Wanzibar ni vigeuvigeu?

mpalu

JF-Expert Member
Sep 15, 2010
2,518
2,000
Mara kwa mara viongozi wa serikali ya Zanzibar wamekuwa wakipinga makampuni ya pombe kudhamini michezo Zanzibar pamoja na kilio cha vyama vya michezo vya huko kuishawawishi serikali yao bila mafanikio.

Na hivi sasa kumekuwa na wimbi la uchomaji bar huko visiwani kisingizio cha imani ya dini, lakin cha kushangaza mwishoni mwa wiki Makamu wa pili wa rais mh. Balozi Seif Idd alipokea milion 10 kutoka TBL kama msaada kwa wahanga wa ajali ya meli.

Kama kweli serikali inapinga pombe wangegomea pesa hizo chafu za wauza pombe ambayo ni haramu au ni ndio baniani mbaya kiatu chake dawa.

amanindoyella

Senior Member
Oct 13, 2009
104
195

Hapo kwenye bolded!

Said Bagaile

JF-Expert Member
Jun 23, 2011
686
0
Kwani ni lini hawa watu wameanza kuwa na akili! Mimi siwashangai hata kidogo ndivyo walivyolaaniwa hivyo. Nilishawasamehe bure. Wacha tuwabebe tu kwenye huu Muungano maana tukiwaacha peke yao tumewapoteza.

mpalu

JF-Expert Member
Sep 15, 2010
2,518
2,000
Kama kweli serikali inapinga pombe wangegomea pesa hizo chafu za wauza pombe ambayo ni haramu au ni ndio baniani mbaya kiatu chake dawa.

Hapo kwenye bolded!
[/QUOTE] KUNA NINI MKUU?

Topical

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
5,174
0
Siyo wazanzibar waliopokea ni serikali

Wazanzibar hawana muda na TBL kwa imani zao..

The heading is misleading

BPM

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,761
2,000
usitukane mamba kabla ya kuvuka mto .... huwezi kukataa au kukashfu kitu ukiwa hujui mbeleni nani atakuwa mwokozi wako

Bobuk

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
5,870
1,500
Waislamu wote hata wa bara ni vigeugeu. Sasa hivi waislamu wa Bara wanaomba kuanzisha mahakama ya kadhi ambayo wanataka igharamiwe na serikali. Serikali imewaambia waislamu waanzishe na kuindesha wenyewe lakini hawataki wanataka kodi za serikali ndiyo ziendeshe mahakama ya kadhi.

Juzi tu Pinda amesema bungeni mlipa kodi mkubwa nambari moja ktk JMT ni TBL (kampuni ya bia). Sasa je waislamu wako tayari mahakama ya kadhi iendeshwe kwa pesa zitokanazo na pombe ambayo kwa mjibu wa imani yao ni haramu?

Shuhudia majibu ya waislamu kuhusu hili swali. And be the juror yourself.

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,738
0
Daaaaa,,,,,,,,pole yenu wazenj,UKIKATAA BOGA KATAA NA UA LAKE
Mara kwa mara viongozi wa serikali ya Zanzibar wamekuwa wakipinga makampuni ya pombe kudhamini michezo Zanzibar pamoja na kilio cha vyama vya michezo vya huko kuishawawishi serikali yao bila mafanikio.

Na hivi sasa kumekuwa na wimbi la uchomaji bar huko visiwani kisingizio cha imani ya dini, lakin cha kushangaza mwishoni mwa wiki Makamu wa pili wa rais mh. Balozi Seif Idd alipokea milion 10 kutoka TBL kama msaada kwa wahanga wa ajali ya meli.

Kama kweli serikali inapinga pombe wangegomea pesa hizo chafu za wauza pombe ambayo ni haramu au ni ndio baniani mbaya kiatu chake dawa.

Dr Kingu

Senior Member
Jun 13, 2011
154
170
Na wafanyakazi wangegoma kupokea mishahara, maana asilimia kubwa ya pato la taifa linatokana na kodi toka makampuni ya bia na sigara.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom