JK tafadhali rais wangu jifunze katika hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK tafadhali rais wangu jifunze katika hili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Joblube, Sep 26, 2011.

 1. J

  Joblube JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nimeipitia hutuba ya Rais wa Zambia aliyebwagwa katika uchaguzi uliopita nikagundua kuwa wapo baadhi ya viongozi wa Afrika wenye upeo na uzalendo wa hali ya juu kwa nchi zao tofauti na nilivyokuwa nadhani. Nimevutia na baadhi ya mambo machache ya msingi na muhimu kwa Rais wetu mpendwa JK na viongozi wa CCM kwa ujumla kuwa uongozi ni kutazama matakwa ya nchi kwanza na upendo na kuepusha ghasia zisizo za muhimu. Tazama maneno ya hekima yalionikuna:

  IT IS NOT FOR US TO DENY THE ZAMBIAN PEOPLE. WE NEVER RIGGED, WE NEVER CHEATED, WE NEVER KNOWINGLY ABUSED STATE FUNDS. WE SIMPLY DID WHAT WE THOUGHT WAS BEST FOR ZAMBIA. I HOPE THE NEXT GOVERNMENT WILL ACT LIKEWISE IN YEARS TO COME.

  ZAMBIA DESERVES A DECENT DEMOCRATIC PROCESS. INDEED, ZAMBIA MUST BUILD ON HER PAST VICTORIES. OUR INDEPENDENCE WAS HARD WON, OUR DEMOCRACY SECURED WITH BLOOD.
  ZAMBIA MUST NOT GO BACKWARDS, WE MUST ALL FACE THE FUTURE AND GO FORWARD AS ONE NATION. NOT TO DO SO WOULD DISHONOUR OUR HISTORY.

  TO MY PARTY, TO THE MMD CANDIDATES WHO DID NOT WIN, THE LESSON IS SIMPLE. NEXT TIME WE MUST TRY HARDER. WE FOUGHT A GOOD CAMPAIGN. IT WAS DISCIPLINED. I STILL BELIEVE WE HAD A GOOD MESSAGE AND WE REACHED EVERY PART OF THE COUNTRY. WE TRAVELLED TO ALL NINE PROVINCES AND WE SPOKE TO ALL ZAMBIANS. TO THOSE WHO WORKED EVERY HOUR OF THE DAY, I SAY ‘THANK YOU’.

  YOU HAVE DONE YOUR BEST. BUT, SADLY, SOMETIMES OUR BEST IS NOT GOOD ENOUGH.
  DO NOT BE DISHEARTENED. THE MMD WILL BE BACK. WE MUST ALL FACE THE REALITY THAT SOMETIMES IT IS TIME FOR CHANGE. SINCE 1991, THE MMD HAS BEEN IN POWER. I BELIEVE WE HAVE DONE A GOOD JOB ON BEHALF OF ALL ZAMBIANS.

   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Mimi najiskia furaha JK anaposafiri maana kero hupungua kidogo
  Awapo nchini kila siku kituko mara leo hamna mahakama ya kadhi, kesho ipo mara JAIRO sjui kitu gani anachofanua ikulu
   
 3. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sikio la kufa huwa halisikii dawa, Igunga ni ushahidi tosha, unyama wote unaofanywa na CCM huko Igunga kwenye kipindi hiki cha uchaguzi mdogo ni maelekezo ya Kikwete kwa watendaji wake kuanzia CCM, Polisi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Usalama wa Taifa, wakati mwingine hata JWTZ wanaagizwa kuvifanyia vurugu vyama vya upinzani hasa CDM. Lakini ipo siku kitaeleweka tu.
   
 4. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Wakajiilaumu ni sisi wenyewe wananchi na si Kikwete,kwani kikwete na serikali yake hawakujichagua wenyewe ,ni sisi wenyewe ndio tunaowachagua,hata huko igunga inawezekana yakafanyika kama yaliyofanyika Mwanza,arusha mjini ,Mbeya mjini n.k.hata ya Zambia yanaweza kufanyika iwapo wananchi watataka
   
 5. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,659
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Hata kampeni chafu za kutumia dini huko Igunga ni maelekezo binafsi ya JK, yeye ndiye mwasisi wa siasa za maji taka na udini.Kachochea misukule yake inaumiza watu huko yeye yuko kuringishiana suti na kina 50 CENT, suti zenyewe ndiyo zileeeeeeeeeeeeeee.
   
 6. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #6
  Sep 26, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  wenzetu wanajivunia wamefanya uchaguzi kwa amani na wameachiana madaraka kwa amani maana ni maamuzi ya wananchi. Sisi tulolewa madaraka hatukubali kushindwa maana tunakimbilia kuchakachua matokeo na sasa uchaguzi mdogo tu wabunge wanaenda kwenye kampeni na silaha za moto! Kwa kweli Tanzania inatia aibu!
   
 7. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  sisiem sio wasikivu,watembea huku macho yao yakiwa yamefumba huku masikio yao yakiwa yameziba
   
 8. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hana la kujifunza hapo maana uwezo wa kufikiri unahitaji mtu anayetumia ubongo kufikiri na si kinyume chake!! Ashakhum! Masaburi
   
 9. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,414
  Likes Received: 1,974
  Trophy Points: 280
  jamani hatuna rais wakati mwingine huwa nawaza labda kuna mtu mwingine anaingoza hii nchi na sio yeye mtu mwenye mawazo ya kukutana na kina senti 50? mwinyi , mkapa hawakuthubutu kufanya mizaha hii achilia mbali mzee wetu nyerere ambae alikuwa na hulka ya kipekee.huyu masaburi wetu tutashuhudia vituko zaidi na zaidi.
   
 10. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Sikio la kufa halisikii Dawa...
   
 11. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  mkuu hata mimi maneno ya huyu kiongozi yamenitach.

  swali ni je, rafiki wa 50 Cent atakuelewa?
   
 12. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Mkuu sijakuelewa hata kidogo
  ushauri unaotoa kwa kikwete ni upi sasa,sikuelewi,hebu soma hiyo post halafu iweke sawa ili ieleweke
   
 13. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #13
  Sep 26, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Mungu akitaka utumbukie shimoni hatokupa mwanga CCM is no more
   
 14. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #14
  Sep 26, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Huja elewa nini? Kama wewe upo nawana magamba huwezi elewa milele mtaelewa Ccm ikiwa chama cha upinzani
   
 15. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #15
  Sep 26, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,132
  Likes Received: 6,624
  Trophy Points: 280
  nazidi kupata hasira, nitarudi baadaye.
   
 16. d

  dotto JF-Expert Member

  #16
  Sep 26, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Inatosha iiiiii iiiii !
   
 17. O

  Oikos Senior Member

  #17
  Sep 26, 2011
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Zambia Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!! Tanzania?............................................................................
   
 18. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #18
  Sep 26, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  nalitote mbao na tugawane
   
Loading...