Wadau,
Ni wakati watanzania kwa ujumla tujiulize ni nini majukumu ya mamlaka ya bima Tanzania (Tanzania insuarance regulatory authority) inapaswa kuyafanya juu ya maafa mazito yaliyowakumba wazanzibar.
Kisheria kila meli lazima iwe na marine insurance ambayo inawa-cover kila mtu aliyejeruhiwa au kufa ktk meli husika. Je hawa TIRA watahakikisha haki hii ya msingi inapatikana kwa wafiwa? Tumeona EWURA ilivyofanya kazi juu ya wauza mafuta na sasa tunataka TIRA nao waige angalau kwa hili moja kubwa.