Tarime Bids Farewell To RPC Massawe,Tarime traditional elders have thanked the police force | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tarime Bids Farewell To RPC Massawe,Tarime traditional elders have thanked the police force

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Sep 26, 2011.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Sun, Sep 25th, 2011
  Sun, Sep 25th, 2011| Tanzania


  [​IMG]

  Inspector General of Police (IGP), Saidi Mwema
  Tarime traditional elders have thanked the police force for involving them in ending clan skirmishes that were rife in the area over the past few years.

  The elders made the remarks over the weekend at a ceremony to bid farewell to former Tarime Special Police Zone Regional Police Commander, ACP Constantine Massawe.

  "We thank RPC Massawe and the government for recognizing our role in ending clan clashes," the chairman of traditional leaders from all 13 clans of Kurya tribe, Mr Elias Maganya, said.

  The colourful function was attended by several eminent traditional elders, senior police officers, government and religious leaders, politicians among others. ACP Massawe was promoted from Officer Commanding District (OCD) to be the first RPC for the Tarime/Rorya special police zone in 2009.


  He was moved to Tanga region in the same capacity during a recent reshuffle made by Inspector General of Police, (IGP) Said Mwema. Former Mara Regional Crime Officer, ACP Deus Kato was promoted to be the second RPC for the Tarime/ Rorya special police zone during the same time.


  ACP Kato was also welcomed during the ceremony officiated by Tarime District Commissioner, John Henjewele, on behalf of Mara Regional Commissioner, Mr John
  Tupa. The function was also attended by Mara Regional Police Commander, ACP Robert Boaz who is regional commissioner for
  Serengeti, Musoma and Bunda districts.


  Formation of Tarime/ Rorya special police zone has been triggered by recurrent clan violence and rampant cross border cattle rustling. RPC Massawe urged Tarime residents and other key stakeholders to maintain the prevailing peace, which, he said, would help to speed up social and economic development in the area.


  "Let us ensure that we don't lose this peace that we have all fought for," Mr Massawe said.

  Prime Minister
  Mizengo Pinda underscored the importance of involving traditional elders when he toured Tarime on Wednesday last week.

  By MUGINI JACOB, Tanzania Daily News
   
 2. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Amani ya tarime si kutokuwepo kwa mapigano ya waanchari na warenchoka. Amani ya tarime ni pamoja na wananchi wote kuishi kwa utulivu pasipo kuuwawa na polisi kwa kisingizio chochote.

  Tangu kuundwa kwa kanda maalum ya tarime rorya kumekuwa na ongezeko la polisi kuwatesa raia, kuwapora mali raia na hata kuuwa raia kwa visingizio mbalimbali.

  Massawe akiwa OCD Tarime ndicho kipindi ambacho mapigano ya koo yalilipuka na kushamiri na kuundwa kwa kanda maalum kulikoendana na uteuzi wa massawe kuwa mkuu wa kanda hiyo kulichochea mauaji kinyume na matarajoo ya uanzishwaji wake.

  Wakati wananchi wa tarime wakitaraji masawe awajibishwe kwa kushindwa kazi tarime wakastaajabu akipandishwa cheo na ndio maana hawakuwa tayari kumpa ushirikiano na yeye kwa kuwa uwezo wake ni mdogo akashindwa majukumu yake ya kulinda usalama wa raia na mali zao.

  Uhamisho wake umekuwa ni faraja kwa watu wa tarime na uteuzi wa Deus kato umeleta matumaini mapya kwa wananchi na kuna mwanga kwa ajili ya ushirikiano kati ya polisi na wananchi.
   
 3. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Waliokuwa wanapigana wanasifia. Wewe ni nani hata ukosoe mambo mema?
   
 4. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tarime kuna wakati hao askari wa kanda maalumu walikuwa wakilalamikiwa kwa kazi zao za kuwalinda wawekezaji wa migodi na kuwaua raia sasa hizo pongezi kwa RPC zimepikwa au wamebadilika?

  "We thank RPC Massawe and the government for recognizing our role in ending clan clashes," the chairman of traditional leaders from all 13 clans of Kurya tribe, Mr Elias Maganya, said.

  ana hayo mapigano walikuwa wakiitwa kuna wizi wa mifugo wanachelewa kufika kwenye matukio
   
 5. Pelekaroho

  Pelekaroho JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,502
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Mara zote wanaoalikwa kwenye sherehe kama hizo huwa ni watu ambao ni wa muandaji wa tukio, na huwa wanasema yale ambayo muandaaji angependa ayasikie.
   
 6. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Tukio la kuandaliwa hili! Hakuna reality hapo
   
 7. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mwita Maranya nakubaliana nawe .Kumekuwa an uharamia na hata sasa uko mkubwa .Wame make up story hakika ila hakuna kitu kama wazee wa Kimila kukaa na na Mwema na watu hao watakuwa watu au wazee aina ya Nape wachumia Tumbo but wazee hasa walio ona mauajia ya watoto wao hawawezi kukaa na kusema asante .
   
 8. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mambo mema unayozungumzia wewe ni yepi hayo? kuhamishwa kwa masawe ndio jambo jema pekee kwa wanatarime /rorya.
  wakuu mmesema ukweli wenyewe, hii ilikuwa ni mipango ya police na mkuu wa wilaya ndo wameandaa watu wao na wakaelekezwa nini cha kuzungumza. Hakuna mzee yeyote wa tarime anaweza kuthubutu kusimama na kumpongeza masawe kwa kazi mbaya ya kutesa na kuuwa wanatarime aliyokuwa akiisimamia.

  Mkuu Lunyungu ni jambo la ajabu lakini ndio ukweli wenyewe kwamba polisi kanda maalum ya tarime/rorya imeongeza machungu kwa wananchi.

  Polisi hhao kazi yao ni kuvamia wananchi, kuwapora, kuwapiga, kuwatesa na hadi kuwaua na hakuna hatua yoyote inayochukuliwa.

  Kwa wanatarime kanda maalum ni janga, na kama wakiambiwa wachague kuwepo ama kutokuwepo kanda maalum, watachagua kutokuwepo.

  Wizi wa mifugo haujakwisha, mapigano ya koo hayajakwisha, biashara za magendo hazijakwisha na mauaji ya raia katika eneo la nyamongo ndio yanaongezeka. Sasa wananchi wanashangaa hii kanda maalum ilianzishw aili kuwaua na kuwadhalilisha ama kulinda usalama wao na mali zao. Nadhani utakumbuka tukio la polisi hao kuwakamata wananchi na kuwadhalilisha vibaya sana kwa kuwalazimisha kunyonyana nsehemu za siri. Hilo ni jambo ambalo haliwezoi kuvumilika kwa viwango vyovyote vile.

  Anyway, tunasubiri kuona utendaji wa kamanda deus kato, kwani masawe alikuwa anafahamika tangu siku nyingi kwamba uwezo wake ni mdogo na haieleweki aliwezaje kupandishwa kuwa RPC, ingawa kuna tetesi kwamba igp mwema alicheza ki-homeboy.
   
 9. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Watakua ni puppets tu walioalikwa na kukubali.... huenda hata ni familia ya yule mzee ambae Grumeti Reserve walinzi wake waliua mtoto wao, nlisoma kwenye gazeti wamekubali yaishe kwa Ng'ombe kumi na tano......

  Otherwise, Kato na Mwema waendelee kujua kwamba fita ni fita, na fita haina macho.
   
 10. W

  WildCard JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Mapigano ya koo na wakati mwingine familia au mtu na mtu ni volcano inayolala na kulipuka wakati wowote. Kuna wakati utaona kuna amani na kuna wakati ng'ombe mmoja tu akiibiwa yanaanza tena. Hawa jamaa kupigana ni mila, ni desturi, ni jadi yao. Tangu zamani walikuwa hawajui kupelekana mahakamani au polisi kwa usuluhishi. Mwanaume anayekimbilia mahakamani au polisi alidharaulika sana. Siku moja niliwakuta Wakurya wa Tarime wakivunja kamati ya sendoff ya binti wa kigogo mmoja wa kwao huko nikawauliza mbona hapa Dar koo zote mnashirikiana vizuri tu. Kulikoni huko nyumbani Tarime? Jamaa mmoja akajibu kule tunadumisha na kuendeleza mila yetu.
   
Loading...