Jamani tufike mahali hata umri wa kustaafu kwenye siasa uwe jambo la kikatiba

joseeY

Senior Member
Nov 4, 2010
108
17
Eti Simba Akizeeka anaongeza mbinu za kuwinda? Hapana,Nadhani anaongeza mbinu za kuiba mizoga iliyokwisha uliwa na wenzake,Uzee umeumbwa,Samahani Situkani Wazee,Tatizo huwezi kupeleka vitani kundi kubwa la wazee ukitegemea ushindi,labda kuna miujiza,Naamini Wazee hawa wanamiujiza ya "ABRAKADABRA",ile miujiza ya Jipigie kura mwenyewe kisha matokeo yaonyeshe hata ya kwako ulimpigia mpinzani wako,hao ni CCM,kama wamepeleka miujiza hiyo sitoshangaa maaana kweli wao ni wazoefu wa kuiba kura na huenda wakashinda!Nawaaminia.

Tufike mahali hata umri wa kustaafu kwenye siasa uwe jambo la kikatiba. Hawa wanaojiita wazee sidhani iwapo wanalo jipya tofauti na ubinafsi wa kujilimbikizia mali za wizi chini ya mwavuli wa chama! Msemo kwamba "mbwa mzee hajifunzi mbinu mpya" ni dhahiri kabisa kwao! Iwapo wangekuwa na mbinu mpya taifa letu lingesonga mbele, na huu uozo wote tunaoushuhudia kwa sasa usingekuwepo!
 
Wapi kungine duniani kuna kustaafu kwenye siasa? Putin wa Russia anajiandaa kurudi kwenye Urais. Tuweke vipindi viwili kama vile vya Urais kwenye Ubunge kama tunaweza!
 
Eti Simba Akizeeka anaongeza mbinu za kuwinda? Hapana,Nadhani anaongeza mbinu za kuiba mizoga iliyokwisha uliwa na wenzake,Uzee umeumbwa,Samahani Situkani Wazee,Tatizo huwezi kupeleka vitani kundi kubwa la wazee ukitegemea ushindi,labda kuna miujiza,Naamini Wazee hawa wanamiujiza ya "ABRAKADABRA",ile miujiza ya Jipigie kura mwenyewe kisha matokeo yaonyeshe hata ya kwako ulimpigia mpinzani wako,hao ni CCM,kama wamepeleka miujiza hiyo sitoshangaa maaana kweli wao ni wazoefu wa kuiba kura na huenda wakashinda!Nawaaminia.

Tufike mahali hata umri wa kustaafu kwenye siasa uwe jambo la kikatiba. Hawa wanaojiita wazee sidhani iwapo wanalo jipya tofauti na ubinafsi wa kujilimbikizia mali za wizi chini ya mwavuli wa chama! Msemo kwamba "mbwa mzee hajifunzi mbinu mpya" ni dhahiri kabisa kwao! Iwapo wangekuwa na mbinu mpya taifa letu lingesonga mbele, na huu uozo wote tunaoushuhudia kwa sasa usingekuwepo!

mjomba wazo litakuwa gumu kulitekeleza kwa sababu lifespan ya watu inaongezeka kwahiyo inakuwa ngumu kwa maana itakubidi ubadilishe mara kwa mara kwa sababu ya mabadiliko ya lifespan ya taifa. hata huko USA wana mpango wa kubadilisha kutoka 60 kwenda mpaka 65 kwa sababu watu wanaishi sana mara baada ya kustaafu kwa hiyo hii issue ni dyamic kwahiyo inakuwa vigumu kuwa na specific age ya kustaafu kulingana na hayo mabadiliko nilikueleza otherwise inabidi uwe tayari kubadilisha katiba mara kwa mara which is not health thing.
 
Tarehe 3 mwezi October 2011 watanzania kuvaa nguo nyeus kulaani utendaji wa serikali kama kama unaguswa na mambo yafuatayo basi na wewe vaa na umwambie na mwenzako kama yana muhusu naye avae.
1.ukosefu wa ajira
2.kupanda kwa gharama za maisha
3.huduma mbaya za afya, elimu na maji.
4.ukosefu wa umeme
5. Ufisadi
6.mikataba mibovu
7. Ubaguzi kwenye mikopo ya elimu ya juu
8.malipo duni ya wafanyakazi wa serikali
9.ufujaji wa mali ya umma kwa watendaji wa serikali kwa safari zisizo na tija.
10. Kuwakumbatia wawekezaji katika kuiba ardhi na rasilimali ya wanyonge

Huu ni ujumbe unao zunguka kwenye Mitandao ya kijamii twitter, facebook na myspace pia sms kwa njia ya simu zimeanza kusambaaa nchi nzima. Kama Mod hatabania hii kitu na sisi wana JF tuchangia hapa.
 
Back
Top Bottom