Mkakati wa Mh waziri Maige kuzui ubadhirifu Ngorongoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkakati wa Mh waziri Maige kuzui ubadhirifu Ngorongoro

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtumishi Wetu, Aug 18, 2011.

 1. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Mheshimiwa Waziri Maige tumefurahia kuona mkakati wako wa kuzuia ubadhirifu wa matumizi mabaya katika mamlaka ya Bonde la hifadhi ya Ngorongoro, hapo tunakupa hai.

  Lakini je unaweza kutupa data za mapato yote ya mbuga zetu hasa hiyo Ngorongoro na matumizi yaliyo rasmi na yasiyo rasmi kwa kipindi cha miaka kama kumi ya nyuma?

  Maana hizi mbuga ni kwa faida ya nchi yetu ya Tanzania, kwa kiwango gani zinachangia budget ya taifa letu, au ni kuchota na kufanya matanuzi kama ulivyogundua Mheshimiwa?

  Tunaomba wadau wa kando kando na mbuga na wabunge wetu fanyeni utafiti ili data tutakazo pata ziwe sahihi.
   
 2. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Kumbe sasa kuna ubadhirifu wa kutisha secta ya wanyama pori ukiongozwa na Mheshimiwa Pius Msekwa M/kiti CCM Tanzania bara!!!!!!!!
   
Loading...