Are they really fighting for poor people or their tummies??
Binafsi nasikitishwa sana na jinsi primaries za CCM zilivyokwenda hasa ukizingatia kiasi cha pesa kilichotumika; on average at least 2...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe alisema Serikali ya CCM imeshindwa kazi hivyo haifai kuwa madarakani wala kuongezewa wabunge kwa kuwa itazidi kuwadidimiza wananchi.
Alisema haiwezekani rais...
Baada ya mageuzi ya hapa na pale, tovuti maarufu ijulikanayo kama JamiiForums, iliamua kuanzisha Television ya luninga, na kwa bahati nasibu kabisa nimebahatika kuwa mmoja wa watangazaji...
Kweli kujuana ni kuzuri maana mnaweza mkajazana kwenye wizara familia moja tu. et afisa madini mkazi kule tangaambako machimbo yamewafunika watu wanne anaitwa Philip ngeleja.....nashindwa kuelewa...
Hoteli ya Kilimanjaro, ambayo zamani ndiyo ilikuwa hoteli ya heshima kubwa ya taifa la Tanzania, imepitia wakati mgumu tangu kubinafsishwa kwake katika mazingira ya kutatanisha. Imepitia jina la...
06th September, 2011: News from Tanzania Corruption Tracker System;
Current Issues
Corruption which is afflicting many public institutions in Tanzania has finally hit the country's leading money...
Asalam Alekhum wana JF wote,
Nimekuwa nikijiuliza hasa kwa nchi za Misri, Iran, Tunisia etc kwa nini maandamano yanashika kasi sana siku za ijumaa baada ya Alasiri bila mafanikio ya uwelewa wa...
Katika harakati za kumpata Diwani kata ya Mjimwema katika Halmashauri ya Njombe zimeanza leo, ambapo kundi la kumnadi mgombea wa CCM pamoja kwamba limepita mitaani ndani ya nguo zao kijani...
Kwa mujibu wa taarifa ya TBC Taifa, Rais Kikwete alisaini hati maalumu ya kuanza kwa mikoa na wilaya mpya tarahe 5/9/2011 na tangazo rasmi litaandikwa kwenye gazeti la serikali tarehe 10/9/2011...
Tanzania Mpya Bila Ulinzi Mpya - Inawezekana?
Tanzania inahitaji kujionesha ni taifa linalojiamini na ambalo linajua uwepo wake una maana gani. Ili kuweza kufikia hapo ni lazima kwanza kama...
Wana Jf kwa mimi hapa nilipo sijaona changes yoyote iliyoletwa na uwepo wa Symbion Power, umeme ndo umekuwa balaa zaidi... hatukuwahi kukatiwa umeme j'pili ila hii ni mara ya pili wanauchukua asb...
*Yaelezwa chama kimekosa uwezo kukosoa serikali
*Mawaziri, ma-RC, ma-DC nao waondolewe ujumbe NEC
Na Mwandishi Wetu
HALI ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) si shwari kutokana na misuguano ya...
Majuzi ndugu JK rais waa Nchi hii alikuja Mlimani City kufungua kikao cha makandarasi walio kutana eti kutafakari miaka 50 ya Uhuru wa Nchi hii na maendeleo ya kazi yao .Nilishangaa kuona kwa mara...
Nimesoma hizi Wikileak diplomatic cables na kuona JK anavyoingizwa sehemu mbalimbali na kujikuta ninajiuliza hilo swali. Sijui wengine mmeona pattern fulani au mmejiuliza swali au kupata majibu ya...
Bila ya shaka hakuna ubishi kuwa nchi yetu sasa inaugua maradhi makubwa, pengine ni maradhi makubwa zaidi ya ukimwi. Ufisadi, mfumuko wa bei za vyakula unakua kila siku wakati wenzetu wanaojiita...
Igunga kumeshika moto , kila chama kinajaribu kutumia kila weredi ili kiibuke mshindi, lkn swali ninalojiuliza mwenzenu hadi hivi sasa. hivi CUF bado ni wapinzani..? je kama...
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesisitiza msimamo wa Tanzania wa kutotambua Baraza la Mpito la Libya (NTC) na badala yake amelitaka litekeleze mpango wa amani...
Mwazoni mwa miaka ya 1980 wakati huo nikiwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi mvuaha,wilayani morogoro vijijini, mkoani morogoro kilitokea kituko cha mwaka kama sio cha karne.
Kilikuwa kipindi...
Mbali ya porojo za Ngeleji leo umeme umekuwa hivi;saa 2as ulikatwa,saa 10jio ukarudishwa,saa 11jio ukakatwa,saa 3usik ukarudishwa,kuanzia saa 4usiku huu hata sasa tuko kwenye giza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.