Bernad Mchomvu ateuliwa mwenyekiti bodi ya TRA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bernad Mchomvu ateuliwa mwenyekiti bodi ya TRA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nduka Original, Aug 14, 2011.

 1. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 753
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu Bernad Mchomvu ameteuliwa na RAIS kushika nafasi ya uenyekiti wa bodi ya TRA.

  Kabla ya hapo alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Millennium Challenge ile ambayo ilipewa na Bush $700million. Na nyuma zaidi alishakuwa katibu mkuu wizara ya fedha, ndani, PM.

  Mwenye undani wa CV ya ndugu Mchomvu atujulishe hapa tuone kama pamoja na kustaafu anastahili kupewa majukumu mazito kiasi hiki
   
 2. MKWECHE

  MKWECHE JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 299
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mie Mkweche CV Mchomvu Sina!
  Lakini kaka Rais kashamchagu kwa sheria zetu wa kumtoa ni yeye!mimi na wewe kujua CV yake ili tuone kama anaweza au La ni Kujifurahisha tu!
   
 3. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  CV yake ilikuwa muhimu kwa Rais kabla ya kumteua. Sasa wewe unaiulizia ya nini?
   
 4. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Naelekea kuamini unachosema.
   
 5. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 753
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Issue ni kwamba hiki kijamaa kinatafuta 70 sasa, huoni kwamba ndo watu wanafanya mambo hayaendi hawa
   
 6. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Subiri tuone vendaji wake.
   
 7. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hata ukijua cv yake haitakusaidia kitu mana ndo kesha mchagua ivyo,unazan atatoka kirahisi rahisi?kwanza huyo aliyetoka si Dr Chijoliga?kafanya lipi la maaana?TRA is a joke,kazi kukimbilia kikusanya PAYE tu wanaacha watu wanaiba madini bila kulipa kodi
   
 8. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0

  70! Hatari hii pia uwa sielewi iwapo serikali kwanini haiamini kuwa kuna wakati inashindwa? kama serikali ingekuwa na system ya kuainisha mambo waliyoshindwa badala ya kuorodhesha mambo waliyoweza kufanya, sometimes wangekuwa wanjuwa pale waliposhindwa sababu ilikuwa nini na labda serikali ingekuwa na ufanisi mkubwa sana.

  Ni kwasababu serikali haina utaratibu huo ndio maana mpaka sasa unakuta mtu aliyekuwa ndani ya serikali alifanya madudu na kujifunza kila siku hadi anazeeka bado anatolewa sehemu hii kwenda nyingine. Ndani ya serikali hii bado wamo ambao hata kusoma hawajui, wamo ambao kazi yao ni kuingia kusoma magazeti na kuchezea mitandao tu siku nzima! yamkini wengine ndio wanao lalamika humu JF kumbe hamna hamna wanachozalisha.

  Sijui kama tutafika kwa ujinga huu wa viongozi wetu.
   
 9. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Dr.Dau alikuwa anavizia hiyo nafasi tatizo mdini na ana lundo la miradi iliyo titiri ufisadi kwenye tenda na za nssf na miradi yote itarejesha faida baada ya miaka 100 ni sawa na uchezea pesa za wanachama kuwa na mtu asiyejua analysis ya financial
   
 10. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #10
  Aug 14, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 753
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  We gonga ubwabwa wako huko, Dr Dau alikuwa anavizia CG ambayo Kitilya kaongezewa miaka mingine m2
   
 11. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  we zezeta toa pumba zako hapa hujui ukiandikacho.
   
 12. u

  ugawafisi Senior Member

  #12
  Aug 14, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  hebu tupe tafsiri ya mtu mdini kwa upeo wako!. Halafu nitakupa msururu wa viongozi wenye udini na ushahidi nitakuwekea.
   
 13. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #13
  Aug 14, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,070
  Likes Received: 7,548
  Trophy Points: 280
  Ulichokitaja hapo ndiyo CV yenyewe, what else do you need?

  Or if I may ask...
  ...What a different will it make....?
  Tafuta CV ya January Makamba kabla hajamteua kuwa mshauri wake na mwandishi wake wa hotuba.
   
 14. K

  Kudi Shauri Senior Member

  #14
  Aug 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2007
  Messages: 154
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Alifanya his A levels Kibaha Secondary School 1967/68 then did a BA in UDSM 1969/72 and an MSC somewhere in USA or UK. Alifanya kazi kwa muda mrefu sana katika Wizara ya Viwanda na Biashara where he rose to the level of Director and DPS kabla ya kwa PS wizara kadhaa na kustaafu kama sikukosea in 2005/06. Ndipo alipojoin MCA kama CEO.
   
 15. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #15
  Aug 14, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  wa GALA wanapeana tuu vyeo

  mbona hakuna tuhuma za udini?
   
 16. L

  LATTICE BOND JF-Expert Member

  #16
  Aug 14, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wandungu tusilaumu kila jambo linalofanywa na JK!
  Mchomvu is a good leader!! he is straight, analytical na open to new ideas!!
  THATS HOW I KNOW MR. MCHOMVU!
   
 17. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #17
  Aug 14, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 753
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hakuna anaelaumu we just need to know his qualities.
   
 18. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #18
  Aug 14, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  he's 70 yrs old
   
 19. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #19
  Aug 14, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Afadhali umesema wewe, mimi nilikaa kimya kwa sababu nilidhani hakuna hata haja ya kumjibu lolote
   
 20. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #20
  Aug 14, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Naona kuna haja ya kumpunguzia raisi madaraka nafasi nyeti ziwe zafanyiwa interview na makampuni kama KPMG
   
Loading...