"CHADEMA" ya Zambia yachukua Nchi rasmi: Hii ndio Speech

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
48,615
67,848
Nimekua nikifuatilia kwa karibu uchaguzi wa Jirani zangu na Wakwe zangu hapo Zambia, hatimae Upinzani wamechukua nchi na hio ndio ishara Nzuri kwamba sasa wanaaminiwa na harakati za Kuapishana ndio zinakamilika hivyo. Lazima jamaa watavunja Tume ya Uchaguzi iliyochelewesha matokeo; hii ndio spech ya Ya rais aliyeshindwa.

I HAVE CALLED THIS PRESS CONFERENCE TO SAY A FEW WORDS. THE ELECTION CAMPAIGN OF 2011 IS OVER. THE PEOPLE OF ZAMBIA HAVE SPOKEN AND WE MUST ALL LISTEN. SOME WILL BE HAPPY WITH WHAT THEY HAVE HEARD, OTHERS WILL NOT.THE TIME NOW IS FOR MATURITY, FOR COMPOSURE AND FOR COMPASSION.

TO THE VICTORS, I SAY THIS: YOU HAVE THE RIGHT TO CELEBRATE BUT DO SO WITH A MAGNANIMOUS HEART. ENJOY THE HOUR BUT REMEMBER THAT A TERM OF GOVERNMENT IS FOR YEARS.
REMEMBER THAT THE NEXT ELECTION WILL JUDGE YOU ALSO.

TREAT THOSE WHO YOU HAVE VANQUISHED WITH THE RESPECT AND HUMILITY THAT YOU WOULD EXPECT IN YOUR OWN HOUR OF DEFEAT.


I KNOW THAT ALL ZAMBIANS WILL EXPECT SUCH BEHAVIOUR AND I HOPE IT WILL BE DELIVERED. SPEAKING FOR MYSELF AND MY PARTY, WE WILL ACCEPT THE RESULTS. WE ARE A
DEMOCRATIC PARTY AND WE KNOW NO OTHER WAY.

IT IS NOT FOR US TO DENY THE ZAMBIAN PEOPLE. WE NEVER RIGGED, WE NEVER CHEATED, WE NEVER KNOWINGLY ABUSED STATE FUNDS. WE SIMPLY DID WHAT WE THOUGHT WAS BEST FOR ZAMBIA. I HOPE THE NEXT GOVERNMENT WILL ACT LIKEWISE IN YEARS TO COME.

ZAMBIA DESERVES A DECENT DEMOCRATIC PROCESS. INDEED, ZAMBIA MUST BUILD ON HER PAST VICTORIES. OUR INDEPENDENCE WAS HARD WON, OUR DEMOCRACY SECURED WITH BLOOD.
ZAMBIA MUST NOT GO BACKWARDS, WE MUST ALL FACE THE FUTURE AND GO FORWARD AS ONE NATION. NOT TO DO SO WOULD DISHONOUR OUR HISTORY.

TO MY PARTY, TO THE MMD CANDIDATES WHO DID NOT WIN, THE LESSON IS SIMPLE. NEXT TIME WE MUST TRY HARDER. WE FOUGHT A GOOD CAMPAIGN. IT WAS DISCIPLINED. I STILL BELIEVE WE HAD A GOOD MESSAGE AND WE REACHED EVERY PART OF THE COUNTRY. WE TRAVELLED TO ALL NINE PROVINCES AND WE SPOKE TO ALL ZAMBIANS. TO THOSE WHO WORKED EVERY HOUR OF THE DAY, I SAY ‘THANK YOU'.

YOU HAVE DONE YOUR BEST. BUT, SADLY, SOMETIMES OUR BEST IS NOT GOOD ENOUGH.
DO NOT BE DISHEARTENED. THE MMD WILL BE BACK. WE MUST ALL FACE THE REALITY THAT SOMETIMES IT IS TIME FOR CHANGE. SINCE 1991, THE MMD HAS BEEN IN POWER. I BELIEVE WE HAVE DONE A GOOD JOB ON BEHALF OF ALL ZAMBIANS.

FREDERICK CHILUBA LED US TO A GENUINE MULTI-PARTY STATE AND INTRODUCED THE PRIVATE SECTOR TO OUR KEY INDUSTRIES. ZAMBIA WAS LIBERATED BY AN MMD IDEAL BUT MAYBE WE BECAME COMPLACENT WITH OUR IDEALS. MAYBE WE DID NOT LISTEN, MAYBE WE DID NOT HEAR.

DID WE BECOME GREY AND LACKING IN IDEAS? DID WE
LOSE MOMENTUM? OUR DUTY NOW IS TO GO AWAY AND REFLECT ON ANY MISTAKES WE MAY HAVE MADE AND LEARN FROM THEM. IF WE DO NOT, WE DO NOT DESERVE TO CONTEST POWER AGAIN.

THE ZAMBIA WE KNOW TODAY WAS BUILT BY AN MMD GOVERNMENT. WE KNOW OUR PLACE IN HISTORY AND WE KNOW THAT WE CAN COME BACK TO LEAD AGAIN IN THE FUTURE. A NEW LEADERSHIP WILL BE CHOSEN, AND THAT LEADERSHIP WILL BE FROM THE YOUNGER GENERATION.

MY GENERATION… THE GENERATION OF THE INDEPENDENCE STRUGGLE– MUST NOW GIVE WAY TO NEW IDEAS; IDEAS FOR THE 21ST CENTURY. FROM THIS DEFEAT, A NEW, YOUNGER MMD WILL BE RE-BORN. IF I CAN SERVE THAT RE-BUILDING, THEN I WILL.

I MUST THANK MY CABINET FOR DELIVERING ON OUR PROMISES. WE DID A LOT OF GOOD FOR ZAMBIA. MANY OF OUR PROJECTS WILL BLOSSOM INTO BRIGHT FLOWERS. SOME OF YOU WILL BE BACK TO SERVE ZAMBIA AGAIN – I KNOW YOU WILL DO YOUR BEST FOR YOUR PARTY AND FOR YOUR COUNTRY.

TO THE CIVIL SERVANTS AND GOVERNMENT OFFICIALS, IT HAS BEEN A PRIVILEGE TO SERVE WITH YOU. WE HAVE WORKED MANY LONG HOURS TOGETHER. WE DID IT NOT FOR OURSELVES BUT FOR ZAMBIA. SERVE YOUR NEXT MASTERS AS YOU DID ME, AND ZAMBIA WILL BE IN GOOD HANDS.
I MUST THANK MY FAMILY AND MY WIFE.

THEY HAVE STOOD BY ME AND I CANNOT ASK FOR MORE LOYALTY THAN THAT WHICH THEY HAVE DISPLAYED. I LOVE YOU ALL DEARLY AND I WILL ALWAYS BE IN YOUR DEBT.


BEING PRESIDENT IS HARD WORK, IT TAKES LONG HOURS OF WORK. AND BECAUSE OF IT, I HAVE NOT ALWAYS BEEN THERE FOR YOU. YET, STILL YOU WERE THERE FOR ME.

WORDS CANNOT EXPRESS THE DEPTH OF MY LOVE FOR YOU ALL. ALL I ASK IS THAT MY FAMILY CONTINUES TO SERVE ZAMBIA AS I HAVE SOUGHT TO DO. BUT MY GREATEST THANKS MUST GO TO THE ZAMBIAN PEOPLE. WE MAY BE A SMALL COUNTRY ON THE MIDDLE OF AFRICA BUT WE ARE A GREAT NATION. SERVING YOU HAS BEEN A PLEASURE AND AN HONOUR. I WISH I COULD HAVE DONE MORE, I WISH I HAD MORE TIME TO GIVE.

OUR POTENTIAL IS GREAT. OUR RESOURCES ARE IMPRESSIVE. I URGE YOU ALL NOW TO RALLY BEHIND YOUR NEW PRESIDENT. YES, WE MAY HAVE DIFFERENT IDEAS BUT WE BOTH WANT THE SAME THING – A BETTER ZAMBIA. NOW IS NOT THE TIME FOR VIOLENCE AND RETRIBUTION. NOW IS THE TIME TO UNITE AND BUILD TOMORROW'S ZAMBIA TOGETHER. ONLY BY WORKING TOGETHER CAN WE ACHIEVE A MORE PROSPEROUS ZAMBIA.

IN MY YEARS OF RETIREMENT, I HOPE TO WATCH ZAMBIA GROW. I GENUINELY WANT ZAMBIA TO FLOURISH. WE SHOULD ALL WANT ZAMBIA TO FLOURISH. SO, I CONGRATULATE MICHAEL SATA ON HIS VICTORY.

I HAVE NO ILL FEELING IN MY HEART, THERE IS NO MALICE IN MY WORDS. I WISH HIM WELL IN HIS YEARS AS PRESIDENT.I PRAY HIS POLICIES WILL BEAR FRUIT. BUT NOW IT IS TIME FOR ME TO STEP ASIDE. NOW IS THE TIME FOR A NEW LEADER. MY TIME IS DONE. IT IS TIME FOR ME TO SAY ‘GOOD BYE'. MAY GOD WATCH OVER THE ZAMBIAN PEOPLE AND MAY HE BLESS OUR BEAUTIFUL NATION.

I THANK YOU.

Source ni hizi hapa chini

Zambia: Presidident Rupiah Banda Bids Farewell to Zambians | LusakaTimes.com na Aljazeera
 

Topical

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
5,174
931
I say "I think Prof. Lipumba deserve this chance than any other candidate"

Lakini ajabu wanatuleta mapdre...hakuna mtu atakubali mkuu

Leteni good candidates siyo hao wenye shule na historia za kuunga unga ...
 

Lukolo

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
5,144
3,188
Nimefurahishwa sana na habari za kutoka Zambia, naamini ni message mhimu sana kwa CCM. Tuombe Mungu ili tuione 2015, pale CCM itakapopigwa ngwala.
 

Mwadada

Senior Member
Feb 11, 2011
142
17
Hongera mh Banda kwa kutambua ukweli na kuukubari, Zambia mnazidi kuwa mfano wa kuigwa ktk demokrasia ya vyama vingi barani afrika na ulimwenguni kote. Hongera rais mpya mh Michael sata wazambia wameonyesha imani yao kubwa kwako, sasa nikazi kwako kuiweka hai imani hiyo ktk matendo kwa kutimiza ahadi ulizotoa ktk kampeni zako na ilani ya chama chako.

Funzo kwa viongozi wengine wa afrika ktk nchi zao wanao pinga, kukataa kusikia sauti za wananchi wao kwa kufanya ujanja ktk matokeo ya uchaguzi wanapogundua kukataliwa ktk sanduku la kura, ni bora mara mia na ushujaa kukubali kushindwa kistaarabu ktk uchaguzi kuliko kutolewa kwa nguvu kama ilivyo kuwa Ivory coast. Mungu ibariki zambia, Mungu ibariki Afrika.
 

Maishamapya

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
1,279
375
President Banda atabaki wa kuheshimiwa katika bara la Afrika kwa kukubali matokeo kwenye watawala ambao wamezoea kung'ang'ania madaraka.
 

Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Sep 18, 2010
8,402
7,957
I say "I think Prof. Lipumba deserve this chance than any other candidate"

Lakini ajabu wanatuleta mapdre...hakuna mtu atakubali mkuu

Leteni good candidates siyo hao wenye shule na historia za kuunga unga ...
Nyie waislam ni watt wa wivu na visasi tu, Lipumba ameingia vipi hapo wakati kila mwaka kura zake zinapungua. JK mwenyewe hata baada ya kushinda uchaguzi badokufa akaendeleza visasi kuwa kuna mbegu za udini zimepandwa, lakini hapo Banda hajaweka kisasi chochote zaidi ya kuitakia heir nchi yake
 

Topical

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
5,174
931
Nyie waislam ni watt wa wivu na visasi tu, Lipumba ameingia vipi hapo wakati kila mwaka kura zake zinapungua. JK mwenyewe hata baada ya kushinda uchaguzi badokufa akaendeleza visasi kuwa kuna mbegu za udini zimepandwa, lakini hapo Banda hajaweka kisasi chochote zaidi ya kuitakia heir nchi yake

Waislamu wanaingia vipi hapa? mkuu au ndio huo udini wako umeshindwa kujizuia..oops
 

pascaldaudi

JF-Expert Member
Mar 25, 2009
534
96
I say "I think Prof. Lipumba deserve this chance than any other candidate"

Lakini ajabu wanatuleta mapdre...hakuna mtu atakubali mkuu

Leteni good candidates siyo hao wenye shule na historia za kuunga unga ...
.....bora hata mwanangu mwenye miaka 2 anaweza kuwa na uwezo wa kufikiria lakini siyo wewe!. Pima mtu kwa hoja na siyo kwa itikadi za dini, mie siyo muislamu, lakini napenda hoja za Prof. Lipumba, ingawa siasa za CCM zilitufanya tuamini CUF ni magaidi, na sisi wakristu tuliichukia CUF, lakini baadaye tulikuja gundua CCM ni waongo, ila wewe unaonekana bado ni mtumwa wa siasa chafu za CCM, omba uzaliwe upya ili uwe na akiri za kufikiria na kuandika hoja kwenye jukwaa, lasivyo utadharaurika mpaka na wale unaowategemea na kukutegemea.
 

zimmerman

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
1,511
2,799
Bonge la speech. Wakati mwingine kukubali kushindwa hata huo ni ushindi wa namna yake. Inategemea unakubali kushindwa kivipi. Ukitumia miguvu kama Gbagbo wa Ivory Coast si tu utakuwa umeshindwa bali dunia haitakuheshimu milele. Lakini Mzee Banda ameisoma historia, ameona kwamba unganganizi wa madaraka siyo deal; na atabaki wa kuheshimiwa pale Zambia, Afrika na dunia kwa ujumla.
 

Kicheruka

JF-Expert Member
Feb 2, 2009
791
93
Big up Rupiah Banda, Kushindwa na kukubali umeshindwa inatokea mara chache sana hasa kwenye nchi za Africa
 

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
6,942
1,189
VIJANA TUWE CHACHU YA MABADILIKO TUNAYOYATAMANI HAPA NCHINI
TANZANIA ILI TUWE KAMA ZAMBIA LEO HII


Ni dalili njema sana hiyo kuwahi kutokea katika nchi ya Mzee Kaunda, Mzee wa Kitambaa cheupe, hivyo kuyaona hayo hayo ya Kitwe yakitokea hapa hapa katika nchi ya rafiki yake Mwalimu Nyerere, Mzee wa fimbo nyembamba, wakati wowote kabla ya au mwaka 2015 wala hakutoshangaza sana.

Kila kijana wa Ki-Tanzania, popote pale ulipo, cheza nafasi yako kadiri unavyoweza kukombao taifa letu; hayo matokeo mazuri na ya kutia moyo hoko Zambia ya Kaunda wala tusidhani kama vile yamenyesha tu kama mvua - kuna VIJANA, akina mama na akina baba waliowekeza muda wao full-time pale kuhakikisha hayo matokeo mazuri yanapatikana kwao.

Tanzania bila CCM inawezekana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
36,605
42,383
I say "I think Prof. Lipumba deserve this chance than any other candidate"

Lakini ajabu wanatuleta mapdre...hakuna mtu atakubali mkuu

Leteni good candidates siyo hao wenye shule na historia za kuunga unga ...

Hujambo Mufti? Tumekusoma vizuri, lakini kumbuka nchi hii ni ya wote wenye dini hata wasiokuwa na dini.Usituletee hoja zako za kimagamba hapa kutaka kuwagawa watu ili muendelee kutuibia.
 

Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Sep 18, 2010
8,402
7,957
Waislamu wanaingia vipi hapa? mkuu au ndio huo udini wako umeshindwa kujizuia..oops
Si huo wa kutaka Lipumba ashinde wakati watanzania wamemkataa. Jumlisha na visasi vyako kwa huyo mgombea mwingine uliyemtaja kwa mafumbo elimu yake, only Muslim can do that....
 

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
48,615
67,848
Sawa lakini je tumejifunza nini? watawala wetu wamejifunza nini? kuna kitu wameweza kujifunza kweli???​
 

share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
5,988
10,343
A very good speech indeed from outgoing president. Rais wetu magumashi toka chama magamba aliyewekwa madarakani na usalama wa taifa sijui atadiriki kusema haya CHADEMA itakapochukua dola 2015!
 

mama kubwa

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,089
7,831
wabakaji wetu wa demokrasia nafikiri mmeiona hiyo. hao ni waafrika wenzetu tena jirani zetu wameamua na wamefanikiwa hima wananchi tz bila ccm inawezekana
 

The Khoisan

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
14,424
11,368
I say "I think Prof. Lipumba deserve this chance than any other candidate"

Lakini ajabu wanatuleta mapdre...hakuna mtu atakubali mkuu

Leteni good candidates siyo hao wenye shule na historia za kuunga unga ...


Kwa hiyo Cheo kimekuwa cha Masheikh tu siyo???
 
5 Reactions
Reply
Top Bottom