Dr Slaa, Lema wafunika Monduli

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,725
Leo wananchi wa monduli walilazimika kusimamisha shughuli zao kufwatia maandamano makubwa yaliofanywa na viongozi wa cdm wakiongozwa na katibu mkuu wa chama hicho dr.w slaa na mbunge wa arusha mjini Godbless lema ambapo kwa pamoja walihutubia maelfu ya wakazi wa monduli waliojitokeza katika viwanja hivyo sambamba na kumuombea kura diwani wa cdm bw Mganga Gilbert katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika mapema mwezi ujao.
 
Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,232
4,045
Hahaha..naona CDM hawachezi mbali na uwanja wao wa nyumbani!
Mbona hawathubutu kuleta hayo maandamano yao dsm?
 
sweetlady

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
16,947
8,355
Hahaha..naona CDM hawachezi mbali na uwanja wao wa nyumbani!
Mbona hawathubutu kuleta hayo maandamano yao dsm?
Dsm watoto wa kiswahili wengi, hawana ufaham, wanasubiria bmkubwa awape mia5 ya vocha, walio bahatika kuwa na wazazi wachapa kazi wanasubiria mshua aweke funguo za gar mezan, waibe gari.. Vijana wa dar, wachache sana ndo wamejaliwa kuwa na akili. Wengi vilaza..
 
Mlamoto

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
351
135
Hahaha..naona CDM hawachezi mbali na uwanja wao wa nyumbani!<br />
Mbona hawathubutu kuleta hayo maandamano yao dsm?
<br />
<br />
Are you alright upstairs? I wish whoever employed you see this!. He will definately show you the door, and it will be my delight.
 
only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Leo wananchi wa monduli walilazimika kusimamisha shughuli zao kufwatia maandamano makubwa yaliofanywa na viongozi wa cdm wakiongozwa na katibu mkuu wa chama hicho dr.w slaa na mbunge wa arusha mjini Godbless lema ambapo kwa pamoja walihutubia maelfu ya wakazi wa monduli waliojitokeza katika viwanja hivyo sambamba na kumuombea kura diwani wa cdm bw Mganga Gilbert katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika mapema mwezi ujao.

Nafurahia sana haya mashambulizi ya CHADEMA kwasasa...maana kila kona wapambanaji wanapigana kiume!! Natamani niache kazi niungane na kundi hili lililojitolea muanga kwa ajili ya watanzania zaidi ya mil.40....Mbona CCM hawasemi tena ile kauli yao ya vyama vya msimu...?
 
OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,943
423
ukiona hivi kwa monduli basi ujue ukombozi umekaribia kwa nchi nzima,wilaya iliyojaa ufedhuli na ubabe wa hali wa kutisha,kweli nguvu ya umma haizuiliki.
 
ben genious

Senior Member
Jun 4, 2011
176
23
humu inabidi tuwe makini na hizi post maana kuna watu wanataka kujaza post tu, asubuh tuliambiwa lema yuko safarin igunga na tukatoa bg up ya kufa mtu,sasa yupo monduli duh,inabidi uweke picha
 
bemg

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
2,799
641
Leo wananchi wa monduli walilazimika kusimamisha shughuli zao kufwatia maandamano makubwa yaliofanywa na viongozi wa cdm wakiongozwa na katibu mkuu wa chama hicho dr.w slaa na mbunge wa arusha mjini Godbless lema ambapo kwa pamoja walihutubia maelfu ya wakazi wa monduli waliojitokeza katika viwanja hivyo sambamba na kumuombea kura diwani wa cdm bw Mganga Gilbert katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika mapema mwezi ujao.
ni chadema au chama cha demokrasia na maendeleo usitumie mkuu cdm unatupoteza
 
Rugas

JF-Expert Member
Jan 8, 2009
1,048
195
pacha mjanja kweli!kahamasisha wanafunzi kibao wajae kwenye mkutano,alafu tbc wanapiga picha sehemu ya wanafunzi tu!hapo ukiona picha utadhani wamejitokeza watoto tu!
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom