CCM na sisa za Ukabila - Je, Watanzania tufanye nini ili kuepusha shari?

Wed

JF-Expert Member
Mar 7, 2011
315
266
Kila kipindi cha uchaguzi, mambo mengi ya kusikitisha na yanayohitaji kukemewa yanayoibuka hasa hili linalohusu UDINI na UKABILA.

Katika picha zilizowekwa hapa mtandaoni, moja inasikitisha sana kwani tunawaona vijana wa CCM waliovalia unifomu zao wamebeba bango moja lenye ujumbe wa kuchochea chuki za kikabila kati ya Watanzania.

Siku moja tutakuja juta kama hatutakemea kwa nguvu zote wale wanaobomoa misingi mizuri ambayo Baba wa Taifa Mwl. Nyerere alitujengea yaani :- Umoja, Uadilifu na Upendo kati ya Watanzania wote bila kujali Rangi, Kabila au Dini ya mtu.

Naomba thread hii tuitumie bila jazba ili kutoa ushauri nini lifanyike (the way forward), ili kuepuka kutumbukizwa kwenye sisa za kikabila na za kidini ambazo kwa bahati mbaya zimetokea tayari kwenye nchi jirani kama Kenya na Somalia na matokeo yake mnayajua.

attachment.phpKwa bango hili CCM inatoa Tamko Gani ?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/171499-picha-za-uzinduzi-wa-kampen-jimboni-igunga.html
 
Shiefl

Senior Member
Oct 31, 2010
145
32
Hili nimelizungumzia kwenye email iliyokuja na hizi picha lakini kwa ujumla ssmm imeishiwa siasa za maana ndio maana sasa wanapandikiza chuki, uhasama na ukanda na ukabila kwa nguvu zote. Cha msingi sisi watanzania ni kuchukua hizi taarifa muhimu na kwenda kufungua kesi au kama hatuwezi kesi basi kuzigeuza hizi bango kuwa mtaji wa kisiasa kwa kuwaeleza wananchi maana halisi ya maneno haya ya wanassm. Hivi ingekuwaje Mwalimu Nyerere angekuwa mbinafsi kama hawa viongozi wa ssm wa hvi sasa?

Kila kitu kingeenda Butiama

CCM tuwaogope kama ukoma
 
Maarko

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,178
572
Huko ni kutapatapa kwa ccm,wanajaribu kutumia kila mbinu ili ionekane Chadema ni chama kibaya,ipo siku hata hao walalahoi wanaovishwa kofia na fulana na kusahau shida zao kwa muda watakuja elewa tu.
 
Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
13,107
14,007
Kati ya majimbo ya Kilimanjaro/Arusha na yale Igunga ni yapi walio na hali nzuri kimaendeleo?
 
Michael Scofield

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
1,225
469
CCM wameishiwa mbinu, huku ni kufilisika kwa mawazo, hawana jipya kwa watanzania, ndio maana wanahubiri siasa za chuki na ukabila. na bado hapo hapo Igunga watawahubiria udini.
 
Babuu blessed

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
1,363
488
Pole pole ndiyo mwendo.kama wanataka tujitenge na mikoa mingne arusha na kili tunaweza wapo jirani zetu kenya namanga na tarakea zipo njia.mlima klm na ngorongro 2tavfanya pato kuu la nchi ye2.
 
bi mkora

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
259
113
Kila kipindi cha uchaguzi, mambo mengi ya kusikitisha na yanayohitaji kukemewa yanayoibuka hasa hili linalohusu UDIKI na UKABILA.

Katika picha zilizowekwa hapa mtandaoni, moja inasikitisha sana kwani tunawaona vijana wa CCM waliovalia unifomu zao wamebeba bango moja lenye ujumbe wa kuchochea chuki za kikabila kati ya Watanzania.

Siku moja tutakuja juta kama hatutakemea kwa nguvu zote wale wanaobomoa misingi mizuri ambayo Baba wa Taifa Mwl. Nyerere alitujengea yaani :- Umoja, Uadilifu na Upendo kati ya Watanzania wote bila kujali Rangi, Kabila au Dini ya mtu.

Naomba thread hii tuitumie bila jazba ili kutoa ushauri nini lifanyike (the way forward), ili kuepuka kutumbukizwa kwenye sisa za kikabila na za kidini ambazo kwa bahati mbaya zimetokea tayari kwenye nchi jirani kama Kenya na Somalia na matokeo yake mnayajua.

attachment.phpKwa bango hili CCM inatoa Tamko Gani ?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/171499-picha-za-uzinduzi-wa-kampen-jimboni-igunga.html
Kwa kuwa Mh Nape ni kiongozi anayejiamini na ni muenezi wa itikadi nina amini anahusika juu ya hili na itakuwa ni busara kujibu hili swala la ukabila lililofanywa na wafuasi wa CCM. Hizi ni siasa za kitoto na hazina maana.
 
kilemi

JF-Expert Member
Mar 13, 2009
544
98
Huyo Mkapa aliyezindua aliona hilo bango? Au naye ameunga mkono. Ninaungana na kila mdau hapa JF kuwa ujinga wa watanzania ndio mtaji wa wanasiasa waliopo madarakani. Nao wanaamini kuwa siku watanzania wakielimika hawataendelea kutawala kamwe. Sera zao kuhusu elimu ni geresha uli wapate fedha za wafadhili.
 
Omr

JF-Expert Member
Nov 18, 2008
1,160
99
Jamani eehhh , kwani ni unogo? Nyie si ndio wazee wa fujo. Au mnabisha?
 
Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,536
5,642
Kati ya majimbo ya Kilimanjaro/Arusha na yale Igunga ni yapi walio na hali nzuri kimaendeleo?
<br />
<br />
hilo ni swali la msingi kwa walioandika hilo bango. Wanatumiwa na wamekubali kutumika. Tatizo si walioandika bango kwani hawajui madhara yake, tatizo ni kwa walioruhusu litumike ktk vikao vyao,ccm, wanafahamu madhara yake.
 
jockey emmanuel

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
330
49
UONGOZ WA CCM HAUNA BUD KUTOA MAELEZO JUU YA HILI...Z THIS DA WAY BABAw wa taifa aliwafunda?z dic da way they treat vyama vya upnzan juc bcoz vinaweza kuwashinda?dnt they knw dat wanawagawanya watz frm their unity n lav?then ccm members wengi ndo wa kwanza kusema chadema ni chama cha wachaga,na kwa hili wenyewe ni chama cha kinini?kama kilimanjaro n arusha ni kwa chadema,mbona bado wanaCMAMISHA mgombea kwenye majimbo hayo?c wangeacha?i think hiz ndo casa za uchwara,badala ya kunad sera zao,wanaandika mabaNGO KUKIPONDA CHAMA KINGINE,Z THIS DA MEANING OF INCLUSION OF MULTIPARTY SYSTEM?TUNGEBAKI NA KIMOJA TUELEWE!....
 
Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,230
1,383
Kati ya igunga Na Arusha/kilimanjaro wananchi wapi wana mwamko wa maendeleo ,umaskini wa kufikiri ni gharama kubwa sana!
 
Kachest

Senior Member
Nov 6, 2010
191
19
Hii ni sawa na mwanamke ndani ya ndoa hatakiwi kulala na chupi, hivyo kupakana matope kwenye siasa kitu cha kawaida bila hivyo ccm wataenda wapi?
 
Hossam

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
3,399
1,857
Kila kipindi cha uchaguzi, mambo mengi ya kusikitisha na yanayohitaji kukemewa yanayoibuka hasa hili linalohusu UDIKI na UKABILA.

Katika picha zilizowekwa hapa mtandaoni, moja inasikitisha sana kwani tunawaona vijana wa CCM waliovalia unifomu zao wamebeba bango moja lenye ujumbe wa kuchochea chuki za kikabila kati ya Watanzania.

Siku moja tutakuja juta kama hatutakemea kwa nguvu zote wale wanaobomoa misingi mizuri ambayo Baba wa Taifa Mwl. Nyerere alitujengea yaani :- Umoja, Uadilifu na Upendo kati ya Watanzania wote bila kujali Rangi, Kabila au Dini ya mtu.

Naomba thread hii tuitumie bila jazba ili kutoa ushauri nini lifanyike (the way forward), ili kuepuka kutumbukizwa kwenye sisa za kikabila na za kidini ambazo kwa bahati mbaya zimetokea tayari kwenye nchi jirani kama Kenya na Somalia na matokeo yake mnayajua.

attachment.phpKwa bango hili CCM inatoa Tamko Gani ?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/171499-picha-za-uzinduzi-wa-kampen-jimboni-igunga.html

Napenda kuchukua fursa hii kujibu ujumbe wa bango hilo. Kwanza kabisa huko Arusha na Kilimanjaro ndipo wasomi wengi wanatokea huko, lakini pia ndio maeneo mengi ambayo msukumo wa elimu ni wa juu sana na sio kama Igunga ambapo mtoto wa kiume ni kuchunga ng'ombe na wa kike ni kuolewa na kuzaa tu, lakini pia huko Arusha na Kilimanjaro ndipo pato kubwa la taifa linatokea hasa kwa utalii. Mwisho kabisa huko Arusha na majiji mengine CDM imekuwa ikishinda kwa kishindo kwa kuwa watu wake sio mabozo kama aliyeandika bango hilo, wengi wameelimika na hawadanganyiki kwa fulana na kapelo za ccm.
Sasa nirudi kwenye ukabila: CCM haina jipya katika hili wao pia mawizara yao yamejaa ukabila hadi uvunguni ukiachilia mbali udini wa mkwerre. Kama siku moja tungehukumu kama bozo huyu aliyeona ukabila wa cdm bask nchi hii ni matope kabisa. Chimbuko na kimbunga cha ukombozi vyote vitakuja vikitokea Arusha, Kilimanjaro, Mwanza, Mbeya, na Dar, stay tuned mnafiki wewe
 
THINKINGBEING

JF-Expert Member
Aug 9, 2010
2,778
1,303
Hii mikoa ijitangazie uhuru na watanzania wote wasio CCM bila kujali makabila,dini wala rangi zao waje tujenge nchi yetu mpya.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom