Nani Atacheka kwa FURAHA Uchaguzi wa Igunga 2/10/2011?


Esoterica

Esoterica

Member
Joined
Jun 18, 2011
Messages
48
Likes
0
Points
0
Esoterica

Esoterica

Member
Joined Jun 18, 2011
48 0 0
Wakuu Habari Zenyu Bana!!!!!!!!!!

Poleni kwa majukumu ya kuijenga Tz mpya.

Niko mbali sana na Igunga na sijui hali ya mambo kule Igunga na vitongoji vyake, mambo yanaendaje?

Mliopo Igunga au karibu na huko ninaomba mtujuze hali ya mambo kwa sasa ili tujue/tupate picha ushindi unaelekea kambi ya nani?
Je baada ya wana-CDM kupelekwa mahakamani Tbr na kurudi Igunga kwa mbwembwe, CUF kuongeza mapambano ya kulalamikia CCM na CDM, balozi mmoja kukamatwa na majina ya wapigakura na shahada zao, CCM kuwapeleka Igunga wakongwe kama Mzee Mangula, hali ya mambo ikoje?

Nani mwaona atashinda?
 

Forum statistics

Threads 1,237,741
Members 475,675
Posts 29,299,130