Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni kupinga barua iliyoitoa ya kutaka mkurungezi wa Arusha kuwaruhusu na kuwalipa malipo yotewanayopaswa kulipwa madiwani licha ya CHADEMA kuwafukuza...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Shinikizo la mkakati wa kumng'oa mwenyekiti wa NCCR -Mageuzi James Mbatia'' limeiva '' baada ya makada wa chama hicho 'kushikilia' bango msimamo wao wa kutaka Mbatia kujiuzulu pasipo shuruti...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Luhanjo 'aliboronga' kumsafisha Jairo KATIBU Mkuu Kiongozi, Phillemon Luhanjo ama hakujua au alifanya makusudi kumsafisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo katika kashfa ya...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Kutokana na ajali ya meli huko Zanzibar..,CUF kama chama cha siasa na sehemu ya serikali ambacho kinaamini katika uwajibikaji pindi matukio ya uzembe wa viongozi walio serikalini ni vema...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau, Ni wakati watanzania kwa ujumla tujiulize ni nini majukumu ya mamlaka ya bima Tanzania (Tanzania insuarance regulatory authority) inapaswa kuyafanya juu ya maafa mazito yaliyowakumba...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
September 8, 2011 I cordially invite you to join us for a very special Peace Corps 50th anniversary event to be held in Shriver Hall at Peace Corps headquarters in Washington, D.C., on...
0 Reactions
104 Replies
9K Views
Shalom wandugu wote Katika pita pita na kutaka kuwapa shoulder Chadema nimejikuta kwamba siwezi kutoa mchago wangu kwa njia ya sms na kuambiwa kwamba Vodacom ambayo kuna mikono ya mafisadi kama...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
WanaJF Naomba msaada wenu Nataka kujua ni kitu gani kimejificha hapo Vcom na CCM Kabla ya kampeni mji mzima wa DSM ulikuwa umejaa matangazo ya VODACOM uchaguzi ulipoanza matangazo yote...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kila kipindi cha uchaguzi, mambo mengi ya kusikitisha na yanayohitaji kukemewa yanayoibuka hasa hili linalohusu UDINI na UKABILA. Katika picha zilizowekwa hapa mtandaoni, moja inasikitisha sana...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Wanajamvi natoa dukuduku langu, najua siko peke yangu ila kwa niaba yao naomba kuwasilisha, kuna hivi viwanja vipya serikali imevipima hapa DSM nafikiri toka miaka ya 2000 mwanzoni, kuna baadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Sharon Sauwa 12th September 2011 Mkurugenzi wa NEC, Rajabu Kiravu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo inatarajiwa kutoa uamuzi wa rufaa iliyowasilishwa na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nilitegemea tbc wangekuwa msitari ya mbele kuunga mkono tangazo la mkuu wa kaya. Cha kushangaza hakuna cha maombolezo wala nn. Sijui ni kutomwelewa mkuu wa kaya au nyodo kwa tunaowalipa posho?
1 Reactions
44 Replies
5K Views
  • Closed
Wakuu, Mtakumbuka mnamo mwezi Machi/Aprili (kama sijakosea) mwenyekiti wa kamati ya Mabadiliko UVCCM Hussein Bashe aliahidi kutuomba JF ushauri juu ya reforms ndani ya chama. Ametuomba kumpa...
2 Reactions
56 Replies
6K Views
Ndugu wana JF, kwanza kabisa natumaini mmekuwa na mapumziko mema ikiwa ni pamoja na kusheherekea sikuku vizuri. Nimeona nilete hapa jamvini jambo ambalo nimeliona ndani ya maelezo ya hotuba ya Mh...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu Bernad Mchomvu ameteuliwa na RAIS kushika nafasi ya uenyekiti wa bodi ya TRA. Kabla ya hapo alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Millennium Challenge ile ambayo ilipewa na Bush $700million. Na...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Wanajf na watanzania wote,natangaza nia ya kugombea ubunge songea mjini kwa ticket ya chadema.nlitaka kufanya hvyo kwnye uchaguz uliopita lakin nlikuwa underage.kwahyo next election ntakuwa na 25...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanajamii Forums nimevutiwa na uchambuzi huu kuhusu mipango ya kubomoa jengo la Kihistoria la Mahakama Rufani Tanzania. Ndugu zangu, Tumesikia, kuwa Serikali kupitia Wizara yake ya Katiba na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa mudamrefu nimekuwa nikitafakari yanayojiri pale uwanja wa ndege wa Mwl. Julius K. nyerere hususan abiria wanaokuja kuibiwa mizigo yao. Imefikia hatua ya abiria kutobeba au kununua vitu vya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi: Nimekuwa najiuliza ilikuwaje Rostam kutinga Igunga katika kampeni za CCM na huku alishasema hataki tena 'siasa uchwara' za CCM? lakini baada ya kutafakari sana inakuwaje mtu huyu...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
ndugu zangu wana IGUNGA najua mpo ktk wakati wa mgumu wa vishawishi vya vyama mbalimbali lakini muhimu muangale kuwa tupo ktk kipindi cha mageuzi ya kiutawala yani msidanganyike kwa yeyote...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom