Dc wa Igunga anaitaji apakwe mafuta ya roho mtakatifu kwa kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dc wa Igunga anaitaji apakwe mafuta ya roho mtakatifu kwa kweli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Sep 26, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  Kitendo cha huyu mama kuitwa msilamu wakati mkristo
  kwa kweli ni cha kujiaibisha na hivyo anaitajika kupakwa mafuta ya roho mtakatifu
  ili aendelee kuishi na mumewe vinginevyo aitajiki kuendelea kula unyumba wa mumewe
  alie mkristo kwa kuukana ukristo..binafsi angekuwa mke wangu kabla ya kurudi nyumbani
  namtunuku barua aaende kwa wazazi wake akaseme yeye ni mristo ama msilamu kaabla ya kuendelea
  kula unyumba wangu...na ni mjanja sasa sanasana kma mmeona amekaa kimya kabisa

  pili hili ni kwa waislamu wenzangu
  embu muombeni rohomtakatifu awafungue sio kila kitu cha kukurupuka ama kupapatikia vinginevyo
  chongo ..mlijua huyo mama msilamu??mlivyoona mtandio mkajua mngangane na hoja ya hijabu
  unajua sisemi wote lakini viongozi wa bakwata wanaitaji kusikiliza usemi wa mwinyi na juzi kikwete
  watu wameanzisha shule za miaka miwili jamani tunaweza kusoma kimya kimya hata ukifaulu kama utaki
  kuvishwa taji kamwale watoto unakaa nyumban...kwa akili kabisa wanaenda kuitisha mkutano loh
  akili ni nywele kweli..ndio maana wanazificha na mtandio
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  Siamini mpaka sasa kweli viongozi wa bakwata awajui maana ya mtandio na hijab inaonyesha hata wake zao wananunuliwaga nguo na wenza wao sio hivi hvi
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  huyu mama si mkristo.
  Dini yake ni MALAYA tumbo au VUNIA TUMBO.
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Katika uislamu hii kitu haipo
   
 5. M

  Marytina JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  wake wanne na maisha yale igunga utawanunulia nguo kwa hela ipi kama si kuvaa sare za CCM tu????????

  ila FATUMA KIMARIO hafai kwenye uislkam wala ukristo.Ni malaya wa dini
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  Haaaahaaaa heee weee mariaaa weeeeyeeee
  kama sio hivyo itakuwa tumbokanyan hawa watu ukiona hivyo hata nje ya ndoa kutoka ni rahisi sana kama wanaweza kudanganya waume zao hivi nini kutoa sherrynooooo
   
 7. M

  Marytina JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  yaan mimi namfaham binti yake na kama mama yake anatabia za binti basi bora mtu afe bila kuwa na mke kuliko hii damu ya Fatuma.
   
 8. t

  themankind Member

  #8
  Sep 26, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Once again BAKWATA imepata AIBUUUUUUUUUUUU!!!!! shule hamna pale, daah wavevunja rekodi hawajui tofauti ya MTANDIO na Hijabu!!!
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  sio tu dini PAMOJA NA CHAMA.....NIMEANZA KUJIHOJI ALIUPATAJE UKUU WA WILAYA
  NAKUMBUKA ENZI ZA LOWASSA ILIKUWA WATU WANAWALIZA MABINTI NA KUWAHDII
  UKUU WA WILAYA WAKIFIKA MUDA WANAMPA LOWASAA NA WENZAKE WANAKAA NA MZEE WAO
  WANALETA UPUPU HADHARANI ..UNASHANGAA HEE HATA HUYU OOHH MUULIZE KAWAJIBIKAJE MPAKA AMEFIKA UKO
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  ipo soma vizuri amjagundua tu anywya tusifike huko twendelee na kumsaidia fatma kimario kwenye ndoa yake sijui kama bado imesimama mi nasema hata huyo mume nae akiendelea kula tunda atakuwa najisi maana amekanwa kiapo alichoapa kanisan anaendeleaje kula unajisi??ndio maana namshauri akapakwe mafuta upya ya roho mtakatifu akiri kuukana ukristo na kumrudia mumewe na kama waliendelea kuoanana kinyumba na mumewe nalpo akaombee msamaha maana akuwa na tofauti ya nyumba ndogo
   
 11. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,825
  Trophy Points: 280
  Labda apakwe mafuta ya hii kitu: mdudu3.jpg
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  Stakafullilahiiiii la bramini
  tusifike huko mpwa topic aitaisha hii mpwa
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Sep 26, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Jamani ninaomba mwenye ukweli kuhusu huyu dc atujuze. Je ni mkristo kweli au walifunga ndoa ya bomani?
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  Matola nenda kanisa la mbezi beach ukapewe live
  huyu mama mwizi wa dini za watu sijui ana nyumba ndoogo mslamu ndio kaamua kukumbushia ati alivuliwa hijab shoewine kweli
  na mchana mwema
   
 15. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #15
  Sep 26, 2011
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Shame on her!!
   
 16. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #16
  Sep 26, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  mimi nipo uingereza hilo kanisa la mbezi liko wapi hapa leceister city?
   
 17. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #17
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,825
  Trophy Points: 280
  MATOLA:Ukweli wa Fatuma Kimaruio:
  BAKWATA wamejidhihirisha ni wavivu wa kufikiri. Wamelalama eti uislam umeaibishwa kwa kuwa Fatuma Kimario kavuliwa kitambaa wakiamini ni Muislam. Jirani wa DC anayeishi naye mbezi kavujisha ukweli kuwa huyu mama ni mkristo kaolewa na bwana Joseph Kimario kwa ndoa ya kikatoliki tena mzee wake ni mzee wa kanisa la katoliki mbezi. Pia DC huyu na mumewe wana nyumba na shamba tegeta na ktk shamba hilo wanafuga nguruwe na mama huyu ni muuzaji maarufu wa hawa nguruwe hapo tegeta na ni mlaji mzuri tu wa hii kitu .
  Shamba lake la tegeta:
  View attachment 37862
   
 18. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #18
  Sep 26, 2011
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Bi Fatma amefedhehesha sana uma wa watanzania
   
 19. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #19
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,825
  Trophy Points: 280
  Maria jimwage kuhusu uyo binti, niPM walau official name yake ili intelijesia ifanye kazi yake tuweke mambo hapa.
   
 20. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #20
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  mkuu tena ana bahati naona nguruwe pori kabisa ni wachache saana kuwa nao ningekuwa bakwata ningempa cheo cha imamu
   
Loading...