Leo bungeni kuna mbungemmoja toka Zanzibar sifahamu kama ni wa CCM au CUF..Bada ya kumaliza kuchangiabajeti ya wizara ya Afrika Mashariki akamalizia kwa kusema...anaungana na Shibudakwamba wabunge...
Kwa maisha tuliyonayo sasa ni vigumu kujitenga na siasa. Kwa maana hiyo basi nimeonelea niingie kwenye siasa kikamilifu.
Nataka kuanzisha chama cha siasa.
Swali ninalojiuliza je ni chama cha...
Wadau, katika utawala wa Nyerere fedha zilizokuwa kwenye mzunguko nchini zilikuwa backed up na GOLD RESERVE pale benki kuu. Hii ilimanisha kuwa kama kwenye mzunguko kulikuwa na trioni 10 basi...
Mbunge wa viti maalum CUF-Urambo, Magdalena Sakaya ameeleza jinsi polisi,askari wa wanyamapoli na maliasili walivyochoma nyumba za wakazi wa Urambo, walivyopiga risasi na kuuwa wananchi 23 wa...
Wana Jf Taarifa zilizonifikia sasahivi Vyama vya CCM na CDM vimemaliza zoezi la Upigaji kura za Maoni ktk jimbo la Igunga.
Matokeo na watu walioshinda kura za Maoni ni Mratibu wa Elimu wilaya...
Wakuu,
Ni kipindi sasa tumekuwa tukifuatilia muelekeo wa uchaguzi kule igunga baada ya GAMBA kuu kuvuka na tayari jana vyama vikubwa vya siasa vimefanya kura zake za maoni...
Cha kufurahisha...
Serikali imeongeza kodi kwenye bidhaa ya mafuta ya taaa,kwakuwa ndio yanayotumika kuchakachulia mafuta......
Hayo yalisemwa jana bungeni........mheshimiwa CHENGE aliunga mkono hoja hiyo...
Wana JF
Nimekuwa nikisoma mawazo ya watu hapa jamvini, nikisikiliza maoni ya watu mtaani, ofisini, kwenye vijiwe, kwenye vyombo vya habari na hata kwenye vyombo vya usafiri. Kwenye maoni na...
Jamani nifuatilia kwa makini na kuona spika asipokuwa makini wabunge hawajadili tena bajeti kama kamati.
Kwa nini!
Dhana ya bunge kama kamati ni kupitia kifungu kimoja hadi kingine kuangalia...
Kila mtu yuko kimya na hiki ndicho kipindi cha kupata maneno na maoni ya malenga wetu juu ya hali ya kisiasa tnzania.
Itakuwa si vibaya kila tukapata walau beto moja inayo reflect hali halisi...
Mheshimiwa JK,
Mnamo mwezi June, 2010 pale Dodoma wakati kikao cha bajeti kikiendelea, ulitutangazia watanzania nia njema ya serikali yako ya kunusuru ulichoita hasara waliyopata wafanyabiashara...
Naanza kwa kukuomba Mkuu INVISIBLE kama inawezekana Thread hii ibaki nje ya ule mjadala tumulike vema macho hapa wadau.
Kama walivyofanya katika Bajeti na kama kawaida yao kutuhadaa kwa Umeme wa...
GreatThinkers,
Viongozi wasiojali maslahi ya wanaowaongoza ndio waliosabobisha migawanyiko na matokeo yake kufikia huko na kuzaa makundi yote hapo chini.
Nimefuatilia kwa makini kwa nini...
KWa mara nyingine, Leo tarehe 19 August, 2011, John Shibuda ameamua kuitukana tena CHADEMA. Anaiita chama masilahi, na uongozi wake ni wa kidikteta. Nauliza, CHADEMA wanamuogopea nini hata...
Sita kanikuna jinsi alivyomjibu mbunge Mmoja kutoka Zanzibar kuhusu ushiriki wa Zanzibar kwenye masuala ya A/mashariki. Kasema hivi:-
Mikataba ya kimataifa inaingiwa kati ya Taifa na Taifa na si...
Nimeongea na ndugu jamaa na marafiki zangu wanasema ni hali ya kusikitisha iliyoko katika jiji la Mwanza na siku ya Tano kama sio wiki sasa hawajauona umeme, maisha yanazidi kuwa magumu waliokuwa...
Je kuna kiongozi Tanzania ambaye si mla rushwa!!! na kama yupo ni kwanini asisimame mbele ya wananchi na kusema anasikitishwa na wenzake wala rushwa!!. Ubinafsi wa Tanzania umefikia kiwango cha...
Nakumbuka waziri wa nishati na madin Mh. William Ngeleja siku alipokuwa akiwasilisha bajeti yake kwa mara ya pili alitamka kuwa "unafuu wa umeme unao onekana kwa sasa nchini unatokana na kuanza...
Huyu mama namkubali sana, hamumunyi maneno, Chanachana mbaya Luhanjo, kumbe kajaza wabena wasio na sifa Maliasili na mbaya zaidi yule mkurugenzi wa wanyamapori ni mbena na sifa hana mama kamwambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.