya Dola 400 ? hata kwa asilimia hiyo 3 kama tutalipwa kwa bei ya tuseme Dola 1600 tutakuwa tunapata mara 4 zaidi ya tunavyopata sasa.Tukipata asilimia 10 tu wanayopata Congo DRC hapo tunaweza kuona faida ya migodi kwa uchumi wa Taifa,nawakilisha.
   
 2. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Rushwa ni mbaya sana sasa taifa nzima halinufaiki!

  Tanzania ilisainishwa mkataba wa kifisadi kwamba bei watakaolipa ni ya Hedge kwa $400-$500 yaani hata kama bei ikishuka au kupanda watalipwa hiyo. Huu ni mkataba wa ajabu kwani bei ya Gold kila mtu alijua itapanda na huu mkataba ni bora uvujwe kwani bei ya Commodities kama mafuta, gas na Gold inatakiwa iende na market. Hii ndiyomaana nchi nyingine zinaingia shara labla ya 20% kwenye mgodi hivyo wangepata 20% ya Gold na wangeamua kuuza kwa bei yao kama wanataka.
   
 3. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Nchi tulishaiuza siku nyingi tu, dhahabu inayochimbwa siyo yetu ni ya wazungu. Hivyo hata ikifika $2000 umasikini wetu uko pale pale.
   
 4. G

  Gendo Member

  #4
  Aug 18, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa tanzania inabidi wachache wa... Ili wengi wanufaike na hayo madini
   
 5. L

  LATTICE BOND JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu!
  Fedha inayoachwa na wachimba madini ni zaidi ya 15%; na pungufu ya kidogo ya kodi wanayotakiwa kulipa kwa mgawo huu:-
  3% inatangazwa kuwa ni mrahaba wa sirikali; inayobaki inaingia kwenye account za akina EL;RZ; BM; AC; n.k
  UPO HAPO?
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  Aug 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Sometime inatia hata uvivu thou inauma mno!!! Hayo maslahi na percentages zinazo
  stahili kuongezwa hata zikiongezwa hakuna mabadiliko kwa mwananchi wa kawaida...
  unashindwa kuelewa, kutathmini na hata la kufanya... Dawa ipo jikoni lakini.. na mganga kapatikana.
   
 7. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Najikuta nikijutia kufungua thread kama hizi... hasira zinanipanda na donge kubwa kunikwaa shingoni! :(

  Ni mambo kama haya yanayopelekea watu kubeba silaha mikononi pale nafasi ya maandamano ya amani inapojitokeza!!
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Ndio maana watu tunajazana jukwaa la mmu..

  It is very depressing kusoma vitu kama hivi.......

  Utasema tumelaaniwa hivi..
   
 9. Gold Digger

  Gold Digger Member

  #9
  Aug 18, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa naona baadhi ya watu wanaongea pumba tupu, bila hata kujali. Hizo bei pamoja na mrahaba uliwekwa na serikali yetu. Wachimbaji hawana uwezo wa kututungia sheria na bungeni. Tunapofanya makosa tuwe tayari kutakubali na kurekebisha.&lt;br /&gt;<br />
  &lt;br /&gt;<br />
  Hamna mkataba wenye 'hedging' hiyo ni porojo. Ni kweli kuwa hesabu za mrahaba zinapigwa kwa bei ya $700 kwa ounce, lakini hata kwa bei hiyo cost per ounce ya uzalishaji iko juu sana ukilinganisha na nchi za South Amerika. Kwa mfano kwa mwaka jana ounce moja yenye thamani ya $1,400 ilikua ikizalishwa hapa Tanzania kwa gharama ya $550. Wakati once hiyo hiyo inazalishwa kwa $250 huko Peru na Chile.<br />
  <br />
  Sheria mpya ya Madini imeongeza mrahaba kwa asilimia moja kufikia 4%. Lakini in my opinion we should not pin our hopes on royalty. In the 400 years of mining in south Africa they didn't benefit from royalties, rather it was the upward and downward linkages in the economy. Huwezi kuondoa umaskini Tanzania kwa kupeleka hela Hazina. Umasikini tutaondokana nao kwa pesa inayoingia moja kwa moja kwenye mzunguko. Tungepaswa Kutizama supply chain na jinsi gani watanzania wanaweza kushiriki, kufaidika na kuwekewa mazingira ya upendeleo!

  You cannot create wealth without involving locals, empowering locals and making them privileged!
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  Aug 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Hua nashindwa ni kwanini mtu muelewa ama who know better I should say hawezi sema/comment tu lile ajualo bila grouping the comments with the lilkes of "pumba tupu"&#8230; as much as kuna wale wenye interest &#8211; this is one to the areas of which details are controversially revelead thus it is inevitable that it would be controversially understood.

  Golddigger I don't belive if they is an ounce ya ukweli kua kuna a group of people wanao pin hopes zao kwa royality &#8211; that would be absurd&#8230;. NDIO ni kweli kua kuna pesa zaelekezwa hazina lakini ukubali pia kua kuna zile ambazo zinahusishwa moja kwa moja kwenye mzunguko (thou bado sijaona kama ni the perfect solution) for as much as zinaenda huko bado wasimamizi ni wale wale ambao accountability haipo hivo inakua kama ni yale yale&#8230;

  Na nakubaliana na sentensi yako ya mwisho&#8230;
   
 11. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Inasikitisha kuona kuwa bei zetu za bidhaa tunadanganywa kila siku iwe pamba, kahawa, dhahabu, almas, hata "mchanga" kutoka migodini, Inabidi tufanye maombi kila mtu kwa imani yake kuwaombea viongozi wetu wapate ujasiri wa kujiuzuru
   
 12. Gavana

  Gavana JF-Expert Member

  #12
  Aug 18, 2011
  Joined: Jul 19, 2008
  Messages: 17,984
  Likes Received: 1,556
  Trophy Points: 280
  hapa ndio tulitaka kumsikia Pengo anaongea siku zile Mkapa yuko Madarakani lakini wapi ???
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Aug 18, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Nani alisaini hii Mikataba? Mkapa. Nani japo alijitahidi kurekebisha na tukaongeza ka asilimia? Kikwete.
   
 14. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #14
  Aug 19, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Gold digger unachemsha!!

  Hizo gharama za $500 kwa aun si za kweli je wenyewe wametuzidi nini mpaka gharama zao ziwe $250!!. Technology ipo sasa ni kwanini gharama iongezeke mara mbili wakati mishahara wa wafanyakazi ni midogo!. Ukweli ni kwamba wanataka kuwaambia ukweli ni kwamba kulipwa $700 ni kama kutukanwa. Hizo kampuni za Canada hazina shida ya Hedge fund kwani ni public trade na zina capital. Mimi niko hapa USA na mtaalamu wa Finance na ninakwambia hakuna sehemu yeyote ya balance sheet na Income statement inayoonyesha kwamba kuna pesa za hedge fund. Viongozi wa Tanzania ni wa jinga wa kutupa wange weka 10%-20% tusingekuwa na shida sasahivi kwani kama wangetuzengua na bei tungekuwa na Gold yetu ambayo tungeweza kuuza wenyewe!. Wazungu tukonao huku wanawacheka Tanzania hasa wale wanaojifanya wanajua biashara ya Gold!!. Mimi ni capitalist pia lakini siwezi kunyamaza kama nchi inaibiwa na wana wa migodini hawana hata barabara za maana.
   
 15. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #15
  Aug 19, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Chini ya chama gani haya mautumbo yamefanyika na kuendelea kufichwa, CCM!
  Chama gani kiko mstari wa mbele kutaka kurekebisha na kusafisha mauchafu haya, Chadema!
  Chama gani kitahakikisha aliyesaini mikataba hiyo anafikishwa mbele ya sheria, Chadema!
   
 16. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #16
  Aug 19, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kenya Machimbo yao wanatoza Kodi na wanachaji 4%

  Shame on CCM GVT Period
   
 17. A

  August JF-Expert Member

  #17
  Aug 19, 2011
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  ukweli ni kwamba 3% ni kwa nchi za difference inaingia kwenye account za Nkapa na genge lake
   
 18. M

  Mkandara Verified User

  #18
  Aug 19, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mnapoteza nguvu ya kufikiri buree, wekeni nguvu zenu ktk kutafuta mageuzi ya uongozi nchini kuliko kufikiria vitu ambavyo haviwezekani..Tumeyazungumza haya toka mwaka 2001 wakati dhahabu ndio kwanza inaingia Usd 200 leo imefika Usd1800 na hizo asilimia 3 zao, tunaambiwa mchango wa sekta hii ktk GDP umeongezeka kwa asilimia 1..(from 17% to 18%)...Kama sii kichwa cha mwendawazimu sijui kimebakia nini?
   
 19. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #19
  Aug 19, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Hata havo ni mapema mno kuwasifia CDM... For wao ni inevitable kua lazima watatumia hivo vigezo kuji promote politically and also kuongeza popularity kwa wananchi, as any competing leadership would have done....
   
 20. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #20
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  where my gun at??
   
Loading...