Tangu sakata la kukamatwa kwa DC wa Igunga akihalifu sheria chama ca CCM kimekuwa kikifanya propaganda chafu sana,ya UDINI hapa Igunga mjini,jana wilayani Uyui Dc huyu alitoa laki moja hadharani...
Kwa wiki hizi mbili mfululizo kutokana na matamshi ya viongozi mbalimbali wa CCM nimeweza kugundua kuwa CCM sasa wanajua kabisa kuwa hawana mtu ambaye anaweza kupambana na Dr Slaa iwapo...
Ni siku chahce zimepita tangia DC wa Igunga Mama F. Kimario kukamatwa na wafuasi wa CDM akihujumu na kuendesha mkutano wa kikampeni kukisaidia chama tawala kinyume cha sheria za nchi na kinnyume...
wana jf leo ilikuwa ni ziara ya kiongozi wa shughuli za serikali bungeni na PM wa JMT kufanya ziara kule mgodini north mara nyamongo lakini hakutaka hata kuuliza kuwa mbona haoni mgodi ambao...
Wakuu nimekuwa mstari wa mbele kuipigia Chadema debe hapa jf na popote pale napokuwa
japokuwa siipendi kabisa ccm iendelee kutawala nchi yetu,lakini napenda nipata nafasi niifahamu chadema kwa...
Ni lini viongozi wa tanzania watagundua tuna vita kubwa ya siasa dhidi ya uchumi, jukwaa la siasa limekuwa likichukua sehemu kubwa ya fikra na vingozi kuwekeza kwenye siasa, na kuacha uchumi...
Na Peter Mwenda, Igunga
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimemtupia lawama Makamu Mwenyekiti wa CCM (bara), Bw. Pius Msekwa kuwa endapo damu itamwagika katika uchaguzi mkdogo wa
Jimbo la Igunga...
Leo wananchi wa monduli walilazimika kusimamisha shughuli zao kufwatia maandamano makubwa yaliofanywa na viongozi wa cdm wakiongozwa na katibu mkuu wa chama hicho dr.w slaa na mbunge wa arusha...
UAMUZI WA KUPAMBANA AU KUTAZAMA WAPAMBANAO!
Ni miaka karibu miwili na nusu imesalia hadi uchaguzi Mkuu wa 2010, uchaguzi ambao wengi wanausubiria kuona kama utaleta mabadiliko wanayoyatarajia...
Katika gazatei la Mwanahalisi la leo, mwandishi Mbasha Asenga amewananga vilivyo wabunge wa CCM akina Anne Kilango, Ole Sendeka, James Lembeli na wengine ambao walijiweka mstari wa mbele katika...
Wakuu Habari Zenyu Bana!!!!!!!!!!
Poleni kwa majukumu ya kuijenga Tz mpya.
Niko mbali sana na Igunga na sijui hali ya mambo kule Igunga na vitongoji vyake, mambo yanaendaje?
Mliopo Igunga au...
Ile kesi iliyokua inawakabili wale madiwani watano Arusha hatimaye hukumu imeshatekelezwa na wameshindwa na sasa uchaguzi wa madiwani Arusha utarudiwa tena!
Souce Mahakama kuu Arusha.
MAHAKAMA...
habari zenu wakuu,hii ni thread yangu ya kwanza hapa jamiiforums.
Bunge linaisha leo nimefanya kautafiti kangu kadogo na nimegundua kuwa wabunge wa Chadema na NCCR MAGEUZI ndio walikuwa wanatoa...
Shuhudia mwenyewe video hii
e"]
MORE UPDATES
Mwita Waitara azungumzia mpango ulikuwaje
e"]
Slaa azungumzia tukio la tindikali
e"]
Mwigulu akiri kuna kambi
KATIKA hali inayoonyesha Chama...
Vyama vya siasa ebu nisaidieni kuuliza hili kwa mwenyekiti wa TUME YA UCHAGUZI. Kukosekana kwa upendo mara nyingi hutokana na mashaka ya kutuhumiana kwa pande mbili zenye ushindani hasa katika...
Nashindwa kuelewa, CCM wanasema ati CDM wamemdhalilisha DC, lakini wao wanasambaza picha za DC akiwa anapelekwa kama Mhalifu.
Unajua Mnafiki utamjua haraka sana. Hawa viongozi wa juu wa CCM...
Hi wana JF.
Taarifa nilizozipata toka Mwanza na mikoa ya jirani na Tabora, makamanda wa mikoa hiyo walipeleaka askari kuwa katika hali ya utayari wa kuhakikisha CCM inashinda kwa namna yoyoye ile...
Mara kwa mara viongozi wa serikali ya Zanzibar wamekuwa wakipinga makampuni ya pombe kudhamini michezo Zanzibar pamoja na kilio cha vyama vya michezo vya huko kuishawawishi serikali yao bila...
Tumepata taarifa kuwa kesi ya madiwani wa CHADEMA kupinga kufukuzwa uwanachama imetupwa. Sasa nini kinafuata? Labda wajaribu kete yao kwa Mkuchika au Tendwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.