jambo1
JF-Expert Member
- Jul 5, 2009
- 241
- 29
Kutokana na ajali ya meli huko Zanzibar..,CUF kama chama cha siasa na sehemu ya serikali ambacho kinaamini katika uwajibikaji pindi matukio ya uzembe wa viongozi walio serikalini ni vema mkaonyesha mfano.Viongozi woote wa CUF walioko serikalini na kwa namna moja wameshindwa kutekeleza majukumu yao na kupelekea ajili hii waachie ngazi mara moja ili kuonyesha kile ambacho CUF wamekuwa wakihubiri kila siku na hii itakuwa ni mfano bora wa uwajibikaji..!
Nawasilisha.
Nawasilisha.