Ya CCM na CHADEMA Igunga Je? Yatatokea Arusha

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
825
246
wadau tunakaribia uchaguz wa madiwani Arusha Kwa navowajua mimi Watu wa Archuga aka Arusha mh Je Tambwe na mapigano yatahapen?↲
Nawasilisha
 
uzuri ni kwamba sisi watu wa asrachuggah tukiamua limoja tumeamua,,, memberz of ccm ni wachache sana,,, kwahiyo kutokea mapigano baina ya ccm na chadema, probability ni ndogo sana,,,ila, polisi wakianza kuleta vurugu zao,, hapo ndipo yatatokea maafa,,, vita baina ya polisi na wana wa chadema,,,, nawaasa polisi mkoani arusha,, katika uchaguzi huo wa madiwani, wasitumike kwa namna yoyote ile na ccm, maana itakua balaa,, vitaa yake haitosahaulika kamwe
 
Kwani kutakuwa na upinzani gani hapa kwe2? Hapa CDM ni kama wameshawateu madiwani kila kata ambao wakina Yuda wamesaliti na hata mambo ya Cuf,Ccm wanainchi kwenye kata lengwa hawataki hata kuisikia,kwa ujumla wanainchi wote wako on line na wanadai kwanini uchaguzi ufanyike? Si CDM wapendekeze madiwani tu!
 
Mkuu nimekuwa Arusha this two weeks and may be some miracle to happen and change the situation...sijui CDM wamewafanya nini hawa jamaa wa Arusha...mtu yuko radhi akupige round ya bia na kilo ya kimnyama kisa tu umevaa skafu au kisweta (vya kushona na visivyo na mikono) chenye rangi ya CDM....

Ni ngumu kusema kama kuna upinzani japo nahisi utakuwepo kati ya CCM-Cum-Police VS CDM
 
Back
Top Bottom