Je, mubunge ananguvu kwa askari wa jimbo lale?

ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,720
6,468
Hi wana JF.
Taarifa nilizozipata toka Mwanza na mikoa ya jirani na Tabora, makamanda wa mikoa hiyo walipeleaka askari kuwa katika hali ya utayari wa kuhakikisha CCM inashinda kwa namna yoyoye ile.

Kwa mkoa wa Mwanza, gari lililopelekwa Mwanza na waziri masha enzi hizo la maji a kuwasha na askari baadhi wa FFU, liko huko Igunga.

swali langu hapa ni, askari waliotokea Mwanza, mbunge wao WENJE, ana uwezo wa kuongea nao na kubadilishana mawazo? wote wako chini ya usimamizi wake.

Na je, anaweza pia kwenda kulitembelea gari hilo la maji ya kuwasha linalomilikiwa na serikali kupitia jimbo lake la uchaguzi?

tufahamishane kuhusu hili.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom