Kutumia marehemu kisiasa ni zaidi ya kufilisika kisiasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutumia marehemu kisiasa ni zaidi ya kufilisika kisiasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Honey K, May 23, 2011.

 1. H

  Honey K JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimeona kikatuni mahali mtu mmoja kavaa kombati akiwaambia wafiwa subirini msizike msubiri maandamano yetu hapa.......hii ni dhihaka au kweli?
   
 2. Zegreaty

  Zegreaty JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Vipi kwenye hicho kikatuni hakana joka la kijani likiwa linawanyemelea wafiwa? Halafu ni gazeti la uhuru, mzalendo, habari leo, jamba leo au daily news?

  Lakini kwakuwa wafiwa wameridhia kuwakabidhi show makamanda basi sio tatizo nyie si Mmeita majambazi mkawapiga risasi sasa hawawaamini,vilevile ba si na serikali ya Magamba ilipotaka kutoa ubani waliwa wanajipendekeza?
   
 3. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Heshima kwako Nnauye Jr.

  Mkuu hii ni kweli CHADEMA wanatumia kila aina ya fursa kujijenga kisiasa kama wafanyavyo CCM.Mchezo huu ni mbaya lakini kwa mazingira ya Tanzania ni jambo la kawaida sana mbona CCM wanawatumia Masheikh ubwabwa kuipakazia CHADEMA ni chama cha wakatoliki ?

  Siasa za aina hii zimeasisiwa na CCM na serekali yake, zipo taarifa za uhakika CCM wanasaidiwa na TISS kusambaza uzushi bila kujali madhara yake kwa Tanzania na taifa kwa ujumla. Mkuu umesahau CCM walitumia kifo cha Chacha Wangwe?


  Tangu enzi za NCCR Mageuzi ya Mzee wa Kiraracha CCM wamekuwa wajuzi wa kutumia udini na ukabila kuwagawa watanzania. Nia ni kubaki madarakani hata kama uwezo wa kuongoza haupo kabisa.

  Mkuu naomba urejee kuleee, W J Malecela kuna hoja zinasubiri majibu toka kwako.
   
 4. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #4
  May 23, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Mkuu kule kugumu na hoja ni nzito na hana majibu ya haraka ndo maana hawezi kurejea kule may be anaandaa hoja
   
 5. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #5
  May 23, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  We unaonaje?
   
 6. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #6
  May 23, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa ,si vizuri kumtumia marehemu kisiasa. However, by reading your post I don't know what are you exactly trying to insuniate. As a serious politician you should look at it critically and analytically
   
 7. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #7
  May 23, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Jeshi kutumiwa na chama tawala kuua watu wake ambao ndio wanawalipa mishahara ni sawa na kubaka siasa.na polisi kuua raia na kuwaambia wafiwa serikali itagharimia mazishi ni sana na kuhaini wananchi.
   
 8. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #8
  May 23, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Mkuu huyu hana hoja, hakuwahi kuwa nayo na anatumiwa tu na atatupwa.
   
 9. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #9
  May 23, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Swali zuri na ameelewaje na ni picha gani amepata hapo na imempa kipi cha kutuambia
   
 10. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #10
  May 23, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Ndio maana mkuu tunamuuliza kwa hiyo picha imempa nini cha maana na ameelewaje na ina ujumbe gani ambao anataka kutuambia
  Kama mwanasiasa anatakiw aaje na critical analysis ya alichokiona kupitia picha na sio ule ujumbe wa juu juu tuu ambao naona ndio anataka kutuambia hapa

  Sio vyema kutumia marehem kama mtaji wa kisiasa ila kwa siasa zetu kila kitu ni mtaji so ni nini nape anataka kusema hapa
   
 11. MJIMPYA

  MJIMPYA JF-Expert Member

  #11
  May 23, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Siasa zina vituko kweli,

  Sasa Nape Mzalendo imeandika Dr.Slaa analipwa posho ya vitafunwa sh.426,000/ kwa mwezi ,Vipi nyie kwenu ngapi? Nakumbuka aliwahi sema akiwa bungeni kuwa vitafunwa vifutwe mawizarani. Sasa hapa ndo tunaona unafiki wa wana siasa.
   
 12. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #12
  May 23, 2011
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,297
  Likes Received: 601
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kuwa haifai kutumia marehemu kisiasa na wananchi wa Nyamongo walimwelewesha kwa vitendo mbunge mmoja aliyetaka kupeleka siasa msibani.
   
 13. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #13
  May 23, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  May 23, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Hoja zipi atakazoandaa? wakati hata mwenyekiti wake hawezi kujibu zile hoja, huyu thread za kimzaha mzaha kama hii ndio level yake. ningemshauri kwa nafasi yake ndani ya chama chao post dhaifu kama hizi awe anapost kule facebook ndio kuna watu wengi wa mawazo duni ya viwango hivi.
  Kama huyu Nape angekuwa na akili timamu hili swala la Tarime unatakiwa kuskip kwa maslahi yako, watu tumepoteza ndugu zetu halafu wewe unatuletea upuuzi hapa! mbona uwaulizi ccm wenzako kwa nini watoe ubani wa shilling millioni 3 kwa kila familia wakati waliouwawa ni majambazi?
  Hitimisho: eti na mimi nasikia ulisema CHADEMA ni chama cha wachaga je nikweli? na ni lini utafanya ziara mkoani Kilimanjaro?
   
 15. K

  Kiwembe Member

  #15
  May 23, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaonyesha jinsi gani ulivyo mvivu wa kufikili na ulivyo na mawazo finyu kwani nyie cmliwaua na kusema ni majambazi
   
 16. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #16
  May 23, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Nape Mnauye anauliza "Nimeona kikatuni mahali mtu mmoja kavaa kombati akiwaammbia wafiwa subirini msizike msubiri maandamano yetu hapa.......hii ni dhihaka au kweli?
   
 17. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #17
  May 23, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,651
  Likes Received: 21,866
  Trophy Points: 280
  CCM walijaribu kumtumia Marehemu Chacha Wangwe kama mtaji wao wa Kisiasa kuichafua CDM lakini waliangukia Pua. Pia wengine kama Mtikila waliishia kutoka na ngeu kichwani. Kwenye hili la Nyamongo hakuna anayetumia marehemu kisiasa,Serikali imeua raia wake na raia na chama chao chenye kujali watu wamechukia.
   
 18. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #18
  May 23, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye Red mkuu hutokaa upate majibu
  Nafikiri tatizo hapa ni kuw ana majibu mepesi kwa maswala mazito na ndio maana wote wanakosa majibu ya kutupa na ukiwauliza watakuambia wana mikakati endelevu ya mpaka mwaka 2014 ya kuwapa maji safi watanzania hawajui kuwa huo ni mkakati ambao haujapangwa ila unakuwa kwenye hotuba yake na wakishatoka kwenye jukwa inakuwa ndio mwisho wake
  Swali hapa Nape atuambie ni nini alichokiona kwenye hizo picha cha kumsaidia Mtanzania
   
 19. M

  Mkandara Verified User

  #19
  May 23, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Nnauye Jr,
  Mkuu kuwepo kwako hapa JF tunategemea unakuja na vigongo vinavyotuhabarisha maswala muhimu ya chama ktk utekelezaji wa sera na ilani zake. Hizi habari za mazishi na katuni zinahusu nini ikiwa hili ni swala na haki ya msanii ambaye sii lazima awe mshabiki wa chama chochote cha kisiasa. Picha hueleza sawa na maneno milioni hivyo hatuwezi chukua lako tukaacha ukweli mwingine ulojitokeza ktk picha hiyo..

  Tupe vigongo mkuu wangu, pengine wananchi watarudisha imani zao kwa chama..
   
 20. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #20
  May 23, 2011
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Critically? Analytically? Never! You should understand that Nape is Tambwe Hiza's boss in their propaganda wing of chama cha magamba; If the direction of thinking and analyzing issues of Tambwe Hiza in fulfilling his responsibilities is 100% then that of Nape should be twice as much!
   
Loading...