Angelikuwa ni Mh. G Lema amepanda jukwaani na bastola!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Angelikuwa ni Mh. G Lema amepanda jukwaani na bastola!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Memo, Sep 24, 2011.

 1. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wakuu...angelikuwa ni kamanda Lema amefanya aliyoyafanya Rage.....
  1) angekuwa yupo segerea saa hizi
  2) Shimbo wa jwtz angekuwa ametoa tamko, huku vifaru vichakavu vya jwtz vikitoa moshi kwa nyuma yake.
  3) yule waziri mwenye ndugu zake kule Mahale national park angekuwa ameshatukana kwenye vyombo vyote vya habari
  4) ngongo wa jf arusha angekuwa ameanzisha thread zaidi ya 10
  5) jamaa zetu wasio na uvumilivu...ms, rejao na the like wangekuwa wanahamasisha viroboto wenzao kupinga kuvunjwa kwa amani
  6) wale jamaa zetu wapendao ubwabwa na posho, wangekuwa wameshatoa tamko kali.

  ...........endeleza list hiyo mwenyewe!
   
 2. Kijuche

  Kijuche JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Napita.
   
 3. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Angenyea debe!
  Na ndio maana ye chama tawala.
  Mbona watu wagumu kuelewa
   
 4. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawawezi kumfanya lolote huyo Aden Rage wanatamba kwamba dola na sheria iko mikononi mwao ndo maana wanajifanya kuwa walinzi Wa kampeni kwa bastola wako huru hata kama watamchunguza ni kuridhisha tu watu kwamba kuna hatua ilichukuliwa lakini angekuwa Wa upinzani saa hizi angekuwa lupango Tabora na sio Igunga.
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,760
  Trophy Points: 280
  Yani wangemvunja kiuno palepale jukwaani.
   
 6. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 14,998
  Likes Received: 3,175
  Trophy Points: 280
  Ishu ya Jeri Muro kumiliki pingu aliamiwa atoe risiti. Lakini mpaka sasa ivi rage hajaambiwa.
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mkuu Memo uliyoyasema ni kweli kabisa ingawa wakati nasoma nimecheka sana...
   
 8. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  mkuki kwa nguruwe,wengine wa magamba wamezifyatua jana lakini hawajachukuliwa hatua
   
 9. K

  Kima mdogo JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2011
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kungewekwa kipindi maalum itv, tbc, star tv nk wamjadili Mh. LEMA + CDM
   
 10. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Godbless Lema ana historia ya ujambazi wa magari hivyo mahakama ilimuamuru asikutwe amebeba silaha ya aina yoyote ile, hata kisu. Kwahiyo mleta hoja uko sahihi kabisa, yaani angekutwa na bastola ndiyo ungekuwa mwisho wake.
   
 11. M

  Msharika JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Uvunjifu wowowte wa amani hapa Tanzania utaletwa na CCM
   
 12. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,869
  Likes Received: 1,559
  Trophy Points: 280
  Bakwata wangelaani vikali na shura ya maimamu wangeandaa maandamano.
   
 13. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,760
  Trophy Points: 280
  Mahakama ipi iliyomuamuru? ni mahakama ya kadhi au??
   
 14. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hiyo historia imeandikwa mahakama ipi Tanzania?
   
 15. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #15
  Sep 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mkuu umenikausha mbavu kwa kweli..
  Sina picha ya Mwema na mahakama zetu, mixer dhamana wangemnyima
   
 16. bi mkora

  bi mkora JF-Expert Member

  #16
  Sep 24, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 262
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hali ni tete kijana endelea kujidanganya tu.
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  Sep 24, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Nadhani hata chadema ingefutwa usajili
  Lema angeuawa
   
 18. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #18
  Sep 24, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  kesi imetajwa lini, na ktk mahakama gani?
   
 19. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #19
  Sep 24, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Sheria za Tanzania zinawahusu wananchi ambao si wanachama wa ccm.
   
 20. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #20
  Sep 24, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,837
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Rage ana rekodi ya uhalifu. Alishawahi kufungwa na akanyea debe segerea
   
Loading...