Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tue, Sep 20th, 2011 | Tanzania Former Igunga MP, Mr Rostam Aziz announces his resignation in June this year. Though he is influential in Igunga politics, parties participating in the...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika mwaka huu wa fedha 2011/12 kuna waraka toka utumishi umetoka ambao unaelekeza kuwa serikali itakopesha fedha kwa watumishi kutokana na ngazi zao za mishahara na kulingana na mahitaji ambayo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wananchi wengi wamekosa matumani na CCM na serikali yao..........wanahitaji mtu wa kuwapa matumaini mapya, japo haitaondoa shida walizo nazo lakini wahitaji mtu wa kuwapa matumaini katika hali ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Watanzania wenzetu wa Igunga Tabora kama kweli mnayo akili huu ndo wakati wa kuondoa chama ambacho kimezidi kutupeleka gizani inabidi muonyeshe kweli mabadiliko yanawezekana huu ndo wakati hakuna...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Naibu katibu mkuu CUF Zanzibar Ismail jussa Ladhu ameongeza msafara wa mawaziri wa CUF na wabunge wa chama hicho kuelekea igunga. Akiongea na waandishi wa habari mjini Igunga Naibu katibu mkuu...
0 Reactions
0 Replies
975 Views
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Sambwee Shitambala, ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) Mkoa wa Mbeya, amekitaka Chadema kutambua kuwa siasa haiwezi...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Katika Hali isiyo ya kawaida Makamu Mwenyekiti na CCM na Spika mstaafu Mh.Pius Msekwa amechafuka ndani ya Bunge kama mwenyekiti wa Bodi ya Ngorongoro kujitwalia mamlaka ya kutoa maeneo ya kujenga...
1 Reactions
56 Replies
5K Views
Gazeti la chama tawala CCM la Uhuru la leo 20/09/2011 limeandika kuwa CHADEMA wanatumia noti bandia kununua shahada za kupigia kura toka kwa wananchi wa maeneo mbalimbali huko Igunga. Isije...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Wana JF, Taarifa niliyoipata hivi punde ni kwamba wapambanaji wa Chadema, Meneja wa Kampeni Sylivester Kasulumbayi (MB) na Suzan Kiwanga (MB)waliokuwa wamekamatwa kwa hila na polisi wa magamba...
11 Reactions
251 Replies
25K Views
Ilitolewa kauli yenye dharau, majigambo na kujiamini sana na mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi. Alisema kuna vyama vya msimu kila mwenye uelewa alijua nini alimaanisha. Kauli hazikuishia hapo...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Wadau tuwekane sawa hapa! Hili tatizo kubwa mno huku kusini mwa jangwa la Sahara (Maralia)! ni kweli ufumbuzi wake ni huu tunaotangaziwa na Wizara ya afya na vijiwe vya mawaziri na ndugu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia idara yake muhimu ya kukusanya mapato (TRA) ilihamua kuboresha mfumo wake kukusanya mapato kwa kutumia kifaa cha kielectronic ambacho pindi...
0 Reactions
0 Replies
971 Views
Wana jf nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za ccm toka mwaka 1985,ccm imekumbwa na misukosuko mingi kuanzia miaka hiyo mpaka leo hii . Kuna kipindi walikuwa na mikakati mizuri sana ya kushughulikia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu wanajf nimekuwa nikifuatilia uwepo wa Waziri Stephen Wassira kule Igunga kataka kusaidia kampeni za Chama Cha Magamba yaani CCM ili kiweze kuchukua kiti kilichaoachwa na mmoja wa...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
M. M. Mwanakijiji Wakati wa ukoloni wanaharakati za kisiasa nchini wakiongozwa na TANU walijenga hoja mbalimbali za kutaka dhulma mbalimbali ziondolewe na utawala wa kikoloni. Siyo kupitia vyama...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
MKUU wa Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga, Meja mstaafu Bahati Matala, nusura avuruge kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru yaliyofanyika wilayani hapa, baada ya kumtimua jukwaani Diwani...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
PRESIDENT'S OFFICE, THE STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR ES SALAAM. Tanzania. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, usiku wa...
3 Reactions
283 Replies
21K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Kwa miezi kadhaa sasa baada ya Uchaguzi tumeona juhudi kadhaa za Chama cha Mapinduzi kujiokoa au niseme kujinusuru. Juhudi hizi zimelenga hasa katika kurudisha "imani" ya...
6 Reactions
44 Replies
5K Views
Akiongea na waandishi wa habari jana Heche ametoa tahadhari kwa polisi na wakuu wa mkoa na mkuu wa wilaya ya Igunga kuwa wasiwe chanzo cha kusababisha fujo nchini waviache vyama vya siasa...
3 Reactions
75 Replies
6K Views
  • Closed
Heshima wakuu,siku chache zilizopita liliwekwa bandiko juu ya waraka wa wazi wa mtu aliyejitambulisha kama US BLOGGER kwa SHY ROSE BHANJI katika soma soma yangu nimekutana na waraka huu hapa chini...
7 Reactions
49 Replies
6K Views
Back
Top Bottom