Wosi wangu kwa wana igunga

KALYOVATIPI

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Messages
1,416
Points
0

KALYOVATIPI

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2011
1,416 0
ndugu zangu wana IGUNGA najua mpo ktk wakati wa mgumu wa vishawishi vya vyama mbalimbali lakini muhimu muangale kuwa tupo ktk kipindi cha mageuzi ya kiutawala yani msidanganyike kwa yeyote atakaewaletea kanga,kofia,vilemba mkasahau shida zenu za kudumu kama maji,barabara,utu,huduma za afya, ufisadi,dhulma,nk mkadanganyika kwa siku moja hao mnaowaona huko wapo sababu wanawaitaji kwa kipindi hk nsingependa kuwaona kesho mkilalama masuala ya umeme,maji,ubovu wa barabara huku mkidanganywa na amani iliopo mioyoni mwa wachache wanatafuna nchi hii. Mna mfano mzuri sana wa kujifunza kama mbunge wenu rostam alisema amechoshwa na siasa longolongo za ccm akang'atuka halaf nyi wananch mkaendelea kuichagua atawaona mmeganda kimawazo na kimtazamo. Huu ni wakat wa kupigania uhuru wa kweli tunajua sote moja inaleta mbili mbio zianzie kwenu ili baadae tuwaweke kando wana magamba na tujenge tz yenye neema. Nawatakia uchaguzi wa kheli inshaalah Allah yupo na nyinyi
 
Joined
Sep 16, 2009
Messages
13
Points
0
Joined Sep 16, 2009
13 0
sera za vyama sio muhimu kwa sasa, la muhimu ni kupeleka wawakilishi wengi bungeni wenye upeo na uwezo wa kuihoji serikali juu ya utekele wa sera zenye kuwaletea watanzania maendeleo. Tatizo la serikali yetu ni kwamba kila inaposhindwa kutoa majibu ya kueleweka huwa inawaita wabunge wa chama chake na kuwalazimisha waunge mkono hoja ya serikali hata kama haina maslahi kwa wananchi.
 
KALYOVATIPI

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Messages
1,416
Points
0

KALYOVATIPI

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2011
1,416 0
sera za vyama sio muhimu kwa sasa, la muhimu ni kupeleka wawakilishi wengi bungeni wenye upeo na uwezo wa kuihoji serikali juu ya utekele wa sera zenye kuwaletea watanzania maendeleo. Tatizo la serikali yetu ni kwamba kila inaposhindwa kutoa majibu ya kueleweka huwa inawaita wabunge wa chama chake na kuwalazimisha waunge mkono hoja ya serikali hata kama haina maslahi kwa wananchi.
<br />
<br />
Ndio mana tunapiga kelele serikari ya kisanii tu
 
Forum statistics

Threads 1,382,457
Members 526,380
Posts 33,828,619
Top