KURA ZA MAONI: CCM yazidi kupanda chati, CHADEMA ya pili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KURA ZA MAONI: CCM yazidi kupanda chati, CHADEMA ya pili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by President Elect, Aug 17, 2011.

 1. President Elect

  President Elect JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 693
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kura za maoni zilioendeshwa hivi karibuni kupitia vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini, zinaonyesha kuwa CCM inazidi kupanda chati huku CHADEMA ikishika nafasi ya pili.

  Hata hivyo kwa upande wa wanasiasa mmoja mmoja, imeonekana kuwa Rais Kikwete anaongoza maeneo ya vijijini, wakati Mh. Zitto Kabwe na Mh. Halima Mdee wanakubalika sana maeneo ya mijini, haswa haswa miongoni mwa kada ya vijana bila kujali itikadi za vyama vyao vya siasa.

  Waziri Mkuu Pinda 'mtoto wa mkulima' ameporomoka kwa asilimia kumi na mbili (12%), na kupishana kwa karibu sana na Mh. Magufuli.

  Miongoni mwa wabunge, aliyeongoza ni Mh. Pindi Chana, akifuatiwa kwa karibu na waheshimiwa Anne Kilango wa CCM, na Kafulila wa NCCR-Mageuzi.

  Source: Tanzania Rainbow Syndicate (TRS).
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Huu ndo upuuzi wa mwaka

  Ina manufaa gani kwa Taifa? watu wanakufa njaa, umeme hakuna, mafuta kero, agent wa ccm wanakuja na upuuzi huu

  SHIT
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Red: Ndo kitu gani hiki?
   
 4. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mmeanza mambo yenu!
   
 5. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Chadema ni wanaharakati na si chama cha siasa. Inabidi kifutwe wasajiliwe km NGOs. Si unaona sasa madhara yake haya !
   
 6. pumbatupu

  pumbatupu JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwa nini msifanye utafiti wa kujua kama tanzania tuna rasilimali ya mafuta, utafiti kujua hatma ya jairo, utafiti kujua mgawo wa umeme utaisha lini, utafiti kujua watanzania wangapi wanakufa kwa njaa....badala yake mnakuja na tafiti za kibwege kama hizi....shame on you!!!
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Pindi CHana... LOL
   
 8. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Unakaa nchi gani ww ? umeme mgawo umeisha labda nyumbani kwenu luku imeisha au hamjalipi bili ya Tanesco. Nendeni mkalipe mtapata umeme hakuna kitu cha bure dunia hii hivi sasa
   
 9. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hizi taasisi za utafiti zinatafuta uraji tu kutoka kwa Magamba maana CCM wanapenda misifa ya kijinga, inaeleweka kabisa CHADEMA ndio inakubalika kuliko chama chochote cha siasa hapa Tanzania, lakini kama kawa CDM hawana hela za kuwapa wajinga wajinga kama hawa Tanzania Raibow Syndicate (TRS).
  Viva la Vida CHADEMA
   
 10. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wengine wanaanzishaga mada za kipuuuzi tu humu.
   
 11. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Ohh real??!!! then hata matokeo ya utafiti ni Syndicate - JK VS Mdee, I like this part. yaani jamaa hawezi kulinganishwa na Slaa, Lipumba au walau na Dovutwa!!
   
 12. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #12
  Aug 17, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wewe Kweli ni Mfalme wa Wehu, Magamba yatakuuwa!
   
 13. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #13
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  usiseme hivi mkuu, cha msingi kubali kuwa nchi hii ina matatizo zaidi ya unavyodhani! ...si ajabu huyu (King of Kings) ni Mtanzania naye!
   
 14. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #14
  Aug 17, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kikwete vs Zito/Mdee.
  They cant afford to rate JK on Slaa PhD scale.
  JK vs Slaa = Mtibwa (JK) vs Barca
  Hilo wamelitambua, walau katika jitihada za kukweza fisadi lao JK.
   
 15. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #15
  Aug 17, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  <br />
  <br />

  Acha kujidhalilisha wewe, don't be that cheap,
   
 16. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #16
  Aug 17, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kalipe bili ya Tanesco, sera za bure hakuna nchi hii ! ukitaka vya bure shauri yako utafanywa kitu mbaya hapa mjini !
   
 17. F

  FJM JF-Expert Member

  #17
  Aug 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Call it whatever, but CHADEMA wamewashikisha adabu!
   
 18. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #18
  Aug 17, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kama wameamua kumlinganisha zito na JK hlo linawezekana, ila kama ni cdm na ccm matokeo siyo sahihi
   
 19. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #19
  Aug 17, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  kilichofanyika ni kumlinganisha mgombea urais wa TZ na mgombea ubunge wa jimbo moja huko kigomaaa. na bado Zito kampeleka. subsitute na Slaa..... ndo mana hawakureport hivyo.
  Ni deliberate omission.
   
 20. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #20
  Aug 17, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,115
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  <br />
  <br />
  Haya ndio matatizo ya kucopy na kupaste yaani Tanzagiza, mafuta shida, matatizo kila kukicha stil nawe hata kukaa chini na kutoa ushauri wako kwa hao wapuuzi ila nawe unatumia m***o kufikiria.
   
Loading...