"Wazee hawa waliendelea kuja kuniona au Msasani au Butiama. Baadaye suala la Zanzibar kuingia katika OIC likazuka. Hili Halo viongozi wetu wakaliombea bungeni, na wakapewa muda wa mwaka mmoja wa...
Hii ni kutokana na ukweli kwamba kama watu wanaweza kusafirisha Twiga na wasishtukiwe
Je unafikiri kua wanweza wakalinda usalama wa raia wake.
1. Ajali ambazo zinaonekana kuwa ni uzembe zaidi ya...
Kwa kuwa ufahamu na ujinga si marafiki kama ilivyo kwa shetani na utukufu itawachukua miaka mingine 50 kwa CCM kurudia alama yake ya awali ya kujitambulisha kwa utu, hoja, ukweli na ufahamu...
Ushindi wa Rais Sata (Cobra) wa Zambia, ni ishara mbaya sana kwa CCM mwaka 2015. Hii ni kwa sababu Rais Sata ana miaka 74 ambao ni mkubwa sana kulinganishwa na Dk Slaa, ambaye atakuwa na miaka 67...
Hi everyone; I'm back.
Some updates and new information:
- We had advised M to write the original report in English but he refused arguing that this one was for the regular Tanzanians...
I have called this press conference to say a few words. The election campaign of 2011 is over. The people of zambia have spoken and we must all listen. Some will be happy with what they have...
Mkutano na waandishi wa habari umeanza takribani dakika 20 zilizopita.
Rostam kawatuma Manyerere, Ballile na Sarah Mosi.
BONYEZA "PLAY" KUSIKILIZA ALICHOKIONGEA...
tumekuwa tukiona wakati wa mchakato wa sala zima la kesi za EPA, kulikuwa na mabasi yanayowaleta watuhumiwa, lakini sikuhizi hatuyaoni wadau tusaidiane kujua yalipo kwasababu huu ni unyanyapaaji...
Huyu Mkuu Christopher Mtikila yuko njiani kuelekea Igunga,huyu mwanasiasa anajulikana kwa siasa zake za "kupiga" au deal,taarifa zinasema ccm wamemkodi ili aharibu mbio za chadema
wakuu mlioko...
Mkurugenzi wa Sheria na Katiba wa Chadema, Tundu Lissu, alisema jana kuwa tayari Chadema kimemwandikia barua Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya Uchaguzi kulalamikia kitendo cha Mbunge wa Tabora...
NA MAGRETH KINABO MAELEZO
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewataka watu wote wanaoshiriki katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Igunga kuacha kufanya vitendo viovu, ikiwemo kuzingatia sheria ...
Siku za karibuni kutatokea mabaya sana hapa Tz kwa sababu ya uzembe wa hii administration kuthibiti mambo yanayotokea sasa.
Kuna tabia ya hii awamu ya uongozi kuongoza kama vile kwa sababu...
Ng'umbi ataka utetezi wa Mnyika usikubaliwe. Jaji Msuya alisema uamuzi wa maombi hayo atautoa Septemba 27 mwaka huu.
Mbali na Mnyika walamikiwa wengine ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali na...
HI JF admn, JF Team..
Nashuri, ili JF IPATE HESHMA ZAIDI, kwenye Kata 26 vijiji 98 vituo vya kupigia kura viko 427 Kule IGUNGA, tungepata wawezeshaji kwenye kila kituo au kijiji, wataotupa update...
Kuna watu wanataka tuamini "Mteule wa Mungu" Lowassa ni Innocent. Kama kweli huyu jama ni safi kama kina Beatrice Shelukindo wanavyotaka tuamini kwa nini asiende Igunga kukisaidia chama chake...
IPP Executive Chairman Reginald Mengi: to end corruption and embezzlement of public funds, practical measures should be taken, even at the risk of being accused of infringing on human rights and...
Press release
26 September 2011
Ministry for Foreign Affairs
Tanzania's Vice President, Mohammed Bilal, will visit Stockholm on Tuesday 27 September. Minister for International Development...
Sikiliza clouds fm
regina mwalekwa anaelezea mazingira ya igunga na kusema kwa kweli igunga ni aibu tupu
njia zenyewe aibu jamani ukifika ni ngumu kujiuliza kama ilikuwa na mbunge
hata hivyo mh...
Monday, 26 September 2011
Mgombea Ubunge Jimbo la Igunga kwa tiketi ya Cuf, Leopold Mahona (kulia) akicheza mchezo wa bao kwenye kijiwe kilichopo mtaa wa kijiji cha Mbutu, Wilaya Igunga, jana...
Vyombo vya habari vina umuhimu mkubwa katika ujenzi wa taifa imara na kujenga mawazo na mitazamo ya watu juu ya nchi yao wenyewe, NI chombo muhimu katika ujenzi wa taifa, ni chombo kinachotoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.