kuna tabia imezuka na inazidi kushika kasi siku hadi siku ya vijana kudharauliana kwa kutumia vyama. tabia hii imekuwa ikionyeshwa sana na vijana walio chadema, utasikia oh "kijana aliye ccm...
HUMWENENDO (maneno na matendo yao)WA VIONGOZI,WANACHAMA NA WAPENZI WA CCM KATIKA KUJIVUA GAMBA, SISI WATANZANIA UNATUFUNDISHA KITU GANI? NIKWELI CCM HAINA DHAMILA YA KUSIMAMIA MASLAHI YA WTZ...
Wakuu: Kikwete ametuchosha na ulegelege pamoja na ufisadi. Sasa hivi anamhadaa Clinton. Hakuna anachofanya zaidi ya kuwatafutia mafisadi vyakula vyao. Tunawaomba Raia wema wote wamwandikie Rais...
WanaJF wanasiasa kushikana mashati na viongozi wa sirekali inaashilia kitu gani au inaonesha indicator ipi katika ukuaji wa demokrasia nchini. mfano wale ngugu zangu watatu na mkuu wa wilaya, mi...
Mgombea Ubunge jimbo la Igunga mkoani Tabora kwa tiketi ya CCM, Dk Dalaly Kafumu akihutubia mkutano wa kampeni jana katika Kata ya Mwisi jimboni Igunga, Uchaguzi wa jimbo hilo unafuatia kujiuzuru...
Hii ina maana gani, katika uteuzi wa wakuu wa mikoa, kuna baadhi walikosa ubunge mwaka jana. Hii ni ishara kuwa wananchi walipima utendaji kazi wao na kujiridhisha kuwa upo chini then wakawatema...
Hatimaye katibu mkuu wa wizara ya ujenzi Balozi Harbert Mrango ameongezewa muhula wa mwaka mmoja baada ya muda wake wa kustaahafu kufikia tangu mwanzoni mwa mwezi huu, Balozi Mrango ambaye...
Wednesday, 21 September 2011 20:19
Kizitto Noya
KADA wa CCM, Mohamed Raza, amehoji mantiki ya dhana ya 'kujivua gamba' kama baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi hawataki kuwajibika, wala chama...
Kweli inaniuma sana kwa TBC chombo ambacho kodi zangu zinaenda harafu sipati habari kama inavyotakiwa. Yaani utadhani Igunga kuna CCM peke yao mimi najua hata kama vyama vingine visipopiga kampeni...
Ndugu wana JF salaam toka Brussels
Nimekuwa naangalia news usiku huu na nimeona matukio 3
1.Waziri Mkuu akiwa Serengeti leo , kwenye hadhara wameonyesha watu wakimsikiliza nimeona kuna mdada...
HADHARI iliyotolewa juzi na Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya kuhusu athari zinazoweza kutokea kufuatia uhaba mkubwa wa umeme unaolikabili taifa letu hivi sasa lazima ipewe umuhimu stahiki...
Ndugu wana JF, Ni falsafa yangu inanituma kuamini kuwa ipo siku hali ya UTULIVU katika nchi hii itakwisha kutokana na dalili ninazoziona na mwisho AMANI tuliyonayo kutoweka. Kwa mtazamo...
Kwa ufupi na uchache yaliyojiri igunga
1. Tindikali
2. Dc 'kupigwa' na kuvuliwa hijabu
3. Gharama. Zimefikia zaidi ya bil 1
4. Uzinzi
5. Uchomaji nyumba
6. Kupigana
7. Kambi za maninja huko iramba...
Baraza kuu la waislam Tanzania(BAKWATA), na Baraza kuu la Answar suna Tanzania(BASUTA), kwa pamoja wamelaani kitendo cha viongozi wa CDM Kumvua hijabu DC Fatuma kimario wamesema kitendo hicho...
Haya wandugu naomba tujibu maswali yafuatayo:-
1.Katika purukushani za kumkamata muhalifu wa kike na ikatokea shanga,zikakatika,hijabu ikadondoka na saa ikapotea,kitendo hicho ni;
(a)shambulio la...
By:
US Blogger
Ms Shyroe-Bhanji,
I am a blogging enthusiast and my specific interest is development issues pertaining to different parts of the world particularly my native country of...
UMMA: tunataka umeme wa uhakika jamani. Tunataka elimu bora, maji, huduma za afya bora na miundo mbinu mizuri.
SIRIKALI: naona watanzania mmechoka kuwa na amani tuliyonayo. Nawasihi mtupe muda...
Mgombea ubunge wa chama cha DP anafanya kampeni zake kwa baiskeli. Hivi kwa hali kama hii si afadhali kujitoa maana atafikia vijiji au kata ngapi? Chama kama hiki kweli si bora kisiingie katika...
"Mtoto wa mkulima" kawapiga chini polisi kusimamia zoezi la kuzuia utoroshaji wa sukari nje ya nchi, kisa WANAHUSIKA kufanya escort ya "mzigo".
Rungu wamepewa wanajeshi.
Hapa nina mawazo...
Jana Mh. Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM pamoja na Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu ambaye ni Mbunge wa Mbeya Mjini walifanya kweli katika mji wa Manispaa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.