Unakaribishwa Miaka 50 ya Peace Corps Washington DC: Mgeni Rasmi Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unakaribishwa Miaka 50 ya Peace Corps Washington DC: Mgeni Rasmi Kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Sep 9, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Sep 9, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  September 8, 2011

  I cordially invite you to join us for a very special Peace Corps 50th anniversary event to be held in Shriver Hall at Peace Corps headquarters in Washington, D.C., on Tuesday, September 13, at 10:30 a.m. Please arrive by 10:15 a.m. to ensure a quick security screening.

  We are honored to have His Excellency Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania, as our guest speaker. As part of the agency’s Loret Miller Ruppe Speaker Series, President Kikwete will be addressing the subject of the strong relationship that exists between our two countries and, in particular, the 50-year relationship between the Tanzanian people and the Peace Corps.

  RSVP to Ms. Claudia Calderon, my special assistant, at (202) 692-2109 or ccalderon@peacecorps.gov, and to Kelly Daly, Desk Officer for Tanzania, at 202-692-2366 or kdaly@peacecorps.gov.

  I certainly hope that you will be able to join us for this special event.

  Sincerely,

  Aaron S. Williams
  Director
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Sep 9, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu hata mimi naweza kuja? Miaka 50 ya Peace Corps JK mgeni rasmi na Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika; Obama mgeni rasmi.
   
 3. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,528
  Likes Received: 5,674
  Trophy Points: 280
  This is a joke! A very Big joke! khaaaa!,ama kweli sikio la kufa.....
   
 4. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,528
  Likes Received: 5,674
  Trophy Points: 280
  Kama presidency is an institution,nafikiri tuna tatizo zaidi ya mkuu mwenyewe!
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Thi is is so wrong whichever way you look at at it. Tusubiri speech.
   
 6. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  anaenda kuongeza suti ili mseme sana
   
 7. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  JK nenda katuwakilishe. Hawa PCs ndo walitupatia elimu wa Tanganyika wa enzi hizo baada ya waingereza kututupa - mashule yakiwa hayana walimu wa kutosha. Hawa wamarekani waliishi na kufundisha shule za pembezoni (nisiite porini kama lugha ya wakati huo ilivyokuwa ikitumika - mfano ni Malangali) ambazo hata wa Tanganyika wasomi wapya walikataa kwenda kufundisha. Wamefundisha toka shule za Middle School (darasa la 5 hadi 8) hadi za "O" na "A" level. Vivyo hivyo walikuwepo katika sekta mbalimbali. Tumkumbuke pia President Kennedy kwa hilo.
   
 8. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  yale maandamano ylifiki wapi?

  hivi mwanakijiji munamwamnimi huyu jamaa hadi kumpa hadhi ya kuwa mgeni rasmi?!!!...ntabaki canada ctaweza kuja kma jk ndo mgen rasmi
   
 9. L

  Lubaluka JF-Expert Member

  #9
  Sep 9, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 496
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Is this real????? JK au naota mchana???????
   
 10. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #10
  Sep 9, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  hahahahaa!!
  Hivi mnawajua Peace Corps au??
  Wee MAKAH, read my signature!!!
   
 11. F

  Froida JF-Expert Member

  #11
  Sep 9, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Wanampooza asije akawatimua kwenye migodi ya dhahabu ardhi na uranium,wamemwanika pee,kumtolea siri ambapo wangemstahi,wamemchonganisha na wananhi anaonekana cheap president ambaye amewahi kutokea nchini kwa kupokea Suti na chumba cha kufanyia ufuska kulipiwa atajijua mwenyewe tumemzoea asivyojari heshima ya nchi bila aibu atakwenda shauri yake sikio la kufa huyo
   
 12. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #12
  Sep 9, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Taarifa iliyotolewa na makao makuu ya Peace Corps inaeleza kuwa rais Jakaya Kikwete atakuwa mgeni rasmi katika sherehe za miaka 50 ya kuzinduliwa kwa Peace Corps zitakazofanyika mjini Washington D.C Septemba 13 katika makao makuu ya Peace Corps. Siku hiyo hiyo rais Kikwete atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya rais mstaafu George W. Bush.

  My take:

  Inaonekana rais ameamua kwenda Washington mapema kuwakwepa Watanzania waliokuwa wamepanga maandamano September 23 wakati alipotarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa DICOTA.
   
 13. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #13
  Sep 9, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  hata hapo wanaweza kujipanga na kuandamana hana lolote huyo..........
   
 14. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #14
  Sep 9, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  amesharudi kutoka NRB?
   
 15. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #15
  Sep 9, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Mhh..sasa wataongea nin na bush, wakati ye sio rais tena?? Au kuna kitu alisahau kwenye ile ziara yake ya siku 4.!
   
 16. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #16
  Sep 9, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Du huyu Jamaa ana GREEN CARD nini?
   
 17. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #17
  Sep 9, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
   
 18. ALU-MASOLI

  ALU-MASOLI Member

  #18
  Sep 9, 2011
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Du tumemzoea lakini na mishe zake za nje
   
 19. Nyota Ndogo

  Nyota Ndogo Senior Member

  #19
  Sep 9, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahaha, mazungumzo ya **** na Bush siku zote ni kuhusu barter trade yao ya madini kwa vyandarua.
   
 20. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #20
  Sep 9, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Dah! Huyu Mshikaji huwa hachoki?
   
Loading...