Kilichomlazimisha Rostam kula matapishi yake ni hiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilichomlazimisha Rostam kula matapishi yake ni hiki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Sep 11, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi:

  Nimekuwa najiuliza ilikuwaje Rostam kutinga Igunga katika kampeni za CCM na huku alishasema hataki tena 'siasa uchwara' za CCM? lakini baada ya kutafakari sana inakuwaje mtu huyu mwenye jeuri kubwa sana ya pesa (alizotuibia) kula matapishi yake mwishowe nikajikuta nina jibu: huenda ni kwa sababu alitishwa na vyombo vya dola vinavyomilikiwa na serikali ya CCM, vyombo ambavyo mara kadha vimekuwa vikitumika ili kuwaweka viongozi mstarini.

  Navyoona mimi Rostam alitishwa kwamba akishikilia kukipa mgongo chama hicho basi huenda vyombo vya sheria vikaanza kumshughulikia kwa dhati kutokana na ufisadi na wizi wake. Akajikuta hana namna isipokuwa kupiga magoti na kula matapishi yake.

  Mtindo huu CCM wanautumia sana katika kujiweka mstarini.
   
 2. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #2
  Sep 11, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Ni mtazamo tu
   
 3. f

  fukunyungu JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 726
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  <br />
  <br />vilimwambia nn hvyo vyombo?
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0  Inasikitisha kuona CCM imefika mahala pagumu sana kwani hakieleweki kinasimamia nini -- maovu au mema? Wakati wanamsukuma kada wao mashuhuri korongoni, walikuwa wanajuwa fika kwamba bado wanamhitaji kwani ndiye financier wao mkubwa. NMguvu ya Rostam haiko katika mvuto wake kwa wananchi au haiba, ila iko katika pesa alizonazo na ambazo nyingi zilitoka katika serikali kwa njia za kutatanisha kama vile Kagoda. Na ndicho kinachoifanya CCM kumg'ang'ania Rostam pamoja na yeye kujiondoa. Wengi katika CCM wanamuona ni lulu, na siyo fisadi kamwe.

  Inashangaza pia wanachama wa CCM bado hawaelewi chama chao kinasimamia wapi kuhusu ufisadi -- wanakaa kuvurugwa vurugwa tu na viongozi wao. Kwa mfano hapo Igunga viongozi wangependa sana akina Dr Slaa wasilitumie suala la ufisadi katika kampeni, kitu ambacho hakiwezekani, hakuna sheria au kanuni ya kukataza hilo.
   
 5. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Nadhani hata lile la Msemakweli na mafaili ya Kagoda, ccm wamelitumia vizuri kwa faida yao.
   
 6. N

  Ngoiva Lewanga Senior Member

  #6
  Sep 11, 2011
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi ulishawahi kumwona MHINDI mwenye msimamo. Hawa ni walewale akina "Kanjibhai" anafuata tamaduni zao.
   
 7. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  mkuu hii avatar imewahi kutumiwa na member mmoja hapa jamvini,,au ndio wewe lakini umebadili jina??aisee!!
   
 8. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Inachekesha!!!
   
 9. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hujamuelewa Ndevu si Mzigo kile anachokisema. Anasema vyombo vya dola vimetishia RA kumburuza mahakamani kwa wizi wa Kagoda na mengineyo iwapo ataendelea kukipa mgongo CCM! Hivyo ilibidi ale matapishi yake kwa haraka.
   
 10. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu,, Its quite obvious hicho ndo kilichomkuta!
   
 11. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Hivyo ni dhahiri falsafa ya CCM kujivua gamba ilikuwa changa la macho!
   
 12. maulaga

  maulaga JF-Expert Member

  #12
  Sep 11, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 472
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nini kilimpata Dr. Lamwai yule mwanasheria bingwa kutoka chuo kikuu cha D'salaam mpaka akalazimika kurudi CCM?
   
 13. K

  Kiti JF-Expert Member

  #13
  Sep 11, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 228
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Rostam anabembeleza CCM imlinde kwenye ushahidi wa Msemakweli
   
 14. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #14
  Sep 11, 2011
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  NI sahihi kabisa huyu RA ameona noma na kusema hapa TZ siyo nyumbani na iwapo nitakaidi mapendekezo ya CCM bac msemo unaosema u scratch my back I scratch your back yaani jino kwa jino. Na iwapo angekaidi bac madudu yote CCm wangeyaibua yote na kufanyiwa kama Jenerali Ulimwengu na kuonaneka sio raia na freeze property zake zote.
   
 15. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #15
  Sep 11, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  jK alimtuma aje kumnadi Kafumu atakayefumiliwa na Kashinde atakayeshinda...
   
 16. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #16
  Sep 11, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Naona sasa RA sasa amekuwa sehemu ya huo uchwara!
   
 17. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #17
  Sep 11, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  huh kumbe siasa uchwara hazikimbiliki.................
   
 18. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #18
  Sep 11, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Asingehudhuria habari corporation ingefutwa nchi hii
   
 19. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #19
  Sep 11, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Speculative at the very best!
   
 20. kaly

  kaly Member

  #20
  Sep 11, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakika RA kaogopa na angeshindwa kwenda kwenye ufunguzi wangemkalia koo hawa magamba. Hapo iko wazio kabisa bado hajaachana na siasa uchwara
   
Loading...