Elections 2010 VODACOM VS CCM: what Behind the screen?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,270
670
WanaJF

Naomba msaada wenu
Nataka kujua ni kitu gani kimejificha hapo Vcom na CCM
Kabla ya kampeni mji mzima wa DSM ulikuwa umejaa matangazo ya VODACOM
uchaguzi ulipoanza matangazo yote yakapotea mabango ya CCM yakapandishwa
Uchaguzi ulipoisha mabago ya VODA yakapanda tena MFANO mzuri BARABARA ya SAMNOJOMA to ubungo. IS vodacom part of CCM? is ccm part of VOdacom?
 
NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,509
1,310

Waliombwa tu wapishe nafasi ilikuwa haitoshi kwa wingi wa mabango ya ccm
 
ELNIN0

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
4,161
1,439
Simple, Huwezi kufanya biashara TZ kama upo against CCM - Forget my broda.
 
Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,730
WanaJF

Naomba msaada wenu
Nataka kujua ni kitu gani kimejificha hapo Vcom na CCM
Kabla ya kampeni mji mzima wa DSM ulikuwa umejaa matangazo ya VODACOM
uchaguzi ulipoanza matangazo yote yakapotea mabango ya CCM yakapandishwa
Uchaguzi ulipoisha mabago ya VODA yakapanda tena MFANO mzuri BARABARA ya SAMNOJOMA to ubungo. IS vodacom part of CCM? is ccm part of VOdacom?
Kwa ukongwe wako sikutegemea na swali kama hilo wakati kutka kwako ufafanuzi wa Voda na CCM ulisha letwa na wana jamvi mara nyingi sanaaaaaaaaaaa.....kifupi RA inasemekana ana hisa nyingi sana au unaweza sema Vodacom Tanzania ni Ya Rostam Aziz
 
minda

JF-Expert Member
Oct 2, 2009
1,068
64
si wote wanaopeperusha bendera za chama hicho maeneo yao ni wanachama au wapenzi; ni maslahi ya kibiashara na hasa woga juu ya tra.
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
27,935
24,166
si wote wanaopeperusha bendera za chama hicho maeneo yao ni wanachama au wapenzi; ni maslahi ya kibiashara na hasa woga juu ya tra.
Na kweli............hata wale wauza vitanda pale viwanja vya biafra walishawahi kutishiwa kutimuliwa baada ya kuonekana wanashabikia kilichokuwa chama cha upinzani wakati huo...CUF.......... baada vitisho tu wakapandisha bendera ya CCM..wakawa shwari hadi leo.
 
RealMan

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,367
1,386
QUOTE
Overview

Vodacom Tanzania Limited is Tanzania's leading cellular network offering state-of-the-art GSM communication services to more than 6 million customers across the country.
Vodacom Tanzania is a subsidiary company of Vodacom Group (Pty) Limited, South Africa. Vodacom Group (Pty) Limited owns a majority share portion of 65%, the remaining 35% is owned by Tanzanian shareholder, one Mirambo ltd.
END QUOTE

Awali Caspian na Somaiya walikuwa wanaonekana ndo shareholders wa hizo 35% sasa wamejificha ndani ya Mirambo Ltd coz kuna viongozi wengine wameongezeka. Mzee Kaduma ndio mwenyekiti kwa sasa kama sikosei
 
Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
huwezi kuwa mfanyabiashara mwizi kisha uwe against ccm.sasa hapo ndesamburo na mbowe mnawatoa wapi?
 
Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,443
Doroth Mwanyika ( Alikuwa Meneja HR Vodacom Tanzania LTD)

Deo Mwanyika ( Alikuwa au Ndiye Meneja Mkuu wa Barrick Gold)

Doroth Mwanyika ( Katibu Tawala Mwanza)

Hivi hawa waba uhusiano wowote, I was just thinking Loudly
 
Aug 11, 2011
45
3
nilitaka kulalamika lakini nilipoona hizi picha za maiti hawa sina haki ya kuwaamulia waZanzibari kwenye maamuzi yao

IMG_7054.JPG

IMG_6995.JPG

IMG_6926.JPG

IMG_6975.JPG

IMG_9142.jpg

DSC_0522.JPG
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom