Elections 2010 Kumbe Kashindye (MB-Igunga)........

pascaldaudi

JF-Expert Member
Mar 25, 2009
534
96
Anaweza kujidadavua vizuri sana!! msikilize hapa.

Pia sikiliza jinsi Chama tawala cha 2015 kinavyo konga mioyo ya watanzania

Vijana tuamke......
 
Last edited by a moderator:

segwanga

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
2,789
729
Nimeona ITV mikutano ya vyama magamba na cdm,tupo tunaangalia na analyst kadhaa.Mmoja we2 amesema CDM imeshashnda kwa sababu mikutano yao inafunika balaa.Mi nimesema kwamba (note my word jf members) Kihalali cdm wanashinda lakn uchakachuaji utakavyofanywa haujawahi kutokea ktk hstoria ya tz ambao utaonyesha mgombea wa magamba atakavyoshinda kwa kishindo na cdm kushndwa kuamini kilichojiri
 

pascaldaudi

JF-Expert Member
Mar 25, 2009
534
96
Chadema wakiwa ngangari kwenye kuhesabu na kulinda masanduku ya kura vituo vyote hapo watakuwa wamethibiti uchakachuaji!!
Ni kweli kabisa, nadhani watakuwa makini ktk hili maaana CCM wamepeleka vigogo wao woooteeeeee!!! kasoro tu rafiki yangu, baba yetu "mgosi" sijui wanaogopa asije akaropoka.......! au kawagomea na ufisadi wao!!
 

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Jul 1, 2008
10,565
7,940
Ni kweli kabisa, nadhani watakuwa makini ktk hili maaana CCM wamepeleka vigogo wao woooteeeeee!!! kasoro tu rafiki yangu, baba yetu "mgosi" sijui wanaogopa asije akaropoka.......! au kawagomea na ufisadi wao!!

Usikate tamaa mapema kiasi hicho, hizi siku mbili zilizobaki unaweza kumuona huyo mzee kaibukia igunga, muhimu ni gamba kuu rostam atoe kibali.
 

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
43,203
25,648
mods anatukana huyu tunaomba umpunzishe miezi miwili hapa sio club ya kunywa mnazi

Ha! Ha! Ha! Ha, kijana hiyo ni misemo ya kiswahili tu, nani katukanwa? Nikikwambia kiburi si maungwana ni tu si? Mimi nafuata sheria na kanuni za JF.
Usilielie unakimbilia kwa Mods: njoo na hoja sio kuja na vioja
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom